instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Mimi ninaongelea ndege wew unaleta hizo treni zilizochoka!!?View attachment 1904090View attachment 1904091View attachment 1904092View attachment 1904093
Muache kukalili Kanda ya ziwa haya mambo nyanda za juu kusin yalishafanyika muda mrefu mtu anajua reli ya tazara inasafirisha shaba tu na ngoja tukuletee zinazo beba content na magari
Kama na maendeleo ya usafirishaji miji Kama bukoba imekuwa na meli na bandari toka ukoloni uko 1930 .
Kumbuka bukoba ilikuwa mji mwaka 1890 nyie sijui mlikuwa wap...



