instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Kashura hills bukoba tzHako ni ka village town nothing else
Kashura hills bukoba tzHako ni ka village town nothing else
Kamji kadogo afu kamejaa mavumbi na matope tuu 😁😁😁😁Kashura hills bukoba tzView attachment 1890062
The buildings in bukoba town.Hako ni ka village town nothing else
Ntungamo major seminary. bukoba TanzaniaKamji kadogo afu kamejaa mavumbi na matope tuu![]()
The quality mattersKamji kadogo afu kamejaa mavumbi na matope tuu![]()
Hizo nyumba Kule nyuma ni majanga aisee
Yaa kumbe shida ni Vifaa tiba,hiyo ni kazi ya serikali ikizingatiwa hii ni hospital mpya.
Serikali itawafikiria fikiria baadae, si unajua tena hayo maeneo sio kipaumbele cha serikali.Yaa kumbe shida ni Vifaa tiba,hiyo ni kazi ya serikali ikizingatiwa hii ni hospital mpya.
Yaani Njombe ya humu Jamii forum ni kama Dubai tu, kasoro bahari.Serikali itawafikiria fikiria baadae, si unajua tena hayo maeneo sio kipaumbele cha serikali.
Weka redio zinazosikika nchi nzima, hizo local hata mbinga na karagwe zipo. Unazungumzia TV?! Kanda ya ziwa TV ipo kwa air toka mwaka 2000 miaka 20 nyuma, lakini leo Miaka 20 baadae huko ndo mnafanyia kazi suala la TV stationMbeya ni Jiji kubwa wewe la Uchumi Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,fm radios ziko kama zote,twende Kazi
Gmcl fm radio,
Must fm,
Dream fm,
Big star fm ,
Rock fm,
Generation fm,
Baraka fm radio,
Bomba fm Radio,
Mbeya Highlands fm radio(Dar&Mbeya),
Radio Furaha fm,
Access fm,
Adonai fm,
Mbeya City fm,
Ushindi fm.
Hizo ni baadhi tuu ziko nyingi sana huwezi kuzimaliza kuanzia Mkuu. Currently we are working for TV stations.
View attachment 1887007


, TV station na vijijini wapi na wapi!Yaani Njombe ya humu Jamii forum ni kama Dubai tu, kasoro bahari.


wakati kule panajulikana ni pabaya hata kwa wale ambao hawajawahi kufika, Yaani kuna hizi sehemu zina sifa ya ubaya nchi hii hata kwa wale ambao hawajawahi kufika; mikoa ya kusini na Kigoma watanzania wanajua huko ni kama jehanamu.Pole Sana mkuuwakati kule panajulikana ni pabaya hata kwa wale ambao hawajawahi kufika, Yaani kuna hizi sehemu zina sifa ya ubaya nchi hii hata kwa wale ambao hawajawahi kufika; mikoa ya kusini na Kigoma watanzania wanajua huko ni kama jehanamu.
Mapanki upo hapo?👇👇Made in Mwanza from the scratch, investments kama hizi Mwanza ni za billon dollars kitu ambacho hata Chugga hawana...
View attachment 1887009
View attachment 1887011
View attachment 1887010
View attachment 1887012View attachment 1887013View attachment 1887014View attachment 1887015View attachment 1887016View attachment 1887017View attachment 1887018View attachment 1887020View attachment 1887021View attachment 1887022View attachment 1887023View attachment 1887027
Bado kuna Mwali Mpya Mv, Mwanza II Hapa kazi tu, billion 82
View attachment 1887030
Wakizindua Mv. Mwanza inakuja tena nyingine ferry wagon tonne 3000, the largest in the great lakes kabla hamja poa
Umesahau kuweka msisitizo kwamba 'kampuni ya meli ya songoro marine ya Mwanza, Kanda ya Ziwa'
developed wapi lake Zone 😀 😀 😀 😀Pale developing anapompa pole developed![]()
Mwanza kuna Mkurya mmoja anazo karibia 12 tena kubwa zaidi ya hizo anaitwa Kitano Chacha, kuanzia Passenger n Cargoship mpaka tanker za mafuta.