Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Pk top hills hotel bukoba
Screenshot_20210829-205854.jpg
Screenshot_20210829-205825.jpg
Screenshot_20210829-205816.jpg
Screenshot_20210829-205806.jpg
Screenshot_20210829-205757.jpg
 
Nj
Kwa Tanzania ukiona mji umepangwa vizuri ujue kasi yake ya maendeleo ni ndogo sana,ukiona mji umejengwa kiholela basi pana hela nyingi na serikali imelala

Kuna baadhi ya maeneo ni kweli wananchi wapo mbele kuliko serikali, umeme hawatumii wa Tanesco, maji yao, hata barabara wanachonga wenyewe
 
Nyie nyie si Mkuu wa Mkoa wa Njombe na RAS wamekuja kujifunza Kahama 😀 😀 😀 😀 😀
 
Malinzi aliiba project ya Tanga akaileta Bukoba angalia kilichompata baada ya mtu wa Tanga kushikilia uskani TFF
Acha majungu Kama wanawake...Nyie si ndo mnasemaga wahaya hawaijengi bukoba. Wakijenga mnasema wezi wabongo bwana.


Hapa namtetea malinzi.
Uwanja wa kaitaba bukoba haumilikiwi na CCM Bali unamilikiwa na manispaa ya bukoba na kipindi hicho huyo karia ndiye alikyekuwa mkurugenzi wa manispaa ya bukoba. Hivyo TFF ilipopata hela ilikuwa rahisi kujenga uwanja huo pamoja na ule wa nyamagana Kule mwanza.

Uwanja wa Tanga ni wa ccm ndo maana ilikuwa ngumu kujenga.



Halafu huyo malinzi sio mtu wa kubeza huwezi jilinganisha naye .
Kwanza ana gofu field huko bukoba.


Anyway niletee uwanja mzr Kama kaitaba.


Lakin pia niletee golf field Kama huu kusini nzima.vijana mmeachwa mbali Sana. Elimu ni kitu Cha msingi sana


Golf club huko misenyi vijijini
images%20(87).jpg
images%20(88).jpg
images%20(90).jpg
images%20(89).jpg
images%20(91).jpg
 
Back
Top Bottom