Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mnaishi kwenye mapango na mawe kama nguchiro,vicheche au nyoka ..Tokeni huko achieni viumbe hai wengine.
Huko kote nyumba zote zinafikika kwa barabara za lami, utajulia wapi we mchimba viazi, toka huko mavumbini ujinusuru na funza.
 
Umeona utafute eneo bovu kuliko lote ndio huje upost hapa, hao wapo magorofani bwege wewe unasema wapo kwenye vibanda
3/4 ya Mwanza ni mabanda ya nguruwe kuanzia national kule,kirumba,mabatini ndio kabisaa na opposite na Mwanza west,kule soko la dagaa,Bugando yaani wapi ambako hakuna uswazi hapo Mwanza zaidi ya CBD? 😁😁😁😁
 
Rio ni uswahili mwingi ila Greece kuna nyumba za zamani but sio mabanda ya nguruwe ambayo hata hayafikiki
Watu wameacha majumba ya maana huko mbeya, Iringa, sumbawanga wanakimbilia MWANZA kwenye hayo mabanda fungua akili yako kijana ni bora kuishi kwenye nyumba ya udongo Mwanza kuliko kuishi kwenye gorofa huko njombe.
 
Acha ujinga dingi yaani uache majumba ya maana uende jangwani kufanya nini huko?

Mbona gwambina yuko huku na mashine yake ya mipunga na mastoo? Ana mapabu kibao majimoto pale kwa nini hakubaki huko kwao Mwanza?
 
Kaja kulima viazi na mpunga akipata ngawila lazima harudi Mwanza huko ni kama sehemu ya mashamba alafu Mwanza ni sehemu ya kuishi baada ya kuvuna pesa kutoka huko mashambani(njombe, mbeya etc)
 
Kaja kulima viazi na mpunga akipata ngawila lazima harudi Mwanza huko ni kama sehemu ya mashamba alafu Mwanza ni sehemu ya kuishi baada ya kuvuna pesa kutoka huko mashambani(njombe, mbeya etc)
Kuishi sehemu ya hovyo kama Mwanza yataka moyo binafsi siwezi ,kuna mashamba na sehemu za kuishi kama Ulaya mashariki sasa huko dry zone hakuishiki
 
3/4 ya Mwanza ni mabanda ya nguruwe kuanzia national kule,kirumba,mabatini ndio kabisaa na opposite na Mwanza west,kule soko la dagaa,Bugando yaani wapi ambako hakuna uswazi hapo Mwanza zaidi ya CBD?

Hujui Mwanza wewe, National ipi ni uswahilini? National Ni makazi yaliyopimwa toka kitambo na kirumba vilevile, mitaa ya national na kirumba imekuwa na lami toka enzi za mwalimu kama si mkoloni, tatizo unaisikia tu hiyo mitaa hujawahi fika, zile barabara za national zinazopita mnadani, national housing ni za vumbi lakini ukiangalia pembeni au ukichimba chini kuna mabakibaki ya lami, barabara za kirumba mitaa ya La kairo hadi zina mabakimabaki ya lami na ni mitaa iliyopimwa ila tu ina nyumba za kizamani, Bugando eneo la uswazi ni dogo sana pale pembezoni mwa mlima mkono wa kushoto ukiwa unapanda kwenda hospital yaani kaeneo kadogo tu.
Eti hakuna uswazi Mwanza zaidi ya CBD, hahahah utachekwa hadi na waliokufa wewe mchimba viazi, unafahamu, Bwiru, Isamilo, Kiseke, Nyasaka, Mwananchi, Luchelele, Buswelu wilayani, Nyamhongolo, Capri point, Bugugu, nk
 
Kuishi sehemu ya hovyo kama Mwanza yataka moyo binafsi siwezi ,kuna mashamba na sehemu za kuishi kama Ulaya mashariki sasa huko dry zone hakuishiki
Dry Zone maji yako ndani ya majumba yetu, nyie mnaonyeshewa mvua maji mnafuata kwenye vidimbwi
 
Dry Zone maji yako ndani ya majumba yetu, nyie mnaonyeshewa mvua maji mnafuata kwenye vidimbwi
Majumba wapi nyie mnakunywa vinyesi na mercury tupu? Ziwa lenyewe uvuvi wa madawa na mabaruti,hiyo zone watu Wana kansa na Wana vimba miguu,magonjwa ya ubongo na mifupa in addition kuoza meno kama wameru.

Siwezi ishi huko hata siku moja
 
Aliogopa kuteseka, kuishi kule ni mateso, yaani ni nusu jela.
Inategemeana alikopangwa sasa wewe unapangwa sehemu kama Sengerema sijui kwimba, Misungwi utaacha kukimbia? Kama ni mwalimu au nesi alitaka apangwe wapi na hizo Kazi za watoto wa maskini ni za kijijini alitakaje huyo ndugu yako?
 
Sengerema sio kusini wewe mchimba viazi, watumishi hushukuru sana wanapopangiwa sengerema.
 
Majumba wapi nyie mnakunywa vinyesi na mercury tupu? Ziwa lenyewe uvuvi wa madawa na mabaruti,hiyo zone watu Wana kansa na Wana vimba miguu,magonjwa ya ubongo na mifupa in addition kuoza meno kama wameru.

Siwezi ishi huko hata siku moja
Vinyesi mnakunywa kusini mnaochota maji kwenye vidimbwi
 
Sengerema sio kusini wewe mchimba viazi, watumishi hushukuru sana wanapopangiwa sengerema.
Usiwe pimbi wewe kwani kwimba ni Kusini? Nimetaja maeneo ya hovyo huko Kanda ya Ziwa,Serengeti huko unaona ni sehemu za kuishi hizo? Wilaya zote za Simiyu hamna kitu
 
Usiwe pimbi wewe kwani kwimba ni Kusini? Nimetaja maeneo ya hovyo huko Kanda ya Ziwa,Serengeti huko unaona ni sehemu za kuishi hizo? Wilaya zote za Simiyu hamna kitu
We mbwa, usilinganishe kwimba na ujinga wa huko kusini.
 
Huku tuna mito wewe kima madimbwi na malambo yako huko dry zone kwenu..tuna mvua za kuzidi ..umewahi sikia lini kuna ukame huku Kusini?
Mvua zikinyesha zinasomba vinyesi vinatengeneza vidimbwi na nyie mbwa mnachota mnakunywa
 
Back
Top Bottom