Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Sunrise School Mbeya👇👇Kaizirege and kemebos schools BukobaView attachment 1884425View attachment 1884426View attachment 1884427
Hadi sasa kwenye vyuo na taasisi za elimu ya Juu Mbeya 7,Mwanza 0.Kanda ya zzzzzziiiiiiiiiwaaaaaaaView attachment 1885115
Mngekuwa na akili nyingi msinge tiwa finger na wazungu mama nyie 🖕🖕🖕🖕Kanda kuu ndio inayotoa watu wenye akili nyingi. Siyo mijitu inakimbilia kujinyonga kama like li chifu la wahehe. Yanajua kuvuta bangi tu.
SGR ilikua inaenda kigoma mkachepusha😂😂😂Na serikali inawekeza trillions 7.... ujenzi wa reli ya Kisasa ya kwanza nchini kipande kuanzia Tabora- Mwanza... basi ingeanza na Njombe
Nikukumbushe tu vifaa vya umeme vya KODTEC vinazalishwa na Kampuni ya mtanzania toka makete Nyanda za Juu kusini huenda East Africa nzima hakuna mtu amepata hiyo fursa China.Kampuni kubwa ya kusafirisha mizigo toka China na Asia ya GNM ni ya watu toka Nyanda za Juu kusini.Ukifika Dar es Salaam ulizia peacock hotel ya nani?,Landmark hotels wote hao ni from southern Highland,na tumekuja hadi bukoba tumechukua Kampuni moja wapo,tunameli inawaletea mizigo toka Mwanza kuja huko bukoba.😂😂😂Kijana hao matajiri wa njombe ndo wakina Fred vunjabei ama?
Hiv Mulishawahi ingiza top ten Billionaire yeyote kutoka njombe.
Kagera kulikiwepo All Mfuruki na mshumbusi kabla hawajafariki.
Bila Shaka sura sio ngeni.
Hebu nitajie millionaires yeyote kutoka kusini alieshaingia top ten ya matajiri bongoView attachment 1884714
Hujui kitu,SGR ilikua inaenda kigoma mkachepusha![]()
Data zenyew unazichanganya.Kama vyote hivyo vipo inakuaje mkoa unakuwa hivi?
View attachment 1885015
View attachment 1885016
View attachment 1885017
Huo mji wako nishaachana nao una mavumbi tu.
Hadi sasa kwenye vyuo na taasisi za elimu ya Juu Mbeya 7,Mwanza 0.
Hospital kila sehemu zipo K's Hospital & Mbeya Zonal Referral Hospital
View attachment 1885117
View attachment 1885118
View attachment 1885119









Kwa hiyo huo ndo utajiriNikukumbushe tu vifaa vya umeme vya KODTEC vinazalishwa na Kampuni ya mtanzania toka makete Nyanda za Juu kusini huenda East Africa nzima hakuna mtu amepata hiyo fursa China.Kampuni kubwa ya kusafirisha mizigo toka China na Asia ya GNM ni ya watu toka Nyanda za Juu kusini.Ukifika Dar es Salaam ulizia peacock hotel ya nani?,Landmark hotels wote hao ni from southern Highland,na tumekuja hadi bukoba tumechukua Kampuni moja wapo,tunameli inawaletea mizigo toka Mwanza kuja huko bukoba.![]()



Huku sio Paris ni bukoba TanzaniaSGR ilikua inaenda kigoma mkachepusha![]()
Labda migahawa hotel zote kubwa zinajulikana mlichobaki nacho ni mabibo beer"windhock" ya Namibia😂😂😂Kwa hiyo huo ndo utajiri
Kuwa na hotel?
Kufanya uchuuzi kutoka China?
Nimesema taja mtu yoyote kutoka kusini alieshaingia top ten ya matajiri bongo hii.
Nyie umiliki wenu ni vitu vya kawaida mno na minor.
Mimi nikitaja hotel za wahaya dar si utakimbia.
VIP nikitaja shule Kama Tusiime,St Mary's,babro Johnson,St Mathews,baobab,St Anne Maria.
VIP wahaya wanaomiliki vyuo vikuu Kama kairuki
VIP wahaya wanaomiliki hospital Kama cosad na kairuki
VIP nikitaja makampuni ya usambazi umeme Kama IPTL
VIP makampuni ya technology Kama biotech Kule masaki.
VIP wenye ranchi zao huko kagera
Ushawahi kusikia abayo companies
Ushawahi kusikia mesuma companie
VIP mukwano companies.
Nenda mwanza uone wahaya walivyojazana huko
VIP unajua kampuni la utalii la bukoba tours,kiroyera
Inshort wahaya ni moja ya watu wanaomiliki asilimia kubwa ya uchumi wa nchi hii na jpm alitambua hilo
Kwa hiyo nyie utajiri ni kumiliki hotel na lodgeLabda migahawa hotel zote kubwa zinajulikana mlichobaki nacho ni mabibo beer"windhock" ya Namibia![]()



Bukoba/kagera Kuna radio zifuatazo 12 .Kahama yenyewe tu, Kuna Fm radio kama nne au tano zinazotangaza kutoka Kahama
Kahama Fm
Divine Fm
Huheso Fm
Gold Fm
Kijana hata hapa unapopiga poroja Kuna muhaya mmoja anapiga pesa.Labda migahawa hotel zote kubwa zinajulikana mlichobaki nacho ni mabibo beer"windhock" ya Namibia![]()



Kijana hebu niletee mtu yeyete nyanda za juu kusini na kusini kote mwenye utajiri hata robo ya huyu muhaya.Labda migahawa hotel zote kubwa zinajulikana mlichobaki nacho ni mabibo beer"windhock" ya Namibia![]()
