Wakati unaandika hili ume shirikisha moyo na ubongo au umetumia kamasi kufikiri ....Mwalimu Nyerere mwanakanda ya ziwa alijenga reli kwenda Zambia wala hakuwalenga nyie, hapo kwenu ilipita tu sababu hakukuwa na namna. Bila Zambia reli mngekuwa mnaziona kwenye tv tu hususani star tv ya kanda ya ziwa make nyie huko hamna tv station.
Usirudie Tena kulinganisha bukoba na upumbavu wa huko kusiniNyumba za kuishi wilaya ya njombe bukoba ni hotel kwel maisha yanaenda speed
Njombe ya jf labdaNyumba za kuishi wilaya ya njombe bukoba ni hotel kwel maisha yanaenda speed

Picha ya kwanza na ya pili hapo juu inaonesha how Mighty Njombe is..Kwa hiyo na wew unashangiliahuo mkoa wenye watu laki nane sawa na wilaya ya muleba.
Eti 3000 wew per capita ya 3000 unaijua wewTanzania bado tupo maskini Sana.
Nyie mmepata ahueni kisa mna population ndogo Sana.
Lakin hakuna chochote.
Ila muwe mnapaka mabati rangiView attachment 1915292View attachment 1915293View attachment 1915294View attachment 1915296
Mji uko ka slum za manzese ndo unasifia hapa.Picha ya kwanza na ya pili hapo juu inaonesha how Mighty Njombe is..
Njombe ni nouma Sana imechapa Khm sasa Bukoba imekuja kusuport.Mji uko ka slum za manzese ndo unasifia hapa.
Miji ya kusini slums tupu. Sio mbeya,sio iringa Wala njombe
Njombe ya jf labda
Muwe mnapaka rangi mabatiView attachment 1916039View attachment 1916041View attachment 1916043
Eti GDP.HIZ
Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Kumbe unajua ni manispaa.Njombe ni nouma Sana imechapa Khm sasa Bukoba imekuja kusuport.
Njombe Vs Kahama/Bukoba.Tunashindana na Manispaa

Mkulima wa bongo atabaki maskini milele sera za nchi zisipobadilika.HIZ
Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
HIZ
Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Makete ni moja ya wilaya kwenye mkoa wenye per capita ya 3000Njombe ni nouma Sana imechapa Khm sasa Bukoba imekuja kusuport.
Njombe Vs Kahama/Bukoba.Tunashindana na Manispaa

Picha ya kwanza na ya pili hapo juu inaonesha how Mighty Njombe is..
Pamoja na wilaya ya biharamulo ( ambayo ndo maskini Sana mkoa wa kagera) kuwa maskini lakin haijafikia hatua hii.HIZ
Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀

Uwe unagoogle taarifa current ,hii taarifa yako ni zamani sana inazungumzia Ludewa ya Iringa wakati toka 2012 Ludewa haiko Iringa tena iko mkoa wa Njombe.Nikukumbushe Barabara ya Zege kilomita Hamsini amabayo pengine ndefu zaidi kwa kiwango hicho East na Central Africa.Iko Njombe Wilaya ya Ludewa.na sasa imebaki kama kilomita 15 kuisha.Unapogoogle tafuta latest information najua wewe bado hujasaranda sehemu nyingi za nchi hii.Pamoja na wilaya ya biharamulo ( ambayo ndo maskini Sana mkoa wa kagera) kuwa maskini lakin haijafikia hatua hii.
Ludewa ndani ya mkoa wenye per capita kubwa nchini njombeView attachment 1916236View attachment 1916237
Mtoto wa nzi ni nziWakati unaandika hili ume shirikisha moyo na ubongo au umetumia kamasi kufikiri ....
Kwa unataka kusema mmeendelea Sana baada ya miaka hii kumi yoteUwe unagoogle taarifa current ,hii taarifa yako ni zamani sana inazungumzia Ludewa ya Iringa wakati toka 2012 Ludewa haiko Iringa tena iko mkoa wa Njombe.Nikukumbushe Barabara ya Zege kilomita Hamsini amabayo pengine ndefu zaidi kwa kiwango hicho East na Central Africa.Iko Njombe Wilaya ya Ludewa.na sasa imebaki kama kilomita 15 kuisha.Unapogoogle tafuta latest information najua wewe bado hujasaranda sehemu nyingi za nchi hii.
View attachment 1916243

Mkoa wa kagera hizo barabara za wilaya tushamaliza zamaniUwe unagoogle taarifa current ,hii taarifa yako ni zamani sana inazungumzia Ludewa ya Iringa wakati toka 2012 Ludewa haiko Iringa tena iko mkoa wa Njombe.Nikukumbushe Barabara ya Zege kilomita Hamsini amabayo pengine ndefu zaidi kwa kiwango hicho East na Central Africa.Iko Njombe Wilaya ya Ludewa.na sasa imebaki kama kilomita 15 kuisha.Unapogoogle tafuta latest information najua wewe bado hujasaranda sehemu nyingi za nchi hii.
View attachment 1916245
View attachment 1916247
Nani alisema maprofesa hawaijengi bukoba.HIZ
Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀

Hebu twende muleba Sasa .wilaya yenye hospital zaidi ya tano.HIZ
Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Parokia ya itahwa huko bukoba vijijini.HIZ
Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀