jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,192
- 42,896
Achana nao hao..ambao hawajawahi fika bkb.Kijana huu mji ndo wa kulinganisha na bukoba kweli?
Wamejengewa hizo barabara sijui dual ndo mnaona maendeleo?
Kama hujui nyuma ya mwanza bukoba ndo inafuata kwa miundombinu na majengo Kanda ya ziwa
Bukoba hakuna mtaa ambao hauna barabara ya lami na Wala hawajawahi pata hiyo miradi
Bukoba Kuna airport kubwa,nzr ( jengo la abiria linazidi Hadi la mwanza) na iko busy na inapokea abiria 60000 kwa mwaka. Na ipo top five nchini. Atcl route ya dar mwanza bukoba ndo inawalipa Sana kwa route za ndani .
Bukoba Kuna uwanja mzr Sana wa michezo wenye nyasi bandia kaitaba stadium
Bukoba kuna bandari kubwa mbili bukoba custom na kemondo zote zinapokea kila siku meli kubwa Kama Victoria. Bandari ya bukoba ndo ya pili baada ya mwanza Kanda ya ziwa.
Umeme,maji na mawasiliano kwa bukoba sio chida. Umeme unatumika wa Uganda.
Mji huu wa sumbawanga ndo wa kulinganisha na bukoba kweli?
View attachment 1877849View attachment 1877850
Ila hiyo hifadhi inanufaisha zaidi Arusha kuliko Simiyu au Mara,sasa hapo mnajivunia kwa lipi?
Hapo unachoongea wewe ni hivi," kwetu kuna ziwa kwenu halipo" sasa wewe una akili? Unaweza badili nature? Kwamba Songoro marine aweke kampuni huku kwetu ambako usafiri wa maziwani ni kama hautumiki Ili apate nini? By the way Songoro mwenyewe ni damu ya Kusini.Kanda ya ziwa kuna kampuni ya kuunda Meli, Ferry, nk. Na inafanya kazi hadi huko kusini ziwa nyasa, je huko kwenu ipo? Kanda ya ziwa kuna tv station na radio zenye coverage nchi nzima hadi nchi jirani, je kusini zipo? Kusini level yenu ni kanda ya magharibi.
Nyumba kali tunaachaje kuwa nazo ikiwa tunapata pesa? Sema hivi hiyo Kazi ya kuingia mitaani kupiga picha ni hobby za watu wenye blogs za picha.Nadhani kabla hamjaanza kujivunia mapato mngeelimika kwanza.
Watu wa kagera bukoba walielimika kwanza ndo maana wanaisaka pesa na kuja kuwekeza vijijini hiv.
Bukoba vijijini ukiwa unapita ndo utaona umuhimu wa kusoma kuliko kuwa na biashara za stress kariakoo Kama wakinga.
Huku ni vijijini sidhani Kama nyumba hiz Kama hata mbeya mjini zipoView attachment 1881682View attachment 1881683View attachment 1881684View attachment 1881686View attachment 1881687View attachment 1881688View attachment 1881689View attachment 1881690View attachment 1881691View attachment 1881692View attachment 1881693View attachment 1881694View attachment 1881695View attachment 1881696View attachment 1881697View attachment 1881698
Shule kila sehemu zipo,kama hivi ππYes ijuganyondo
Kama kata
Kuna shule zifuatazo za sekondari
Kagemu
Kajumulo
Kaizirege
Kemebos
Josiah
Rugambwa girlsView attachment 1882567View attachment 1882568View attachment 1882569View attachment 1882570View attachment 1882571
Ukipata barabara za mitaani zenye mkeka kama huu hapa Bukoba nzima nitag.Swax ππKumbe mji wenu una vibanda ka vyote.
Bukoba ilitangazwa manispaa 1995 huko..
Mimi bado nakutaliisha vijijini huko bukoba.
View attachment 1881767View attachment 1881768View attachment 1881769View attachment 1881770View attachment 1881771View attachment 1881772View attachment 1881773
Kusini Kuna kampuni ya kuunda meli? Kusini Kuna tv na radio station kama startv na RFA za kanda ya ziwa?Hapo unachoongea wewe ni hivi," kwetu kuna ziwa kwenu halipo" sasa wewe una akili? Unaweza badili nature? Kwamba Songoro marine aweke kampuni huku kwetu ambako usafiri wa maziwani ni kama hautumiki Ili apate nini? By the way Songoro mwenyewe ni damu ya Kusini.
Sisi Kusini tunashindana na Kanda ya Pwani
Serengeti ya kanda ya ziwa ndo inaongoza Tanzania na ndo hifadhi bora duniani, kwa kifupi hifadhi bora duniani iko kanda za ziwa.Ila hiyo hifadhi inanufaisha zaidi Arusha kuliko Simiyu au Mara,sasa hapo mnajivunia kwa lipi?
Kusini kuna uwanja wa ndege kama huu? Onyesha tuuoneUkipata barabara za mitaani zenye mkeka kama huu hapa Bukoba nzima nitag.Swax [emoji116][emoji116]
View attachment 1882930
View attachment 1882931
View attachment 1882932
Onyesha shopping mall kama hii iliyoko kusiniSasa kama Wamepitia since then na hawakuwa granted means hamkukidhi viwango,sisi tumeanza tukiwa tumekidhi viwango vyote
Huu hapa ππSongwe International airportKusini kuna uwanja wa ndege kama huu? Onyesha tuuoneView attachment 1882939View attachment 1882940
Kusini kuna uwanja wa ndege kama huu? Onyesha tuuoneView attachment 1882939View attachment 1882940
Inaongoza kwa lipi? Pesa za hifadhi anafaidi nani? Hakuna airport,hakuna hotel mumeishia kuongoza mdomoni afu pesa wanakula ArushaSerengeti ya kanda ya ziwa ndo inaongoza Tanzania na ndo hifadhi bora duniani, kwa kifupi hifadhi bora duniani iko kanda za ziwa.
Hata wewe unafaidiInaongoza kwa lipi? Pesa za hifadhi anafaidi nani? Hakuna airport,hakuna hotel mumeishia kuongoza mdomoni afu pesa wanakula Arusha
Radio na tv za ndani ya mikoa ziko nyingi sanaKusini Kuna kampuni ya kuunda meli? Kusini Kuna tv na radio station kama startv na RFA za kanda ya ziwa?
Nimekuambia uwanja kama ule wa Mwanza wewe unaleta mapagale, make hata mbinga uwanja wa ndege upo. Tuonyeshe uwanja mzuri kama huo wa Mwanza ulioko kusiniHuu hapa [emoji116][emoji116]Songwe International airport
View attachment 1883025
View attachment 1883026
View attachment 1883027
Hata pale karagwe Kuna radio inaitwa fadeco fm, tuonyeshe tv iliyoko kusini yenye coverage nchi nzima, na radio pia ya namna hiyo.Radio na tv za ndani ya mikoa ziko nyingi sana
Tokeni huko porini kwenu tembeeni mfanye utalii,kutalii sio kuona nyumbu tuu wa seringeti ndio maana mnakuwa na akili za kinyumbu nyumbu πππHamko peke yenu mnaolima chai wadau bukoba chai inalimwa Sana.
Mashamba ya Chai bukoba na kiwanda Cha chai bukobaView attachment 1881651View attachment 1881652View attachment 1881653
Pesa zinaenda hazina, na katika mikoa inayofaidi pesa za hazina ni pamoja na kanda ya ziwa, serikali haijawahi kututenga kama ilivyoitenga kusini, na ndo maana Rais juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa kwanza kabla ya kusini make kipaumbele cha nchi hii ni pwani na kanda ya ziwa kwanza afu wengine ndo wanafuata, na wa mwisho kabisa ni kusini.Inaongoza kwa lipi? Pesa za hifadhi anafaidi nani? Hakuna airport,hakuna hotel mumeishia kuongoza mdomoni afu pesa wanakula Arusha
Umesahau Barmedas TV Mwanza (Start imes)Hata pale karagwe Kuna radio inaitwa fadeco fm, tuonyeshe tv iliyoko kusini yenye coverage nchi nzima, na radio pia ya namna hiyo.
Kanda ya ziwa kuna startv, RFA, na Kiss FM tangu mwaka 1996. Haya tuonyeshe za kusini kama zipo.