sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,163
Nkema wane, ole he?Naifahamu Njombe sana sana.. kuna miaka biashara ya mbao ilikua juu vibaya sana sana.. naijua hii biashara ... lakini huwezi ifananisha Njombe na Kahama..maybe weka battle la Njombe na Mafinga..na Mafinga itaibuka kidedea...! Njombe imekuwa uswekeni.. Zamani kina mama walikua wanajiita mama mbao sasa hivi watu wanaenda na aluminium and the like... uliza wauza mbao wa pale mwnge kama wanauza kma 7yrs ago!
Ni kote kote,nyie ndio mlituletea yule mtuBaada ya kamataka kamata na fungia ya akaunti, biashara za Kahama zilishuka sana. Vibrancy ya Kahama 2016 kurudi nyuma sio sawa na sasa hivi. Kwa aliyeishi pale atanielewa
Sema unaogopa kurogwa ukijenga kijijiniWewe huenda una ile elimu yenu ya makaratasi ila huna elimu ya pesa na property value.
Sasa bora nikose hiyo elimu yako ila siwezi Jenga bangalow kijijini,huko najenga just simple decent house full stop.
😀 😀 sihusiki mazee, labda tume.Ni kote kote,nyie ndio mlituletea yule mtu
Ndizi na sukari ya Kagera havifi Njombe,Tuache kutumia mtibwa na Kilombero tukachukue kageraUselesstunakulisha!?
Tukuzalishie maharage ili upate mboga
Tukuzalishie viazi ili ule
Tukuzalishie ndizi ili ushibe
Tukupe Sukari ili unywe chai
Tukupe kahawa na chai ili upate Radha ya chai
Tukutolee wasomi ili wakufundishie watoto wako huko vyuoni na mashuleni
Na hii jamii forum unapobwabwaja ni ya nshomile mmoja kutoka huko misenyi Mr Maxence Melo mubyazi
Isingekuwa yeye ungejulikana wew
😊😊😊😊Ni kote kote,nyie ndio mlituletea yule mtu
Zama za mababu zilishapita kitambo,watu tunajenga vizuri tuu.Sema unaogopa kurogwa ukijenga kijijini
Bila Shaka mboga yako ya Leo ni maharage.Ndizi na sukari ya Kagera havifi Njombe,Tuache kutumia mtibwa na Kilombero tukachukue kagera
Tuonyeshe nyumba za vijijini Kama per capita kubwaNyie watu wa Kagera na Kigoma mmeshindwa kuwasaidia ndugu zenu wa Burundi hadi wanafika Njombe eti kwa wamesikia per capita income yetu ni kubwa
View attachment 1926554
Hizi ndio nyumba za Vijijini kwetu 👇Tuonyeshe nyumba za vijijini Kama per capita kubwa
Huko per Capita ndogo but vijijini sio haba.
Misenyi vijijiniView attachment 1926760View attachment 1926761View attachment 1926762View attachment 1926763View attachment 1926765
Tunaongea kwa vitendo sio mere words.Halmashauri Kama chalinze Kuna viwanda vingi ndo vinatoa hayo mapato sio kile kitongoji kichoitwa mji
Kaitaba bukobaTunaongea kwa vitendo sio mere words.
Viwanda Njombe
View attachment 1926989
View attachment 1926990
View attachment 1926991
View attachment 1926992
View attachment 1926993
Rubya hospital muleba kagera.Tunaongea kwa vitendo sio mere words.
Viwanda Njombe
View attachment 1926989
View attachment 1926990
View attachment 1926991
View attachment 1926992
View attachment 1926993
Kagondo hospital muleba vijijini
Ndolage hospital muleba
Izimbya hospital bukoba vijijiniTunaongea kwa vitendo sio mere words.
Viwanda Njombe
View attachment 1926989
View attachment 1926990
View attachment 1926991
View attachment 1926992
View attachment 1926993
Mugana hospital .Tunaongea kwa vitendo sio mere words.
Viwanda Njombe
View attachment 1926989
View attachment 1926990
View attachment 1926991
View attachment 1926992
View attachment 1926993
Kagera sugar hospital misenyiTunaongea kwa vitendo sio mere words.
Viwanda Njombe
View attachment 1926989
View attachment 1926990
View attachment 1926991
View attachment 1926992
View attachment 1926993
Mugana hospital imepata Cheti Cha nyota tanoTunaongea kwa vitendo sio mere words.
Viwanda Njombe
View attachment 1926989
View attachment 1926990
View attachment 1926991
View attachment 1926992
View attachment 1926993