Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mnao ishi kwa kukalili hebu angalia hayo no matokeo ya form four et kagera kagera angalia mkoa was njombe ulivo waburuza
FB_IMG_16302463520939021.jpg
 
Katika top 10 Kanda ya ziwa imeingiza 8 , hata hili jamvi naona tunadiscuss vitu vya msingi watu wenye akili na vilaza wa Southern hukooo
Huyu mdatchu sijui ana akili gani

Naona nabishana na popoma hapa.

Anapost mji wa bukoba wa mwaka 2002 huko

Anasema professor mgaya ndo principal wa udsm.sijui mmemuokota wap huyu
 
Mnao ishi kwa kukalili hebu angalia hayo no matokeo ya form four et kagera kagera angalia mkoa was njombe ulivo waburuza
View attachment 1914919
Unaona ulivyo popoma

Hebu tazama idadi ya shule kwanza.

Kagera Ina shule 245 na bado ipo top five.

Halafu tazama idadi ya waliofaulu Kati ya mikoa miwili.

Halafu unaleta matokea ya mwaka mmoja.

Kwanza wew hujui chochote hata principal wa udsm hujui endelea kulima viazi mkuu
 
M

Me nacho jua wasomi ni wengi saiz ko Sina muda wa kuanza kuhesabu mkoa mzima alafu kuwa na maprofesa wengi sio kipimo Cha maendeleo
Kwa hiyo kuwa na vyuo vingi ndo kipimo Cha maendeleo sio
Au kuwa na sheli nyingi

Elimu ni kitu Cha msingi watu wa njombe na kusini someni vijana.

Au toa siku mtembelee vijiji vya wahaya huko bukoba ndo mjue elimu Inafanya kazi gani

Huwezi linganisha professor na mkulima viazi wa huko njombe kijana
 
Huna lolote mji 2002 happy Kuna picha za current mzee acha kujitetea Kaz mnayo mzee town limedumaa
Huyu mdatchu sijui ana akili gani

Naona nabishana na popoma hapa.

Anapost mji wa bukoba wa mwaka 2002 huko
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Anasema professor mgaya ndo principal wa udsm.sijui mmemuokota wap huyu

Unaona ulivyo popoma

Hebu tazama idadi ya shule kwanza.

Kagera Ina shule 245 na bado ipo top five.

Halafu tazama idadi ya waliofaulu Kati ya mikoa miwili.

Halafu unaleta matokea ya mwaka mmoja.

Kwanza wew hujui chochote hata principal wa udsm hujui endelea kulima viazi mkuu
Wazee wa masifa kila kitu mnapigwa mkajipange miaka elfu moja ndo mlete mada na nyanda za juu kusin
 
Nyu
Kwa hiyo kuwa na vyuo vingi ndo kipimo Cha maendeleo sio
emoji23.png
emoji23.png

Au kuwa na sheli nyingi
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Elimu ni kitu Cha msingi watu wa njombe na kusini someni vijana.

Au toa siku mtembelee vijiji vya wahaya huko bukoba ndo mjue elimu Inafanya kazi gani

Huwezi linganisha professor na mkulima viazi wa huko njombe kijana
Nyumba ya mkulima wa viaz njombe Hana na kumbuka unaangalia uchum wa prof hujaangalia jamii nzima ilivo zama kwenye dimbwi zito la umaskin
 
Huna lolote mji 2002 happy Kuna picha za current mzee acha kujitetea Kaz mnayo mzee town limedumaa

Wazee wa masifa kila kitu mnapigwa mkajipange miaka elfu moja ndo mlete mada na nyanda za juu kusin
Bora tuache kubishana kabisa.

Maana hatuendani .

Wew hujui chochote na huna facts.

Facts ulizo nazo ni uongo.

Kwa hiyo professor mgaya akijaga huko njombe anasema ndo mkuu wa UDSM

Wakati ni ka professor ka kawaida Hadi professor tibaijuka anamzidi
 
Hamjishughulishi fursa hakuna mnaishia kusimuliana idadi ya maprofesa ambao hawawasaidii zaidi ya kubaki kuwa tegemezi wenzenu nyanda za juu kusini wanazidi kutajirika tu hebu tazama kiwango Cha umasikini kilivyo waandama mtakula unga wa muhogo na mtama had mchoke
FB_IMG_16302471305615607.jpg
 
Bora tuache kubishana kabisa.

Maana hatuendani .

Wew hujui chochote na huna facts.

Facts ulizo nazo ni uongo.

Kwa hiyo professor mgaya akijaga huko njombe anasema ndo mkuu wa UDSM

Wakati ni ka professor ka kawaida Hadi professor tibaijuka anamzidi
Unavoongelea mkoa was njombe unawasomi wengi sio Kijiji Kama bukoba mzee utamtambia Nani kila mtu huku anapesa mzee Hayo mambo ya kujisifu yapo hko kwenu
 
Nyu

Nyumba ya mkulima wa viaz njombe Hana na kumbuka unaangalia uchum wa prof hujaangalia jamii nzima ilivo zama kwenye dimbwi zito la umaskin
Bora hata jamii ya kihaya Ina maprofesa,maengineer,madokta,wanasheria kibao kuliko huko njombe jamii nzima wakulima viazi.

Sio tu wahaya ni wasomi Bali ni wafanyabiashara biashara wakubwa.

Hebu huko kusini niletee Tajiri anayeweza kufikia hata robo ya Tajiri huyu mmoja
Screenshot_20210829-174434.jpg
 
Bora tuache kubishana kabisa.

Maana hatuendani .

Wew hujui chochote na huna facts.

Facts ulizo nazo ni uongo.

Kwa hiyo professor mgaya akijaga huko njombe anasema ndo mkuu wa UDSM

Wakati ni ka professor ka kawaida Hadi professor tibaijuka anamzidi
Unavoongelea mkoa was njombe unawasomi wengi sio Kijiji Kama bukoba mzee utamtambia Nani kila mtu huku anapesa mzee Hayo mambo ya kujisifu yapo hko kwe
FB_IMG_16206610734920914.jpg
 
Unavoongelea mkoa was njombe unawasomi wengi sio Kijiji Kama bukoba mzee utamtambia Nani kila mtu huku anapesa mzee Hayo mambo ya kujisifu yapo hko kwenu
Kama mna pesa hebu zunguka kusini nzima niletee Tajiri anayeweza kufikia hata robo ya huyu Tajiri wa kihaya.

Hizo sifa zipo kweli sio uongo wacha wajisifie wakizitafuta
Screenshot_20210829-174434.jpg
 
Bora hata jamii ya kihaya Ina maprofesa,maengineer,madokta,wanasheria kibao kuliko huko njombe jamii nzima wakulima viazi.

Sio tu wahaya ni wasomi Bali ni wafanyabiashara biashara wakubwa.

Hebu huko kusini niletee Tajiri anayeweza kufikia hata robo ya Tajiri huyu mmojaView attachment 1914961
Ameisaidia nn bukoba inayoandamwa na umasikini ulio topea
 
Unavoongelea mkoa was njombe unawasomi wengi sio Kijiji Kama bukoba mzee utamtambia Nani kila mtu huku anapesa mzee Hayo mambo ya kujisifu yapo hko kweView attachment 1914965
Jamani ehh Leo nabishana na machinga wa makambako.

Naona aibu kubishana na wew.

Yaan huna hata exposure yaan bure kabisa.

Hiyo picha uliyopost tazama barabara ilivyojaa vumbi na mvua ikinyesha probably ni matope matupu.

Elimu ni kitu Cha msingi sana
 
Nimekwambia nyanda za juu kusini watu wana Pesa hawana majisifa Kama ya hko huku ni mwendo wa uwekezaji ukitaka kujua zaidi nenda kariakoo ndo utajua kwanini tunakwambia nyanda za juu kusin wanapesa
 
Hiyo ni miundo mbinu inayotenga plot za shamba kulingana na aina ya matunda acha ushamba na ww
 
Nimekwambia nyanda za juu kusini watu wana Pesa hawana majisifa Kama ya hko huku ni mwendo wa uwekezaji ukitaka kujua zaidi nenda kariakoo ndo utajua kwanini tunakwambia nyanda za juu kusin wanapesa
Kwa hiyo kufanya uchuuzi kariakoo ndo kuwa na pesa

Elimu ni kitu muhimu Sana. Tusome wadau.
 
Back
Top Bottom