Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivi nyie wasukuma hamuendi vyuo au mko machimboni? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Mbeya University of Science and Technology baba lao๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Screenshot_20210807-194052.png

Screenshot_20210807-194042.png

Screenshot_20210807-193954.png

Screenshot_20210807-193903.png

Screenshot_20210807-193806.png

Screenshot_20210807-193844.png

Screenshot_20210807-193755.png

Screenshot_20210807-194122.png
 
Msije mkapasuka kwa pressure naishia hapa kwa leo.

K's Royal College of Health Sciences Mbeya and Teaching Hospital ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Screenshot_20210807-194934.png

Screenshot_20210807-194947.png

Screenshot_20210807-194845.png

Screenshot_20210807-194749.png

Screenshot_20210807-194652.png
 
Kuwa na vyuo vingi sio maendeleo bro

Maendeleo ni kuwa na wasomi wengi Kama ilivyo kagera. mtu mmoja Kati ya 5 Ana degree .

Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bagonza
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
47: Professor Mutabingwa Theonest Kahangwa ,
48: Professor Kamazima M M Lwiza
49: Professor Joseph Buchweishaija
50: Professor Emanuel Babyegeya
51: Professor L.K Rutasiitara
52: Professor Richard W Rwechungura
53: Professor Egydius R Rwenyagila
54: Professor Benezet Mtayoba SUA
55: Professor B. A Rwezaura UDSM
56: Professor R.C Ishengoma
57: Professor Tibandebage
58: Professor W . Rugakingira
59: Professor Buberwa
60: Professor C. S Binamungu Mzumbe
61: Professional prof Bonaventure Rutinwa
62: Professor Alex M Mtalemwa Harvad University
63: Professor Deogratius Rutatora SUA
64.Prof Mutahaba
Orodha ni ndefu View attachment 1884507
Sisi Njombe tuna millionaires zaidi ya 10000 wametapakaa nchi nzima wote wakirudi kuwekeza Njombe haikamatiki tena
 
Sisi Njombe tuna millionaires zaidi ya 10000 wametapakaa nchi nzima wote wakirudi kuwekeza Njombe haikamatiki tena
Kijana hao matajiri wa njombe ndo wakina Fred vunjabei ama?

Hiv Mulishawahi ingiza top ten Billionaire yeyote kutoka njombe.

Kagera kulikiwepo All Mfuruki na mshumbusi kabla hawajafariki.

Bila Shaka sura sio ngeni.

Hebu nitajie millionaires yeyote kutoka kusini alieshaingia top ten ya matajiri bongo
download.jpg
 
Na hata serikali ikijenga uwanja wa ndege Njombe utawalipa Sana kwa ajili ya watu kusafiri nyumbani
Mbona route ya ATCL ya iringa ilifutwa?

Kwan mnashindwa nini kutumia uwanja wa iringa.

Nyie hamna kipato ndo maana iringa airport hakuna abiria wa ndege kabisa.
Nyie kudominate kariakoo kusiwachanganye Kuna wahaya wafanya biashara wakubwa na wanafanya biashara zao kiisomi kuliko uchuuzi wa kariakoo.

Sisi Koo za kihaya zinamiliki makampuni makubwa mfano abemulo construction and engineering, Luganuza engineering,kairuki hospitals ,Tusiime nk nk

.yaan kusini nzima hata hio songwe airport inazidiwa abiria na bukoba airport?
 
Utoke Dar uende Iringa afu usafiri kwa Bus km zaidi ya 200 kufika Njombe/Makete huu si wehu bora kuja na gari binafsi tuu
 
Kijana hao matajiri wa njombe ndo wakina Fred vunjabei ama?

Hiv Mulishawahi ingiza top ten Billionaire yeyote kutoka njombe.

Kagera kulikiwepo All Mfuruki na mshumbusi kabla hawajafariki.

Bila Shaka sura sio ngeni.

Hebu nitajie millionaires yeyote kutoka kusini alieshaingia top ten ya matajiri bongoView attachment 1884714
Hatunaga sifa za kijinga sisi,huyo muuza sura wa Simba hayumo hata kwenye orodha.
 
Hatunaga sifa za kijinga sisi,huyo muuza sura wa Simba hayumo hata kwenye orodha.
Hebu taja Billionaire yeyote kutoka kusini aliyeshawahi ingia top ten nchini.

Mkoa wa kagera ulishawahi ingiza wawili

All mufuruki biotech companies
Mushumbusi shumbusho

. tofauti ya wafanyabiashara wakubwa wa kihaya na wa huko kusini ni kwamba wafanyabiashara wa kihaya hawafanyi uchuuzi wa kariakoo Bali hufanya biashaza zao kisomi.

Hebu kaulizie makampuni haya

1.Biotech companies
2.mukwano hii imebase Sana Uganda
3.Abemulo companies
4.mesuma companies
5.Iptl ingawa ilipata misuko suko ya escrow
6. Aminza industries
7.Asilia
8.cosad companies
9.kairuki
10.Tusiime na Mushumbusi
 
Sisi Njombe tuna millionaires zaidi ya 10000 wametapakaa nchi nzima wote wakirudi kuwekeza Njombe haikamatiki tena
Hiv unadhani wasomi,matajiri na wafanyabiashara wa bukoba wakiamua kuwekeza bukoba tu si serikali itaogopa na kudhani kagera itajitenga.

Moja ya kitu Nyerere alifaulu ni kuhakikisha vyama vya ushirika kagera vinakufa vyote.maana ndo vimezalisha wasomi na wasomi kweli
 
Kuna mtu kawazuia kuwekeza? Sema hivi hakuna fursa za kuzalisha pesa huko
 
Kuna mtu kawazuia kuwekeza? Sema hivi hakuna fursa za kuzalisha pesa huko
Na serikali inawekeza trillions 7.... ujenzi wa reli ya Kisasa ya kwanza nchini kipande kuanzia Tabora- Mwanza... basi ingeanza na Njombe
 
Kuna mtu kawazuia kuwekeza? Sema hivi hakuna fursa za kuzalisha pesa huko
Kijana hakuna fursa?

Mkoa umepakana na nchi nne
Kuna maziwa Kama Victoria,ikimba,rwelu, bugigi nk
Kuna bonde la mto kagera na ngono.
Kuna mvua za kutosha. mvua ni mwaka mzima bukoba
Kuna miundombinu barabara,bandari mbili, airport nk
Udongo wenye rutuba
Kuna national Parks burigi chato na ibanda rumanyika.
Na game reserves Kama kyamunene na minziro
Kuna beach Kama zote ni wew tu ujenge hotel wap
Kuna soko la kutosha angalia population ya kagera.

Nk nk
 
Kanda kuu ndio inayotoa watu wenye akili nyingi. Siyo mijitu inakimbilia kujinyonga kama like li chifu la wahehe. Yanajua kuvuta bangi tu.
We kweli kichwa nazi, yaani unazungumzia upumbavu wenu wa kuamini risasi kuwa maji! Ila kweli nyie ni mandezi sana, Risasi kugeuka maji, mliuawa kiboya sana kwa ujinga wenu, huyo mkwawa naye baada tu ya kuiona Germany Rolling machine akajinyonga bila hata kuguswa, kama sio undezi nini!! Ebu chekishia mwana wa kanda ya ziwa, mwana wa Tanganyika, Mwana wa Afrika Julius K. Nyerere pasipo hata kumwaga damu, yaani kwa akili kubwa tu akaing'arisha December Tanganyika ikawa huru.
 
Kijana hakuna fursa?

Mkoa umepakana na nchi nne
Kuna maziwa Kama Victoria,ikimba,rwelu, bugigi nk
Kuna bonde la mto kagera na ngono.
Kuna mvua za kutosha. mvua ni mwaka mzima bukoba
Kuna miundombinu barabara,bandari mbili, airport nk
Udongo wenye rutuba
Kuna national Parks burigi chato na ibanda rumanyika.
Na game reserves Kama kyamunene na minziro
Kuna beach Kama zote ni wew tu ujenge hotel wap
Kuna soko la kutosha angalia population ya kagera.

Nk nk
Kama vyote hivyo vipo inakuaje mkoa unakuwa hivi? ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Screenshot_20210806-222003.png

Screenshot_20210806-221819.png

Screenshot_20210806-221941.png
 
Na serikali inawekeza trillions 7.... ujenzi wa reli ya Kisasa ya kwanza nchini kipande kuanzia Tabora- Mwanza... basi ingeanza na Njombe
Njombe tuna sgr yetu inangoja madini sio kama hiyo yenu ililetwa kisiasa
 
Naendelea kuwachapa na Jiji la Taaluma Mbeya City.

Hiki hapa chuo cha Utumishi wa umma tawi la Mbeya๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Screenshot_20210808-062043.png

Screenshot_20210808-062000.png

Screenshot_20210808-061806.png

Screenshot_20210808-061735.png
 
Back
Top Bottom