Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Mixed farming ya migomba 😂😂😆😆 kwamba Kagera inaijua Sana migomba kuliko Tukuyu?Eti Pato ni la msimu.
Kijana unijua mixed farming ya migomba?
Au tukurudishe shule? Hujui hiyo mihogo,magimbi nk hulimwa pamoja na migomba?
Pato la msimu wakati bukoba kuna uvuvi Kuna viwanda vikubwa viwili vya samaki, biashara za mipakani,kilimo Cha miwa kagera sugar, vanilla,
Bado Kuna migodi mikubwa Kama stamico Kule biharamulo .
Kijana hicho kidimbwi?Hata ziwani mkoa wa njombe upo utauzidia wap kagera kunywen tu ubisi
View attachment 1880058View attachment 1880060
ToEndeleeni na makusanyo makubwa lakin wananchi wenu wakibaki maskini .
Kagera hakuna makusanyo makubwa lakin watu wanajitambua na wanaelimu hivyo wanachokipata wanakiwekeza kwenye elimu kwanza na maendeleo ndo maana vijijini kumejengeka Sana.
Siku njombe mkifika stage hii mnitag
Bukoba watu wanavipatoView attachment 1880120
Nami najua hivyo.Njombe lami inapita tu kwenda Songea.
Wakati nyie mnaongelea barabara za mikoa.Hakika macho hayawezi kuchoka kutazama,Mbeya & Makete respectively
View attachment 1880116
View attachment 1880118
Mjini kunakuaga hivi 👇👇Nami najua hivyo.
Huko vijijini ni mavumbini Sana.
Just imagine wilaya ya muleba ni Kata mbili zisizo na lami mbunda na ngote.
Yule professor Anna tibaijuka na yule mwijage wamefanya kazi Sana kwa barabara
Umeme pia vijiji Sana kagera havina umemeView attachment 1880144
Aisee naona bukoba inapambana na nyanda za juu kusini yote na inaigaragazaMixed farming ya migombakwamba Kagera inaijua Sana migomba kuliko Tukuyu?
We nawe nakuachia sumbawanga yakoKusini imesahaulikaSumbawanga again,wapi kijiji cha BK?
View attachment 1880135
View attachment 1880136
View attachment 1880138
Naam hapa ni wilayani karagwe huko kageraNi moja ya barabara za mitaa wilayani makete mkoa wa njombe
View attachment 1880145
Njombe ndo nilikozaliwa na ndo ninakoishi kwa xx pia lkn kahama mji wa akina fantom nmeishi kwa miaka 10 tangu 2010-2020 so naifaham vyema hii miji ila bila kumumunya maneno wala upendeleo ni kuishusha hadhi kahama kuifananisha na njombeKama hiyo ndo njombe Basi bado sana aisee.kahama mnaionea bure. Kahama imepiga hatua Sana
Huoni aibu kulinganisha hicho kijiji na Swax?Naam hapa ni wilayani karagwe huko kageraView attachment 1880161
Ndio unajifariji ,hicho kijiji kimeshindwa kufua dafu kwa Sumbawanga,je tukiweka Iringa?Aisee naona bukoba inapambana na nyanda za juu kusini yote na inaigaragaza.
Just imagini mkoa mmoja wa kagera una kila kitu kinachopatikana nyanda za juu.
Asilimia 68 ya ndizi zote nchini hutoka kagera Kama hujui Hilo mzee wa takwimu
Mkuu kila mkoa una fulsa zake njombe ka njombe fulsa ni nyingi ni wemwenyewe kuzichangamkia, na miji ya mkoa wa njombe ndo inapangika ivyoo s unaona makambako ilivyobadilika saiv nyumba zimepangika kila konaa, any way nyumbani ni nyumbani hata pawe polini patabaki kuwa ni nyumbani mkoa wa njombe unafulsa nyingii njombe itabaki kuwa juu japo ni mkoa mchangaNjombe ndo nilikozaliwa na ndo ninakoishi kwa xx pia lkn kahama mji wa akina fantom nmeishi kwa miaka 10 tangu 2010-2020 so naifaham vyema hii miji ila bila kumumunya maneno wala upendeleo ni kuishusha hadhi kahama kuifananisha na njombe
1. Mji umepangika
2. Shughul za wakaz ni
i- uchimbaji wa madin
ii- kilimo cha mpunga
iii- biashara yenye mzunguko mkubwa kuliko manispaa( ndio maana ata enzi za boss luge mkoa wa shy ndio uliokua na matukio 2 ya fiesta ndan ya mkoa mmoja yaan 1 shy town na 2 kahama na licha ya ivyo vaib la shy lilikua halfanani na la kahama)
Nb: siku ukifika kahama waombe wenyeji wakupeleke kaliakoo ndio utaamin kua mgod wa bulyang'hulu unatema madini na sio viaz km njombe
3- kuhusu ubora wa majengo ndio usiseme kabisa
4- harakat za utaftaji wa mkate wa cku ni za 24hrs
5-hali ya hewa ni nzur haina joto lililoptiliza la zaid ya 32°C km dar wala bard la kulimia viaz mvirungo la kufkia chin ya 20°C km njombe
Hongeren wale mnaoishi kahama ni maeneo yanayofaa kwa kila ktu ko endeleen ku enjoy life
Kuna mtu anakupakata huko Kahama sio bure..Kwamba Kahama imepangika kuliko Njombe?Njombe ndo nilikozaliwa na ndo ninakoishi kwa xx pia lkn kahama mji wa akina fantom nmeishi kwa miaka 10 tangu 2010-2020 so naifaham vyema hii miji ila bila kumumunya maneno wala upendeleo ni kuishusha hadhi kahama kuifananisha na njombe
1. Mji umepangika
2. Shughul za wakaz ni
i- uchimbaji wa madin
ii- kilimo cha mpunga
iii- biashara yenye mzunguko mkubwa kuliko manispaa( ndio maana ata enzi za boss luge mkoa wa shy ndio uliokua na matukio 2 ya fiesta ndan ya mkoa mmoja yaan 1 shy town na 2 kahama na licha ya ivyo vaib la shy lilikua halfanani na la kahama)
Nb: siku ukifika kahama waombe wenyeji wakupeleke kaliakoo ndio utaamin kua mgod wa bulyang'hulu unatema madini na sio viaz km njombe
3- kuhusu ubora wa majengo ndio usiseme kabisa
4- harakat za utaftaji wa mkate wa cku ni za 24hrs
5-hali ya hewa ni nzur haina joto lililoptiliza la zaid ya 32°C km dar wala bard la kulimia viaz mvirungo la kufkia chin ya 20°C km njombe
Hongeren wale mnaoishi kahama ni maeneo yanayofaa kwa kila ktu ko endeleen ku enjoy life
Wakati Kuna barabara mahususi kutoka kyaka kwenda karagwe ambayo inaunganisha kwa lami bukoba na karagwe via kyaka, njombe nzima hakuna barabara ya lami kutoka mkoani kuunganisha na wilaya ukiachana na wilaya zilizoko barabarani iringa songea na iringa mbeya.Nami najua hivyo.