Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ni upumbavu na ujinga kuwekeza kwenye vitu Kama maghorofa na sio watu.

Hapo ndo watu wa bukoba wanapowazidia.
Wahaya wanawekeza katika elimu ili kizazi Cha kihaya kisikae kizembe milele na milele.

Ukiliangalia mji wa bukoba una shule Kama zote kuzunguka mji na zinaongoza kitaifa kila mwaka
Wilaya Kama muleba Ina shule nyingi kuliko wilaya za dar kwa sababu wahaya wamewekeza kwenye elimu sio upumbavu wa vitu ambavyo unaweza kufilisika.
Hebu fatilia matokeo uone mkoa wenu unashika ungap usituletee mambo ya historia za wazee
FB_IMG_16230876727999062.jpg

.
Kijana unaongelea ufaulu wa shule za secondary? Ambayo kagera haujawahi kosa top ten.

Tazama wingi wa wasomi,tazama muamuko wa elimu wa katika jamii.

Huko kusini mnalima viazi tu

FB_IMG_16230863987406155.jpg
 
.
Kijana unaongelea ufaulu wa shule za secondary? Ambayo kagera haujawahi kosa top ten.

Tazama wingi wa wasomi,tazama muamuko wa elimu wa katika jamii.

Huko kusini mnalima viazi tu
Fanya tathimini upya usituletee historia za kizamani hapa said kila Kona Kuna wasomi Tena wanaojitambua sio Kama wa bukoba ambao wameacha mji wao unazidi kudumaa
 
Nishaacha ujinga wa kulinganisha vyuo vikuu
Kuwa na vyuo vikuu sio maendeleo. Maendeleo ni kuwa na wasomi kibao.

Jengeni vyuo uko njombe lakin baada ya watu wa njombe kusoma watawashangaa wahaya,wasukuma na wachaga wakijaza vyuo Kama ilivyo sasa kwenye vyuo vingi nchini.

Wasomi wa kagera mkoa mmoja ni wengi kuliko kusini nzima.just imagine wilaya ya misenyi Ina maprofesa 102
Hao maprofesa wameusaidia nn mkoa wa hizo ndo sifa za kijinga huo ni usomi uchwara
 
Hao maprofesa wameusaidia nn mkoa wa hizo ndo sifa za kijinga huo ni usomi uchwara
Bora wao Wana usomi uchwara kuliko kutokuwa na usomi kabisa Kama huko njombe kazi kulima viazi tu na kukusanya mapato
 
FB_IMG_16302426641261782.jpg
FB_IMG_16302427444793957.jpg
FB_IMG_16302426448186567.jpg
FB_IMG_16302426090093876.jpg
tunavo sema mji umedumaa mnabisha hahaha mtu akuja kuongelea habari ya maprofesa ambao wako dar badilishen mji wenu ni aibu hii

FB_IMG_16302426641261782.jpg
 
Fanya tathimini upya usituletee historia za kizamani hapa said kila Kona Kuna wasomi Tena wanaojitambua sio Kama wa bukoba ambao wameacha mji wao unazidi kudumaa
Mnajitambua halafu mmeshindwa kucontrol ukimwi? !!! Kama walivyofanya kagera..

Kuhusu mji wa bukoba Kama haujawahi fika Bora ukakaa kimya.

Kusini nzima hakuna mji wenye quality ya bukoba
 
Bora wao Wana usomi uchwara kuliko kutokuwa na usomi kabisa Kama huko njombe kazi kulima viazi tu na kukusanya mapato
Sasa kwa taarifa yako hata makamu mkuu wa udsm ni wa njombe endelea kujipa mahope ya kizamani hayo
 
Mnajitambua halafu mmeshindwa kucontrol ukimwi? !!! Kama walivyofanya kagera..

Kuhusu mji wa bukoba Kama haujawahi fika Bora ukakaa kimya.

Kusini nzima hakuna mji wenye quality ya bukoba
Utopolo huo ndo uje ujilinganishe na miji ya kusini bado Sana
 
Sasa kwa taarifa yako hata makamu mkuu wa udsm ni wa njombe endelea kujipa mahope ya kizamani hayo
Mbona udsm wahaya wamedominate kibao kuanzia makamu aliyestaafu Kama professor Rwekaza mkandala.

Halafu huyu anangisye ni mnyakyusa wa mbeya acha uongo kijana.

Hebu taja maprofesa hata 10 tu wa njombe
 
Mbona udsm wahaya wamedominate kibao kuanzia makamu aliyestaafu Kama professor Rwekaza mkandala.

Halafu huyu anangisye ni mnyakyusa wa mbeya acha uongo kijana.

Hebu taja maprofesa hata 10 tu wa njombe
Haha ulivokalili yunus mgaya ni wawapi
 
M
Mbona udsm wahaya wamedominate kibao kuanzia makamu aliyestaafu Kama professor Rwekaza mkandala.

Halafu huyu anangisye ni mnyakyusa wa mbeya acha uongo kijana.

Hebu taja maprofesa hata 10 tu wa njombe
Me nacho jua wasomi ni wengi saiz ko Sina muda wa kuanza kuhesabu mkoa mzima alafu kuwa na maprofesa wengi sio kipimo Cha maendeleo
 
Haha ulivokalili yunus mgaya ni wawapi
Unaona ulivyo mpumbavu na sidhani Kama chuo kikuu umefika wew.

Mimi nimemaliza hapo udsm juzi.

Nilipokuwa mwaka wa kwanza makamu mkuu wa chuo alikuwa professor Rwekaza mkandala muhaya na msaidizi wake Professor Bonaventure Rutinwa.wote wahaya.

Professor Rwekaza akastaafu na akateuliwa professor Anangisye mnyakyusa wa mbeya huko.
Na msaidizi wake bado professor Bonaventure Rutinwa ambaye ni muhaya wa huko misenyi kagera.

Huyo mgaya ni professor wa kawaida tu kitivo Cha research

Acha uongo huko njombe hakuna kitu chochote
 
Back
Top Bottom