Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,504
- 8,253
Hata huyo jamaa yako Opportunity Cost hajatambea, huwa anatokwa povu hapa kwamba jiji la Mwanza linazidiwa na mbeya.hajatembea ndyo tatzo
Hata huyo jamaa yako Opportunity Cost hajatambea, huwa anatokwa povu hapa kwamba jiji la Mwanza linazidiwa na mbeya.hajatembea ndyo tatzo
Haha mara ya mwisho kwenda Igwachanya (Wanging'ombe) lini??Kumbe kimapato!!! Yaan makusanyo hapo sawa.
Endeleeni kukusanya mapato mjenge nchi.
Sisi tunaongelea maendeleo ya watu.na mtu mmoja mmoja
Just imagine hiv wangingombe Kuna lami huko kweli? Vip makete imeunganishwa na lami kweli?
Barabara za lami huko vijijini muleba
View attachment 1880044View attachment 1880046View attachment 1880049
Kijana umetoka kagera lini?mbunda kuna Lami mkuu
lubya kuna lami mkuu
Nshamba nakoje??
Ahaa kumbe mnalinganisha makusanyo?kaka mie naishi mwanza lkn usinifanye nicheke kiukweli Iringa ni Hatare kwa mapato Fikria mfindi ni wilaya ya 2 kwa mapato Ukiacha ilala inafata mfindi halafu wew unasema nini Mkuu fikria Mbao zinaingiza pato gani kwa taifa harafu fikria na hizo ndzi za Bukoba wew huoni ni Mbingu na Aridhi kulinganisha pato la Iringa na Bukoba??
Njombe lami inapita tu kwenda Songea.Kijana umetoka kagera lini?
Lami imewekwa huko Rubya mwaka 2019 na magufuli aliizindua mwaka huu na barabara inaitwa mujungi road.
Lami kwa Sasa ipo nshamba.
Barabara za muleba zisizo na lami ni zile za mubunda na ngoteView attachment 1880052View attachment 1880053View attachment 1880054View attachment 1880061
Kumbe mnashindanisha mabasi?Kuna basi ngap Zina toka dar kwenda bukoba ndo ulinganishe na iringa ambako Kuna mabasi ya saa 12j jioni kwenda dar
Le
Kagera haiwezi kuigusa mkoa njombe hata kila wilaya ya mkoa wa njombe Ina fursa na itaongoza sana mapato na bado migodi haijaaanza shule zpo za kutosha






Njombe lami inapita tu kwenda Songea.
Kwa hiyo nakupa ushahidi japo juu unabisha au? Huko lake zone vitu kama hivi mumeanza kuviona enzi za Mkapa na JK ndio maana mnaongoza kwa umaskini.Wapi hakuna umeme toka zamani! Umeme kwenda kusini ni njia moja tena ile ndogo ya kizamani, wakati umeme kwenda kanda ya ziwa ni njia mbili tena hii ya pili ni kubwa zaidi na ya kisasa Kama ulivyoona kwenye picha
Naam hii ni shule ya sekondari tu huko bukoba.
Tafuta shule Kama hii nyanda za kusini yoteView attachment 1880026View attachment 1880028View attachment 1880029View attachment 1880030View attachment 1880031View attachment 1880032
Wewe acha ushamba,nimekueleza tena kwa mifano hai kwamba nyie ndio mnaanza kutumia umeme nowadays wakati sie tumekuwa na umeme toka Uhuru.Wapi hakuna umeme toka zamani! Umeme kwenda kusini ni njia moja tena ile ndogo ya kizamani, wakati umeme kwenda kanda ya ziwa ni njia mbili tena hii ya pili ni kubwa zaidi na ya kisasa Kama ulivyoona kwenye picha. Ukiendelea kukaa huko kijijini mavumbini funza watakumaliza, njoo mjini.
Kwan wilaya za kagera hazina fursa?Kuna basi ngap Zina toka dar kwenda bukoba ndo ulinganishe na iringa ambako Kuna mabasi ya saa 12j jioni kwenda dar
Le
Kagera haiwezi kuigusa mkoa njombe hata kila wilaya ya mkoa wa njombe Ina fursa na itaongoza sana mapato na bado migodi haijaaanza shule zpo za kutosha
Shule kila sehemu zipo,nyie nitawanyoosha na roads kwanza.Naam hii ni shule ya sekondari tu huko bukoba.
Tafuta shule Kama hii nyanda za kusini yoteView attachment 1880026View attachment 1880028View attachment 1880029View attachment 1880030View attachment 1880031View attachment 1880032
Eti Pato ni la msimu.shida pato la kagera ni la msimu lkn Iringa/Njombe hakuna msimu mmoja
fkiria Mbao huwa hazina msimu
lkn kahawa zina msimu na mgomba
Iringa viazi,Kitunguu,nyanya,parachichi nk hivi huwa wanalisha eneo kubwa sana Kwa Tz mfano Nyanya ya Njombe soko lake kuu ni Morogoro-Dar
Kiazi&Kitunguu ni Dar-Mwanza
Bado hapo hujagusa mkaa 60%mkaa wa Dar hutok mikoa hii
We kweli ni kituko, umeme kanda ya ziwa uko toka enzi za mjerumani, kipindi huko kusini mnaishi na nyani hata barabara ya lami hamuijui inafananajeKwa hiyo nakupa ushahidi japo juu unabisha au? Huko lake zone vitu kama hivi mumeanza kuviona enzi za Mkapa na JK ndio maana mnaongoza kwa umaskini.
Nimesema hivi umeme umekuwepo Nyanda
Wewe acha ushamba,nimekueleza tena kwa mifano hai kwamba nyie ndio mnaanza kutumia umeme nowadays wakati sie tumekuwa na umeme toka Uhuru.
Hata saizi umewah sikia Rukwa,Songwe na Njombe tunalia Lia Kuhusu umeme au kukatika umeme?
Tuma multiple sources kuanzia private, institutions na government.
Shida unaishi kijijini na umekaririshwa pumba
Shamba la Green gold mkoa wa njombe mtasubiri sana
View attachment 1880027
Haha mara ya mwisho kwenda Igwachanya (Wanging'ombe) lini??
pote huko now ni lami2 mkuu hadi Iten
Endeleeni na makusanyo makubwa lakin wananchi wenu wakibaki maskini .Haya tazama majusanyo hapo ndyo utajua Iringa vs Bukoba ni Mbingu na AridhiView attachment 1880051
njombe zijaongelea viwanda vya chai lupembe na mananasi madeke kmbka Parachichi ya njombe huuzwa Kenya na Malawi kama ni ziwa Nenda Manda pato la kutosha2Eti Pato ni la msimu.
Kijana unijua mixed farming ya migomba?
Au tukurudishe shule? Hujui hiyo mihogo,magimbi nk hulimwa pamoja na migomba?
Pato la msimu wakati bukoba kuna uvuvi Kuna viwanda vikubwa viwili vya samaki, biashara za mipakani,kilimo Cha miwa kagera sugar, vanilla,
Bado Kuna migodi mikubwa Kama stamico Kule biharamulo .