Kahama VS Njombe/Mafinga

Kamji kenyewe chenga tupu sasa unategemea maendeleo yatoke wapi?
 
Visingizio as usual , maendeleo yako centred mijini huko Vijijini ni mashambani unaweza ishia kuumwa na nyoka na mbu wenye makazi yao.

Hao unaposema wamejenga Vijijini mostly wanakuja kusalimia kutoka town na kusepa huko wameacha wazee na mabeki tatu.Uishi kijijini una akili timamu? Utapata wapi pesa?

Mbona wewe hauko kijijini? Bata utoe wapi? Tatizo la huko mashambani kwenu hakuna miji wala ligi kila mtu yuko kwenye vichaka vya migomba.
 
Endelea kujifariji tu mmejazana kwenye vimiji uchwara vyenu hivo vijiji vipo hoi. Kilimanjaro walijipima ubavu ila hawakuona ndani tena angalau walileta tupicha ila nyie ni maneno tu
Kama huna macho tukusaidiaje? 😝😝 Endelea kujifariji.

Hizi sio picha ni nini? πŸ‘‡πŸ‘‡













 
Kupanuka kupi mnaingizwa na hadi Katoro nyie? Mungekuwa Mji mkubwa hivyo si tungewaona hata kwenye list ya Miji yenye mzunguko wa pesa? Labda mnapanuka kwenye poverty rates πŸ˜πŸ˜πŸƒ

Ukiikuta Bukoba Kwenye hii list hapa nitag πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Fungua pdf hapa chini uone ramani nzuri ya Njombe na mtandao wa barabara kuu.

Ukishaona Mji hauna junction kuja kukua ni kitendawaili
 

Attachments

Nyumba Kama hii

Mbu watatoka wap.


Nyie endeleeni kukimbilia mijini.

Sisi huku ishakuwa utamaduni watu kujenga vijijini.


Au mnaogopa kurogwa[emoji23][emoji23] maana nilisikia mtu akijenga nyumba kijijini anarogwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fungua pdf hapa chini uone ramani nzuri ya Njombe na mtandao wa barabara kuu.

Ukishaona Mji hauna junction kuja kukua ni kitendawaili
Unaona mulivyo wapumbavu na makusanyo yenu[emoji23][emoji23]

Kwa hiyo chalinze kumeendelea kuliko kigamboni,ilemela na morogoro[emoji23][emoji23]


Chalinze Kuna viwanda vingi lakin sio kwamba Kuna maendeleo ya hivyo[emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie mnaogopa kurogwa mkijenga vijijini kwenu


Elimu ni kitu Cha msingi Sana.


Halafu si nyie mlikuwa mnaua watoto kwa ushirikina



. vijijini huko bukoba
 
πŸ˜€ πŸ˜€ ukweli fulani mchungu sana. Isingekuwa awamu ya 5, Kahama ingekuwa mbali sana by now
Kitu gani kilikuwepo awamu ya 5 hakipo leo Kama sio upendeleo wa kuandishia hadhi bila vigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…