Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hii village town ya Bukoba ni hovyo kabisa kimji hakina street lights ikifika usiku watu wote wanashindana kuwanga na kufanya katerero tuu
Mji hauna street lights? We ulisikia wap.
Mji uwe na airport ya kisasa,bandari na barabara ikose vitu minor Kama hivyo? Kweli we mshamba.
Streets lights zimekuwepo bukoba toka miaka ya tisini huko
Tena Sasa ndo wanazifumua na kuweka mpya
IMG-20210627-WA0011.jpg
Screenshot_20210829-151445.jpg
 
mzee wa takwimu. Kwan per capita inahesabiwaje.
Population ya kagera ni kubwa sana mkoa una watu 3.2 million hebu weka iringa hapa.bado density pia ya kagera ni kubwa mno kulinganisha na iringa hivyo takwimu Lazima ziwe hivyo.

Ila kihualisia iringa watu wake hawana vipato kiviile kulinganisha na kagera.
Ndo maana abiria wa ndege wamekosa huko na wamefunga safari za huko.vijijini huko kilolo ni ajabu tupu.

Kwamba takwimu hixo kwa kipato hicho basi wanairinga wapo developed Sana

Anyway punguza stress kwa kutizama pisi Kali kutoka bukoba.
Huko kusini hivi Kuna mademu kweli

View attachment 1914625View attachment 1914626View attachment 1914627View attachment 1914629View attachment 1914630
Hahaha Hayo ndo maendeleo
 
Huoni hata aibu? Mko wengi ila wavivu watupu.
 
Ndio mnawaza white color job ndio maana mumekimbia kwenu na hakuna uwekezaji wowote mnafanya huko kwenu.
Eti white color Jobs.Waukimbie mkoa halafu vijijini kuwe vile na majumba makali.

Hiv unajua bukoba Kuna vituo vya redio vingapi vya wazawa,vipi vituo vya mafuta vya wazawa?VIP shule?

Hiv huko kusini Kuna shopping mall kweli

Watu wanawekeza kwao Hadi mall na plaza kibao
Screenshot_20210826-180504.jpg
Screenshot_20210826-180452.jpg
 
Mbona hamna jipya inatakiwa utathimini mji ulianza lini na umepitwa na miji mingap tz happy ndo utajua kwanini tunakwambia bukoba imezeeka

Mna
Mji wa bukoba haushindani na mji wowote.sio Lazima miji yote ifanane na dar au mwanza.

Mingine acha ibaki na identity yake Kama ilivyo bukoba.
Cha muhimu ni kujitosheleza .

Bukoba inajitosheleza kila idara ndo maana unakuwa mji mzr kulinganisha na miji yote ya kusini
 
Eti white color Jobs.Waukimbie mkoa halafu vijijini kuwe vile na majumba makali.

Hiv unajua bukoba Kuna vituo vya redio vingapi vya wazawa,vipi vituo vya mafuta vya wazawa?VIP shule?

Hiv huko kusini Kuna shopping mall kweli

Watu wanawekeza kwao Hadi mall na plaza kibaoView attachment 1914687View attachment 1914689
Hahaha ukiongelea wazawa kuwekeza kwao kusini ndo mahalapake kwanza vitu unavotaja Hadi unachekesha et shell hizo hku ni kila Kona mfano tu mji wa makambako Kuna shell Zaid ya ishilini asilimia 98 ni za wazawa wa nyanda za juu kusini huo ni mji mmoja tu bado miji mingine ndo maana tunakwambia mkajifariji mmesha achwa parefu baadhi ya shell zilizopo makambako za wazawa hizo hpo na BDO zinajengwa kila siku
FB_IMG_16270126726653233.jpg
FB_IMG_16270126622312370.jpg

IMG_20210608_110509.jpg
FB_IMG_16270126859309095.jpg
 
Hahaha ukiongelea wazawa kuwekeza kwao kusini ndo mahalapake kwanza vitu unavotaja Hadi unachekesha et shell hizo hku ni kila Kona mfano tu mji wa makambako Kuna shell Zaid ya ishilini asilimia 98 ni za wazawa wa nyanda za juu kusini huo ni mji mmoja tu bado miji mingine ndo maana tunakwambia mkajifariji mmesha achwa parefuView attachment 1914728View attachment 1914731

View attachment 1914735View attachment 1914770
Miji yenu inaendelea lakin watu wake hawaendelei.
Mlivyo na uelewa mdogo mnawekeza kwenye vitu vinaoongeza makusanyo na utajiri binafsi.

Watu wa bukoba wanawashangaa Sana.
Bukoba wako busy kuwekeza kwenye elimu ili maendeleo ya watu yawe juu Kama ilivyo sasa.
Mikoa ya kagera na Kilimanjaro inashule nyingi kuliko dar .na ndo inatoa watu wenye maendeleo nchini

Acheni upumbavu na ushamba.. wekeza katika elimu kwanza ndo maana hata ukimwi mmeshindwa kucontrol Kama walivyofanya kagera.ilikuwa rahisi kucontrol ukimwi kwa sababu watu wengi wameelimika.
 
Hao ni wazawa wanafanya yao na happy ni mji wa mafinga
View attachment 1914777
Ni upumbavu na ujinga kuwekeza kwenye vitu Kama maghorofa na sio watu.

Hapo ndo watu wa bukoba wanapowazidia.
Wahaya wanawekeza katika elimu ili kizazi Cha kihaya kisikae kizembe milele na milele.

Ukiliangalia mji wa bukoba una shule Kama zote kuzunguka mji na zinaongoza kitaifa kila mwaka
Wilaya Kama muleba Ina shule nyingi kuliko wilaya za dar kwa sababu wahaya wamewekeza kwenye elimu sio upumbavu wa vitu ambavyo unaweza kufilisika.
 
Miji yenu inaendelea lakin watu wake hawaendelei.
Mlivyo na uelewa mdogo mnawekeza kwenye vitu vinaoongeza makusanyo na utajiri binafsi.

Watu wa bukoba wanawashangaa Sana.
Bukoba wako busy kuwekeza kwenye elimu ili maendeleo ya watu yawe juu Kama ilivyo sasa.
Mikoa ya kagera na Kilimanjaro inashule nyingi kuliko dar .na ndo inatoa watu wenye maendeleo nchini

Acheni upumbavu na ushamba.. wekeza katika elimu kwanza ndo maana hata ukimwi mmeshindwa kucontrol Kama walivyofanya kagera.ilikuwa rahisi kucontrol ukimwi kwa sababu watu wengi wameelimika.
Hahaha hebu linganisha nyanda za juu kusini Ina vyuo vikuu vingapi na Kanda ya ziwa vpo vingap uone Kama hamjala za uso
 
Ni upumbavu na ujinga kuwekeza kwenye vitu Kama maghorofa na sio watu.

Hapo ndo watu wa bukoba wanapowazidia.
Wahaya wanawekeza katika elimu ili kizazi Cha kihaya kisikae kizembe milele na milele.

Ukiliangalia mji wa bukoba una shule Kama zote kuzunguka mji na zinaongoza kitaifa kila mwaka
Wilaya Kama muleba Ina shule nyingi kuliko wilaya za dar kwa sababu wahaya wamewekeza kwenye elimu sio upumbavu wa vitu ambavyo unaweza kufilisika.
Hebu fatilia matokeo uone mkoa wenu unashika ungap usituletee mambo ya historia za wazee wako
 
Hahaha hebu linganisha nyanda za juu kusini Ina vyuo vikuu vingapi na Kanda ya ziwa vpo vingap uone Kama hamjala za uso
Nishaacha ujinga wa kulinganisha vyuo vikuu
Kuwa na vyuo vikuu sio maendeleo. Maendeleo ni kuwa na wasomi kibao.

Jengeni vyuo uko njombe lakin baada ya watu wa njombe kusoma watawashangaa wahaya,wasukuma na wachaga wakijaza vyuo Kama ilivyo sasa kwenye vyuo vingi nchini.

Wasomi wa kagera mkoa mmoja ni wengi kuliko kusini nzima.just imagine wilaya ya misenyi Ina maprofesa 102
 
Hebu fatilia matokeo uone mkoa wenu unashika ungap usituletee mambo ya historia za wazee wako
.
Kijana unaongelea ufaulu wa shule za secondary? Ambayo kagera haujawahi kosa top ten.

Tazama wingi wa wasomi,tazama muamuko wa elimu wa katika jamii.

Huko kusini mnalima viazi tu
 
Back
Top Bottom