Kahama VS Njombe/Mafinga

Nani hajaelimika? Hizo nyumba ziko nyingi tuu mitaani
Juzi tu hapa huko njombe watu wamegua ndani na jiko la mkaa.




Sisi kagera hatukisanya Sana makusanyo.


Lakin vijijini Sasa.Watu wanajenga nyumba Bora sana.kumbuka huku ni Kanda ya ziwa pia
 
Mkuu Njombe imetangazwa kua mkoa mwaka 2012 wakati huo Kagera ukiwa ni mkoa ulioanzishwa mwaka 1962 ukiitwa west Lake Region na baadae kuitwa Kagera mwaka 1979.Maajabu ni kuwa mwaka 2019 Njombe inashika nafasi ya Tatu kwa Utajiri na Kanda ya Ziwa ikiwa haina hata mkoa mmoja top 5 huku ikiongoza kwenye mikoa yenye umasikini Tanzania.Haya ni maajabu.Nyanda za Juu kusini ikiongoza top five mikoa yenye utajiri.Acheni Mambo hayo.Kanda ya Ziwa haitaikuta Nyanda za Juu kusini pamoja kuchepusha ReliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Yes hizo ni takwimu Kama takwimu nyingine.


Kagera hii unayoiona leo imepita huko huko
Wakati ikiwa West lake ilikuwa nyuma ya dar kwa makusanyo na utajiri kabla ya Vita ya kagera.Na majanga mengine mengi ikiwemo kuvunjwa kwa vyama vya kahawa.



Lakin huu mkoa bado umesimama na unazidi kupiga maendeleo Kama kawaida yake.
YES ONE DAY UTARECOVER.


The second largest lake Victoria port bukoba
 
Pole sana. Unalinganisha kanda kuu na utopolo ? Mtatseka sana na Kanda kuu lakini hamna jinsi. Kanda ya Ziwa ndio Tanzania. Endelea kujifaragua huku mikoa yenu , Mbeya ,Songwe, Ruvuma ikivamiwa na wasukuma. Baada ya miaka ishirini mtabaki kama wakimbizi kwenye mikoa yenu kama ilivyo kwa Katavi na Morogoro.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Kanda kuu kwa umaskini Tzn
 
Ni Takwimu zenye uhalisia,lini uliwahi ambiwa Kagera ina maisha mazuri kuliko Njombe?

Yaani mkoa wa juzi tuu unawapiga bao.Take an average raia wa kagera na an average raia wa Njombe unakuta ni Kilimanjaro na kichuguu.

Mwenzako Sexer amesafir kutoka huko Vijijini kwenu kuja kupata huduma za afya Consolata Hospital Ikonda Makete.Mzungu sio mjinga πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Endeleeni kukusanya mapato.



Huwezi tenganisha kagera na elimu hata kidogo


Kata hii ya ijuganyongo Ina shule tano za sekondari . Ni wew tu uchague usomee wap
 
Kanda ya ziwa kuna kampuni ya kuunda Meli, Ferry, nk. Na inafanya kazi hadi huko kusini ziwa nyasa, je huko kwenu ipo? Kanda ya ziwa kuna tv station na radio zenye coverage nchi nzima hadi nchi jirani, je kusini zipo? Kusini level yenu ni kanda ya magharibi.
 
Sasa Kusini kila kitu kipo si madini ,misitu au ardhi ya kilimo hadi utalii vyote hivi havijavunwa changamoto kubwa ni miundombinu bado haijafinguliwa.

Sasa ulivyoorodhesha hapo kipi hakipo kanda ya ziwa? Tembea uone acha kujichimbia tu huko huku ukiliwa funza, Misitu kanda ya ziwa ipo ingawa si Kama kusini Ni kama tu vile madini kusini yapo ila si mengi kama kanda ya ziwa. Utalii ndo usiseme Serengeti ndo kinara wa kuchangia pato la utalii na ndo hifadhi bora duniani
View attachment 1882880
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…