Mshono eeh.Ujie madini ya dhahabu kila kima awe na pesa au asiwe na pesa anaweza kufanya tofauti na heavy duty,high tech mining and huge investments zinazowezekwa kwenye aina ya Madini yanayopatikana Kusini.Hii ndio sababu uwekezaji unachelewa.
Ila kwa sasa tayari serikali imetoa kibali cha kuanza ujenzi wa mgodi mkubwa wenye investment ya over $ 100.23(2.63T) kwenye mgodi wa Nguavilla Songwe Region.Kana kwamba hiyo haitoshi wwkezaji utaenda sambamba na ujenzi refinery plant kiasi kwamba investment inayotakiwa ni $ 200(4.8T).Hii amount changanya tumigodi twote twa dhahabu Kanda ya Ziwa.
Tukiwaambia Kusini sio size yenu muwe mnaelewa maana tuko endowed with olmost everything[emoji116][emoji116]
View attachment 1883121
View attachment 1883122
View attachment 1883123
View attachment 1883124
We pimbi kweli, yaani nitoke Mwanza kwenye huduma bora za afya nije nitibiwe huko polini?! Hapo ikonda nilienda kumcheki sister yangu tu ni daktari hapo, na kwa taarifa yako huko kusini ni kwetu pia upande wa mother, mie mwenyewe nimezaliwa Mbeya na huko kusini nakujaga sana tu na nisingekuwa nimeshaandika shit kuhusu serikali humu ningeweka picha mbalimbali nikiwa mbeya, songea, Tunduma, Sumbawanga, mbinga, Nyasa, Ikonda, namtumbo, nk. 80% ya ndugu zangu upande wa mama wako kusini, na Kuna ndugu zangu wengi tu upande wa baba wako mbeya na mmoja ni mchungaji maarufu tu hapo mbeya mitaa ya Sae. Haiwezi kupita miaka miwili sijaja huko polini nyumbani kwao Mama.
Ni hivi kwetu Kusini zote ziko relatively untapped na ukitaka kujua ukweli Halmashauri za Mikoa ya Kusini zinafanya vizuri kwenye mapato kuliko huko Kaskazini ambako bila dhahabu hakuna kitu.Lakini yapasa umfahamishe tu kuwa, ingawa kusini zipo mbili yaani kusini na nyanda za juu kusini, lakini zina vitu inavyounganishwa navyo ambacho ni Mtwara Development Corridor ambapo Bandar ya Mtwara iko tayari, bado SGR kutoka Mtwara kwenda kwenye migodi ya makaa ya mawe Liganga na Mchuchuma(kanda ya Nyanda za juu kusini), SGR hiyo pesa za upembuzi zimeshatolewa na SADC. Nilikua nasherehesha tu kuonesha Kanda hiyo ina utajiri mkuba.
Sumbawanga ndio size yenu Bkb,nimepost lami kibao nikiomba unijibu huna,kuanzia dual carriage ziko 2,lami za mjini kwenu hakuna sasa kwenye lami asilimia 80 au 100 huko BK ni wapi? Wapi Tzn hii kuna lami asilimia hata 50%?Hio sumbawanga yako unayopost asilimia 60 haina lami.
Huoni mavumbi hayo mbele ya hizo nyumba?
Halafu unapost mjini
Mimi napost vijijini huoni tofauti
Anyway tuko musibani huku bukoba vijijini ndani ndaniView attachment 1883361View attachment 1883362View attachment 1883363View attachment 1883364View attachment 1883365View attachment 1883366
Yaani mimi nifunge safari kwenda Vijijini Ili nikuletee wewe picha? Sina huo ujinga,nimekwambia nyumba kila sehemu zipo ndio matumizi ya pesa tunazopata.Hio sumbawanga yako unayopost asilimia 60 haina lami.
Huoni mavumbi hayo mbele ya hizo nyumba?
Halafu unapost mjini
Mimi napost vijijini huoni tofauti
Anyway tuko musibani huku bukoba vijijini ndani ndaniView attachment 1883361View attachment 1883362View attachment 1883363View attachment 1883364View attachment 1883365View attachment 1883366
Nyumba unazoita za maana zimejengwa na wasomi walioko mjini hawaishi huko wala hawafanyi uwekezaji kubadili maisha ya waliowaa huko pengine ni kwa sababu hakuna tija.Jeuri ya kuita Mbeya porini huna. Nimezunguka Tanzania, mimi siyo mzaliwa au mtu mwenye asili ya Nyanda za juu ila huwa ni mkweli. Ukiondoa Jiji la Mwanza, maeneo mengi ya Kanda ya ziwa hayawez kushindanishwa na Mikoa ya nyanda za juu kwa resource za kilimo na fertile land, though Kagera nako kuna rutuba. Ama kuhusu vijijini, Bukoba iko juu kwani vijijini kuna nyumba za maana sawa na kule uchagani.
Kima yeyote anaweza sema hayo ya ooh sijui xy ni daktari au pz ni mmiliki mwenza wa hospital ya Mt.Consolata Ili kujifariji.We pimbi kweli, yaani nitoke Mwanza kwenye huduma bora za afya nije nitibiwe huko polini?! Hapo ikonda nilienda kumcheki sister yangu tu ni daktari hapo, na kwa taarifa yako huko kusini ni kwetu pia upande wa mother, mie mwenyewe nimezaliwa Mbeya na huko kusini nakujaga sana tu na nisingekuwa nimeshaandika shit kuhusu serikali humu ningeweka picha mbalimbali nikiwa mbeya, songea, Tunduma, Sumbawanga, mbinga, Nyasa, Ikonda, namtumbo, nk. 80% ya ndugu zangu upande wa mama wako kusini, na Kuna ndugu zangu wengi tu upande wa baba wako mbeya na mmoja ni mchungaji maarufu tu hapo mbeya mitaa ya Sae. Haiwezi kupita miaka miwili sijaja huko polini nyumbani kwao Mama.
Ubaya wake nini? Vumbi? Hizo ni picha za live na ni kiangazi ,ukizoona za msimu wa masika utaishia kuchum simu yakoTuseme ukweli huko unakopost ni pabaya.
Halafu Kuna vumbi sana
Waliotufikisha huko ni nyie pimbi wa Kaskazini,mnazaa hovyo hakuna mnachozalisha na mnaipa serikali mzigo wa kuwahudumia kwa sababu kula na tiba ni haki yenu.Hao Serikali wenyewe ni masikini, na juzi wamepokea chanjo za msaada kutoka kwa matajiri. Masikini anaweza kusema jambo la maana!
Kwa mujibu wa Msigwa wanamalizana na mchina mda sio mrefu tayari kwa kuanza ujenzi maana kumbe migodi mingi ambayo ilikuwa ianze ilikwama kutokana na mabadiliko ya sera ya Madini Kuhusu umiliki mpya wa hisa za serikali na mambo ya local content kwa hiyo michakato ya mazungumzo ilianza upya.Hapo haijajaanza kuvunwa Iron from Liganga Mchuchuma na Hélium toka lake Rukwa
Kubaya eeh👇👇Tuseme ukweli huko unakopost ni pabaya.
Halafu Kuna vumbi sana
Kijana yaan hiyo sumbawanga yako unalinganisha na vijiji vya wahaya huko bukobaSumbawanga ndio size yenu Bkb,nimepost lami kibao nikiomba unijibu huna,kuanzia dual carriage ziko 2,lami za mjini kwenu hakuna sasa kwenye lami asilimia 80 au 100 huko BK ni wapi? Wapi Tzn hii kuna lami asilimia hata 50%?
Kijiji kizima cha Bukoba ukinionyesha barabara kali kama hii hapa Swax nafunga Uzi[emoji116][emoji116]
Yaani mimi nifunge safari kwenda Vijijini Ili nikuletee wewe picha? Sina huo ujinga,nimekwambia nyumba kila sehemu zipo ndio matumizi ya pesa tunazopata.
Kusini kusahaulika [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].Ukipata dual carriage roads kama hizi huko Vijijini kwenu Kagera yote nitag[emoji116][emoji116]
View attachment 1883476
View attachment 1883477
View attachment 1883478
View attachment 1883479
View attachment 1883480
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Eti wanajenga nyumba halafu hawaishi huko.Nyumba unazoita za maana zimejengwa na wasomi walioko mjini hawaishi huko wala hawafanyi uwekezaji kubadili maisha ya waliowaa huko pengine ni kwa sababu hakuna tija.
Sasa hata ujenge bangalow la kufikia huko katerere kwenu la mamilioni na mimi niwe na pagala hata hapo Katoro au Rujewa maeneo ya Mjini,pagale langu ni more valuable kuliko hilo bangalow lako la kupigia picha.
Nyumba zetu za kufikia Vijijini kwetu zipo ila sie sio watu wa sifa za kijinga na kupoteza rasilimali kwa kujenga majumba ya gharama Vijijini.Kwanza Ili iwe nini labda?
Hiyo ni mbeya sio[emoji28][emoji28]
Hoja hii sikubaliani na wewe mkuu.Kwanza niwakumbushe Njombe ya Sasa sio ile ya Zamani.vjijini Kuna nyumba za Maana Sana ambapo zimejengwa na wakazi wa kudumu na watafutaji zikichagizwa zaidi na wafanyabiashara,wasomi wetu wamelala lakini wafanyabiashara wako vema Sana na wanawekeza Njombe kisawasawa.Kwa Sasa ukiiondoa Kilimanjaro Dar huenda mkoa unafuata kwa Makazi na nyumba Bora ni Njombe/Morogoro japo Moro kwa asilimia itazidiwa na Njombe kwa kuwa ina vijiji vingi viko duni Sana na bado havina access ya huduma za jamii.Ifikapo 2035 Njombe itakua imeipiku mikoa yote Tanzania kwa makazi bora labda yatokee majanga.Kumbuka kwa Upande wa vyoo bado tunaongoza.Njombe inapepea mkuu.Nimetoka Ludewa last week huwezi amini Kuna makazi bora Sana huko.Nyumba unazoita za maana zimejengwa na wasomi walioko mjini hawaishi huko wala hawafanyi uwekezaji kubadili maisha ya waliowaa huko pengine ni kwa sababu hakuna tija.
Sasa hata ujenge bangalow la kufikia huko katerere kwenu la mamilioni na mimi niwe na pagala hata hapo Katoro au Rujewa maeneo ya Mjini,pagale langu ni more valuable kuliko hilo bangalow lako la kupigia picha.
Nyumba zetu za kufikia Vijijini kwetu zipo ila sie sio watu wa sifa za kijinga na kupoteza rasilimali kwa kujenga majumba ya gharama Vijijini.Kwanza Ili iwe nini labda?
Yaaa Kanda ya ziwa mwanza ndo ikoo vizuri kila sector at least bukoba vijijini ikoo poa nayooo ilaa sehemu nyingi bado Kuna changamoto nyingi tuuu japo kwa sahivi kila sehemu au kila mjii unajitaidi kimaendeleoo na kila mjii unafulsa nyingi tuu ni wemwenyewe kuwa mbunifu,Jeuri ya kuita Mbeya porini huna. Nimezunguka Tanzania, mimi siyo mzaliwa au mtu mwenye asili ya Nyanda za juu ila huwa ni mkweli. Ukiondoa Jiji la Mwanza, maeneo mengi ya Kanda ya ziwa hayawez kushindanishwa na Mikoa ya nyanda za juu kwa resource za kilimo na fertile land, though Kagera nako kuna rutuba. Ama kuhusu vijijini, Bukoba iko juu kwani vijijini kuna nyumba za maana sawa na kule uchagani.
Mgawane fito na nani nyie mapimbi?! Nchi hi Ni yenu? Nyie ndo mliikomboa kutoka kwa mkoloni?! Kipindi tunakomboa nchi nyie si mlikuwa busy kutoleana funza kwenye hizo kwato zenu! Tena mshukuru sana tunawabebabeba tu ingawa hamjawahi kuchangia msaada wowote katika nchi, ebu waulize mtwara walipo jaribu kuzuia gesi kilichowatokea![emoji38][emoji38] Au walipojaribu kuleta fyoko kuhusu korosho[emoji1787][emoji1787], Tutapiga hadi shangazi zenu.Waliotufikisha huko ni nyie pimbi wa Kaskazini,mnazaa hovyo hakuna mnachozalisha na mnaipa serikali mzigo wa kuwahudumia kwa sababu kula na tiba ni haki yenu.
Tukigawana fito mtaishije nyie washamba?
Kima yeyote anaweza sema hayo ya ooh sijui xy ni daktari au pz ni mmiliki mwenza wa hospital ya Mt.Consolata Ili kujifariji.
Taja wewe hospital yoyote unayoijua huko Kanda ya Ziwa mnakoshindia Michembe ambayo inaweza kukaribia ya Ikonda.
Sio tuu hospital onyesha japo mkeka mkali wa asphalt road uliopo Kanda ya Ziwa popote kama mkeka ulioukuta kusini hadi unafika Ikonda.
Kwa hiyo unatuthibitishia kwamba baba yako aliona dada zake wa ukanda huo ni maboga ndio akaja kuoa vichwa na wapambanaji kutoka Kusini? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hiyo Mwanza unayoizungumzia ni jiji la Mwanza lakini sio Kama Dar Mwanza ni mkoa mkubwa kuna wilaya nyingine Kama sengerema,kwimba,Misungwi huko maisha ya shida.Ukitaka nilinganishe mbeya na Mwanza kwa maendeleo ya mkoa nje na majiji mbeya inaiacha mwanza.Hata kwa per capital income Kuna Gap kubwa sana.Yaaa Kanda ya ziwa mwanza ndo ikoo vizuri kila sector at least bukoba vijijini ikoo poa nayooo ilaa sehemu nyingi bado Kuna changamoto nyingi tuuu japo kwa sahivi kila sehemu au kila mjii unajitaidi kimaendeleoo na kila mjii unafulsa nyingi tuu ni wemwenyewe kuwa mbunifu,
Hivi DAR na wenyewe mnauonaga ni mji bado????Hiyo Mwanza unayoizungumzia ni jiji la Mwanza lakini sio Kama Dar Mwanza ni mkoa mkubwa kuna wilaya nyingine Kama sengerema,kwimba,Misungwi huko maisha ya shida.Ukitaka nilinganishe mbeya na Mwanza kwa maendeleo ya mkoa nje na majiji mbeya inaiacha mwanza.Hata kwa per capital income Kuna Gap kubwa sana.
Unasema baada ya dar na Kilimanjaro vijijini kunafata njombe????Hoja hii sikubaliani na wewe mkuu.Kwanza niwakumbushe Njombe ya Sasa sio ile ya Zamani.vjijini Kuna nyumba za Maana Sana ambapo zimejengwa na wakazi wa kudumu na watafutaji zikichagizwa zaidi na wafanyabiashara,wasomi wetu wamelala lakini wafanyabiashara wako vema Sana na wanawekeza Njombe kisawasawa.Kwa Sasa ukiiondoa Kilimanjaro Dar huenda mkoa unafuata kwa Makazi na nyumba Bora ni Njombe/Morogoro japo Moro kwa asilimia itazidiwa na Njombe kwa kuwa ina vijiji vingi viko duni Sana na bado havina access ya huduma za jamii.Ifikapo 2035 Njombe itakua imeipiku mikoa yote Tanzania kwa makazi bora labda yatokee majanga.Kumbuka kwa Upande wa vyoo bado tunaongoza.Njombe inapepea mkuu.Nimetoka Ludewa last week huwezi amini Kuna makazi bora Sana huko.