Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Barabara gani zimepauka hivyo afu nyembamba.Wakati nyie mnaongelea barabara za mikoa.
Sisi kagera tunaongelea barabara za vijijini.
Barabara ya muhutwe nshamba eneo la kasikoView attachment 1880146View attachment 1880147
Kijana unanipotezea muda.Barabara gani zimepauka hivyo afu nyembamba.
Barabara zinafanania kama hivi [emoji116]
View attachment 1880236
View attachment 1880237
View attachment 1880238
View attachment 1880239
View attachment 1880240
Hapo tu bukoba vijijini.Wakati Kuna barabara mahususi kutoka kyaka kwenda karagwe ambayo inaunganisha kwa lami bukoba na karagwe via kyaka, njombe nzima hakuna barabara ya lami kutoka mkoani kuunganisha na wilaya ukiachana na wilaya zilizoko barabarani iringa songea na iringa mbeya.
Simple,clear and classic.Huoni aibu kulinganisha hicho kijiji na Swax?
Songwe airport [emoji116][emoji116]
View attachment 1880183
View attachment 1880184
View attachment 1880185
View attachment 1880186
As if mnakaa na kuishi kwenye National park [emoji28][emoji28]Tunaendelea kutawala jukwaa,Kitulo NP[emoji116][emoji116]
View attachment 1880205
View attachment 1880242
Mitaa ya makambako iyoo Mambo yamebadilika mkuu wee inaonekana ni mwenyeji wa njombe ilaa hujui Mambo yanayoendelea ktk mkoa wakoo na huijui mitaa yote vizuli, Mambo yamebadilika usiishi kwa kukalili iyoo picha ni mitaa ya magegere saiv ukienda viwanja vishapanda beiiNjombe ndo nilikozaliwa na ndo ninakoishi kwa xx pia lkn kahama mji wa akina fantom nmeishi kwa miaka 10 tangu 2010-2020 so naifaham vyema hii miji ila bila kumumunya maneno wala upendeleo ni kuishusha hadhi kahama kuifananisha na njombe
1. Mji umepangika
2. Shughul za wakaz ni
i- uchimbaji wa madin
ii- kilimo cha mpunga
iii- biashara yenye mzunguko mkubwa kuliko manispaa( ndio maana ata enzi za boss luge mkoa wa shy ndio uliokua na matukio 2 ya fiesta ndan ya mkoa mmoja yaan 1 shy town na 2 kahama na licha ya ivyo vaib la shy lilikua halfanani na la kahama)
Nb: siku ukifika kahama waombe wenyeji wakupeleke kaliakoo ndio utaamin kua mgod wa bulyang'hulu unatema madini na sio viaz km njombe
3- kuhusu ubora wa majengo ndio usiseme kabisa
4- harakat za utaftaji wa mkate wa cku ni za 24hrs
5-hali ya hewa ni nzur haina joto lililoptiliza la zaid ya 32°C km dar wala bard la kulimia viaz mvirungo la kufkia chin ya 20°C km njombe
Hongeren wale mnaoishi kahama ni maeneo yanayofaa kwa kila ktu ko endeleen ku enjoy life
Uyoo Hamna kitu hajui ka njombe ya sasa sio ka ya zamani saiv ni makao makuu ya mkoa kwaiyoo lazma kila kitu kiendee kwa mipangoo afuu mkoa wa njombe haujui vizuli fursa ziko nyingi Sana tatizo vijana wengi wanapenda mseleleko pesa unaipata bila kutumia nguvuu njombe maeneo yapoo ya kutosha tuuu ni wewe na akiliyakoKuna mtu anakupakata huko Kahama sio bure..Kwamba Kahama imepangika kuliko Njombe?
Kwamba Kahama ina majengo mazuri na mengi kuliko Njombe eti? Una matatizo wewe ,hadi sasa ukifukua huu Uzi utakuta majengo ya Njombe tuu hao jamaa zako umaowasifia wameshindwa ku justify,kama tuu wewe hapa hadithi nyingi hakuna picha.
Tatizo Nini wadau.Yani ukiangalia mapato haya kiukwel mkoa wa njombe upo mbali mno mfano halmashuri zinazo unda wilaya ya njombe zimekusanya zaidi ya mapato ya majiji Fulani maana kwa ujumla wilaya ya njombe Ina bln 13 na point kwa mwendo huu miaka ijayo tutegemee jiji la njombe
Tatizo Nini wadau.
Mnakusanya mapato lakini shule ziko hiv?
Mngeelimika kwanza Kama walivyofanya kagera ( wahaya) then mkakusanya mapato
Huko muleba Kuna kata zinashule za msingi tano na ni kawaida kuwa na Kijiji kuwa na shule mbili ndo maana muleba ni wilaya ya pili nchini kwa shule vijijini baada ya Moshi
Anyway Kama ulikua hujui kagera na Kilimanjaro Kuna shule za msingi nyingi kuliko dar kagera kuna shule zaidi ya 600 na sekondari zaidi ya 200
Bukoba pekee Ina advanced sh
Mbeya ni Mji mkubwa na mkoa wa Mbeya kiujumla ni namba tatu kwa uchumi nchi hii huwezi linganisha na huto tutakataka.
Size ya Kagera ni Rukwa.Mbeya imeizidi Mwanza kwa vyuo vikuu ndio ulinganishe na huto tuvijiji ?
Maneno mengi huku kamji kenyewe akawezi kukaa ligi moja na mji wa tarime wenda kidogo sirari japo sirari ligi yake tunduma na mkubwa wenu huko mbeya chamtoto tu ukiondoa population hana chochote mbele ya musoma, kyerwa apewe butiama, makambako mjini size yake bunda na uyole linganisha na mugumu mjini, mafinga vs shirati kama unabisha tulete evidence mezani.leo na waletea latest Arial view ya Njombe Town
Wala sijasema ukubwa wa miji hata kidogo.
Bukoba ni kamanispaa kadogo ilo nakubaliana na wew sema kanajitosheleza .
Kana airport, barabara za lami,bandari,starehe,masoko,maji,umeme na Hadi viwanja vya mpira. Ambazo miji ya kusinni huwezi kukuta mji una Mambo yote hayo katika sehemu Kama ilivyo bukoba.
Lakin ukitembelea vijjiji vya kagera ndo utaona faida ya elimu aisee. Huko Kuna majengo na majengo na majumba.
Shida ya mikoa mingi bongo unakuta miji imeendelea Sana na mikubwa ( Kama ilivyo kusini) lakin haijitoshelezi na ukienda vijijini Sasa ndo majanga matupu.
Lakin hii ni tofauti kwa mkoa wa kagera . Wilaya ya muleba kwa mfano haina mji wowote ule zaidi ya Vicenter vidogo lakin vijijini huko Kuna majumba,maji ,umeme barabara,chakula ndo maana Ina population density ya juu.
Mkuu nikuulze swali. Hiv ni Lazima ukiwa na pesa uwekeze mjini?
Binafsi naona wahaya wako sahihi kuwekeza vijijini kwao ndo maana na serikali inawafata kwa kuwajengea barabara,umeme,maji nk.
Wilaya ya muleba ni barabara mbili tu ambazo hazina lami na hakuna Kijiji kisichokuwa na umeme
[emoji38][emoji38][emoji38] Chuo gani kipo Mbeya Mwanza hakipo? Zaidi ya MUST na Mwanza kuna CUHAS ambayo Mbeya haipo.Mbeya ni Mji mkubwa na mkoa wa Mbeya kiujumla ni namba tatu kwa uchumi nchi hii huwezi linganisha na huto tutakataka.
Size ya Kagera ni Rukwa.Mbeya imeizidi Mwanza kwa vyuo vikuu ndio ulinganishe na huto tuvijiji ?
Mzumbe university,chuo cha ushirika Moshi,Udsm MUCHAS,hivi ni baadhi tuu ila orodha ni ndefu sana[emoji38][emoji38][emoji38] Chuo gani kipo Mbeya Mwanza hakipo? Zaidi ya MUST na Mwanza kuna CUHAS ambayo Mbeya haipo.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mikoa kumi inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa. Kanda ya ziwa imeingiza Mikoa mitatu, Nyanda za juu kusini mmeingiza mikoa miwili, na hamuoni aibu??? Wavivu sana nyie...Mbeya ni Mji mkubwa na mkoa wa Mbeya kiujumla ni namba tatu kwa uchumi nchi hii huwezi linganisha na huto tutakataka.
Size ya Kagera ni Rukwa.Mbeya imeizidi Mwanza kwa vyuo vikuu ndio ulinganishe na huto tuvijiji ?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] huijui MwanzaMzumbe university,chuo cha ushirika Moshi,Udsm MUCHAS,hivi ni baadhi tuu ila orodha ni ndefu sana
Mikoa kumi inayoongoza kwa kuchangia pato la Taifa. Kanda ya ziwa imeingiza Mikoa mitatu, Nyanda za juu kusini mmeingiza mikoa miwili, na hamuoni aibu??? Wavivu sana nyie... WeView attachment 1880753
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile appy
Basi tunaitoa Ruvuma na tunaiweka Njombe, kwa sababu najua Njombe bado ni mdogo kwa Geita na haiwezi mpangua Geita...Hizo data za 2019 leta current