Rwamishenye ward 5km from bukoba downtownwanakuja kuvuna na kusepa kama wakoloni wananyokuja africa kuiba kwa mgongo wa kuwekeza.wajinga ndio waliwao
Watawezea wapi! Wako busy kutukusanyia pesa za kufisadiHiv nyie walima viazi wa njombe mnaweza afford hiv vitu.
Au ndo mnakusanya tu mapatoView attachment 1902458
Wanjombe wapambane waizidi kigoma ujiji kwanza, sisi sio level y![]()
Ukiongelea maswala ya miundombinu nyanda za juu kusini ipo mbali Sana na miundombinu yao inafaida kubwa Sana tofauti na Kanda ya ziwa mfano reli ya dsm mwanza zaidi ya kubeba abiria watabeba mapank ya samaki ko unavochangia mada inatakiwa uwe na uelewa mpana na jiografia ya nchi yako na nchi za jiran pia ndo maana kwa Tanzania barabara inayopitisha gari nyingi kwa siku ni TAZAM road inayotoka dar mpaka afrika kusin na karibia mikoa ya nyanda za juu kusin imepita Kuna bomba la mafuta toka dar had ndola Zambia kitu ambacho Kanda ya ziwa ndo wanaamka saiz wenzenu HIV vitu vilishakuwepo na hiyo happy chini ni mtandao wa reliWanjombe wapambane waizidi kigoma ujiji kwanza, sisi sio level yao.
Kinachonishangaza mnapenda chini lakini matokeo yake ni HIV tu, wasukuma wanasukuma mashine lakini matokeo yake wanaongezeka tu tena bila ukimwiUkiongelea maswala ya miundombinu nyanda za juu kusini ipo mbali Sana na miundombinu yao inafaida kubwa Sana tofauti na Kanda ya ziwa mfano reli ya dsm mwanza zaidi ya kubeba abiria watabeba mapank ya samaki ko unavochangia mada inatakiwa uwe na uelewa mpana na jiografia ya nchi yako na nchi za jiran pia ndo maana kwa Tanzania barabara inayopitisha gari nyingi kwa siku ni TAZAM road inayotoka dar mpaka afrika kusin na karibia mikoa ya nyanda za juu kusin imepita Kuna bomba la mafuta toka dar had ndola Zambia kitu ambacho Kanda ya ziwa ndo wanaamka saiz wenzenu HIV vitu vilishakuwepoView attachment 1903575
Maendeleo na ukimwi yanahusiana nin mbona historia hufatilii kuwa ulianzia kagera Kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini wameelimika wanapima sio hko mtu anakufa na ukimwi anazingizia amerogwa ko huo ndo utofauti elimu inasaidia ushamba ni mzigoKinachonishangaza mnapenda chini lakini matokeo yake ni HIV tu, wasukuma wanasukuma mashine lakini matokeo yake wanaongezeka tu tena bila ukimwi
Heeeh!!!!Maendeleo na ukimwi yanahusiana nin mbona historia hufatilii kuwa ulianzia kagera Kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini wameelimika wanapima sio hko mtu anakufa na ukimwi anazingizia amerogwa ko huo ndo utofauti elimu inasaidia ushamba ni mzigo
Safari za ndege za Iringa zimesitishwa .hakuna abiria huko.Watawezea wapi! Wako busy kutukusanyia pesa za kufisadi


Kijana mje mjifunze kagera ilivyocontrol ukimwi mpaka Sasa haipo top ten Tena.Maendeleo na ukimwi yanahusiana nin mbona historia hufatilii kuwa ulianzia kagera Kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini wameelimika wanapima sio hko mtu anakufa na ukimwi anazingizia amerogwa ko huo ndo utofauti elimu inasaidia ushamba ni mzigo
Serikali ipi kama ni ile hata chato ilipendelewa lkn tunaona mfano kama airport ikigeuka kuwa kama mobutu memorial temple,soon!Kwa akili yako unazani Mwanza inashindana na vijiji vya hapa Tanzania, ungekuwa na akili ungejiuliza kwanini serikali inawekeza Mwanza na dar na haiweki nguvu sana huko kwenye mashamba ya viazi na mpunga.
Nyanda za juu kusini Nyeenyeeee, huko mnabebwa na shaba za Zambia tu, mbali na hapo tungeifunga TAZARA
Safari za ndege za Iringa zimesitishwa .hakuna abiria huko.
Halafu wanasema wanavipato
Sijui vipato gani hiv
Hii shule si ndio tulidhurumiwa rambirambi zetuNaam hii ni shule ya sekondari tu huko bukoba.
Tafuta shule Kama hii nyanda za kusini yoteView attachment 1880026View attachment 1880028View attachment 1880029View attachment 1880030View attachment 1880031View attachment 1880032