Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Leoo Niko na wew. Unayesema wahaya hawaijengi bukoba. Ulisikia wap

Transit hotel
mca.jpg
images%20(55).jpg
220k1b000001bd6m70E8E_R_550_412_R5_Q70_D.jpg
download%20(1).jpg
images%20(56).jpg
 
Iringa Per Capita GDP 4,000 VS Kagera Per Capita GDP 1,1000 😂😂😁😁.

Umaskini wa kutopea huko Katerero Region sidhani kama mna jipya hapa Tzn👇👇

View attachment 1914407
Yaani Njombe per capita income ni mil.3.1 kagera 1.1 kwa mwaka 2020 mwaka 2016 Njombe.ilikua mil.2.01 kagera 1.1 2020 Njombe ni 3.1 kagera 1.1 halafu wanakuja eti Njombe ishindane na Kagera.Miaka mitano ijayo kwa uwekezaji wa Njombe tutakua 1 au 2 hao Kanda ya Ziwa watafute majirani Njombe haina mshindani huko😀😀😀😀
 
mbona nyingi unarudiarudia hizo hizo hahaha Yan kwa mkoa was njombe mkalale tu mmesha pigwa gap la kuzi happy nilikupa hotel sita tu
 
mbona nyingi unarudiarudia hizo hizo hahaha Yan kwa mkoa was njombe mkalale tu mmesha pigwa gap la kuzi happy nilikupa hotel sita tu alafu nyingi Zina view ya kizaman Sana inatakiwa mje mjifunze mkoa wa njombe
 
Unaona ulivyo mpumbavu na sidhani Kama chuo kikuu umefika wew.


Mimi nimemaliza hapo udsm juzi.

Nilipokuwa mwaka wa kwanza makamu mkuu wa chuo alikuwa professor Rwekaza mkandala muhaya na msaidizi wake Professor Bonaventure Rutinwa.wote wahaya.


Professor Rwekaza akastaafu na akateuliwa professor Anangisye mnyakyusa wa mbeya huko.
Na msaidizi wake bado professor Bonaventure Rutinwa ambaye ni muhaya wa huko misenyi kagera.


Huyo mgaya ni professor wa kawaida tu kitivo Cha research



Acha uongo huko njombe hakuna kitu chochote
Kumbe tunabishana na mtu ambaye ni fresh from University,Prof.Bonaventura Rutimwa kateuliwa msaidizi wa Makamu Mkuu wa chuo juzi tu baada ya Mgaya.Mgaya Yunus ni Mbena lakini Baba yake ni mzamiaji wa Tanga.Sina mentality ya kuangalia hao maprofesa kwa Sababu moja ya Ndugu yangu ni Profesa Udsm lakini hana impact yoyte kwenye Kijiji chetu pia kwenye ukoo haina impact.Sisi vijana tumeweza kufanya vitu tofauti na wazee wanashangaa hatuna Phd lakini tunafanya tofauti.Njombe ni mchanganyiko wa Biashara na usomi ndio maana Kuna maendeleo ya kasi.Wako Maprofesa Nyanda juu wengi wakiongozwa na Ruvuma,Mbeya,Iringa nk.
 
Back
Top Bottom