Wanasema SGR Ni JPM aliipendelea kwao, wakati Engineer wa SGR ni tokea kipindi cha BWMPesa zinaenda hazina, na katika mikoa inayofaidi pesa za hazina ni pamoja na kanda ya ziwa, serikali haijawahi kututenga kama ilivyoitenga kusini, na ndo maana Rais juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa kwanza kabla ya kusini make kipaumbele cha nchi hii ni pwani na kanda ya ziwa kwanza afu wengine ndo wanafuata, na wa mwisho kabisa ni kusini.
Aibu yako na hofu la Mwanza ambalo hata halijakamilika.ππNimekuambia uwanja kama ule wa Mwanza wewe unaleta mapagale, make hata mbinga uwanja wa ndege upo. Tuonyeshe uwanja mzuri kama huo wa Mwanza ulioko kusini
Mbona naona maghala ya kuhifadhia pamba tu hapo, ndo airport za kusini ziko hivyo?!Aibu yako na hofu la Mwanza ambalo hata halijakamilika.
Airport za kisiasa zinafanania hivijust enjoy
View attachment 1883046
View attachment 1883053
View attachment 1883054
View attachment 1883055
View attachment 1883056
View attachment 1883057
View attachment 1883058
View attachment 1883059
View attachment 1883060
View attachment 1883061
View attachment 1883062
View attachment 1883063
Kama sio kipaumbele Rais Samia angebatirisha make ujenzi umezinduliwa Magufuli hayupo.Wanasema SGR Ni JPM aliipendelea kwao, wakati Engineer wa SGR ni tokea kipindi cha BWM
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Wewe una shida,Mbeya kuna mid sized malls nyingi Sana kwa sasa sio sawa na hilo empty ghala lenu.Tunasubiri utuwekee na mall za kusini tucheke tuongeze siku za kuishi, weka.
Usiwe kiazi wewe,Tzr sio mgr ni cape grade standard .Hiyo TAZARA yenyewe sijawahi sikia ikiongelewa upgrade kutoka MGR kwenda SGR, wakati reli ya Dar-Mwz imeanza kuongelewa kuwa SGR tokea miaka ya 1990. Ndio ajue Kanda ya ziwa sio level zao
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kuna mgodi mkubwa unafunguliwa Sengerema, tayari leseni yenye thamani ya Trillions 2.3 imekwatwa. Ndio utakuwa mgodi mkubwa wa dhahabu kuliko yote nchini na utakuwa Sengerema. Multiplier effects za huu mgodi lazima muite maji mmaaaa
Kilaza ni wewe, proposal ya SGR pioneer ni Benjamin Mkapa, maandalizi ya ujenzi kafanya Kikwete JPM kaweka msingi tu.Usiwe kiazi wewe,Tzr sio mgr ni cape grade standard .
Huko kwenu yule dhalimu alitumia vibaya madaraka ndio maana alinza kujiwekea Kinga za kijinga akaishia kufa.
Nimechapa kwenye mshono eti???!Multiplier effect ya Migodi Tanzania ni uharibifu wa mazingira na ufukara kwa wenyeji, just like Shinyanga na mwadui. Vijiji vya huko ni ufukara wa kutisha.
Hazina ndio huku anakosema Ummy au ?Si ajabu mnazidi kuwa maskini..Michembe imekuharibu akili anza kura parachichi ππππPesa zinaenda hazina, na katika mikoa inayofaidi pesa za hazina ni pamoja na kanda ya ziwa, serikali haijawahi kututenga kama ilivyoitenga kusini, na ndo maana Rais juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa kwanza kabla ya kusini make kipaumbele cha nchi hii ni pwani na kanda ya ziwa kwanza afu wengine ndo wanafuata, na wa mwisho kabisa ni kusini.
πππ Kila kitu kinajibiwa,Kusini ni π₯π₯β¨οΈβ¨οΈMbona naona maghala ya kuhifadhia pamba tu hapo, ndo airport za kusini ziko hivyo?!
Hizo grocery zenye viti vya Coca-Cola ndo mall za kusini!Wewe una shida,Mbeya kuna mid sized malls nyingi Sana kwa sasa sio sawa na hilo empty ghala lenu.
Wasukuma na mall wapi na wapi?Haya Cheka vizuri hapo sasa
View attachment 1883067
View attachment 1883068
View attachment 1883069
View attachment 1883070
View attachment 1883071
View attachment 1883072
View attachment 1883073
View attachment 1883074
View attachment 1883075
View attachment 1883076
View attachment 1883077
View attachment 1883078
Naona Sasa Umeanza kudata na funza zako miguuni, Sasa serikali kuu kukusanya mapato na hilo gazeti ulilopost vinahusiana nini?!Hazina ndio huku anakosema Ummy au ?Si ajabu mnazidi kuwa maskini..Michembe imekuharibu akili anza kura parachichi
View attachment 1883092
Mshono eeh.Ujie madini ya dhahabu kila kima awe na pesa au asiwe na pesa anaweza kufanya tofauti na heavy duty,high tech mining and huge investments zinazowezekwa kwenye aina ya Madini yanayopatikana Kusini.Hii ndio sababu uwekezaji unachelewa.
ππππ Wewe ni kituko ,wenzako wamejenga mahoteli Njombe wewe unazungumzia guest Kahama?Nimepitia comments karibu zote nimeona Kahama Iko Juu .nina swali naomba kuuliza hivi kiwanja cha kujenga Guest house nje kidogo ya mji wa Kahama kinaweza kugarimu million ngapi?ujenzi wa kujenga room 20 inaweza kugarimu million ngapi?ni guest ya kawaida mkuu.
Maana nina million 60 ningependa ku investment Kahama .Nimechoka kukaa hapa Arusha na Kilimanjaro maana kila mtu anataka kuwa mjuaji.asanteni sana.
Kula parachichi na ngano u activate akili za kinyumbu ndio ukisoma sasa utaelewa.Naona Sasa Umeanza kudata na funza zako miguuni, Sasa serikali kuu kukusanya mapato na hilo gazeti ulilopost vinahusiana nini?!
Yaani uache kujenga Guest kwenye watu, ukajenge Hotel kwenye mashamba ya miti!!!! Hii hesabu ya wapi?????Wewe ni kituko ,wenzako wamejenga mahoteli Njombe wewe unazungumzia guest Kahama?
Umeona picha ya hotel hata moja kutoka Kahama? Ushauri wa bure hiyo guest iwe kwa show time ndio utapata wateja huko Kahama.
ππππ Sema hivi amejiridhisha kwamba akijenga hotel huko Kahama itaishia kuwa makazi ya popo ila guest itawafaa Ili muendelee kupigana miti kama pacha kulingana na uwezo wao.Yaani uache kujenga Guest kwenye watu, ukajenge Hotel kwenye mashamba ya miti!!!! Hii hesabu ya wapi?????
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app