Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya ni Mji mkubwa na mkoa wa Mbeya kiujumla ni namba tatu kwa uchumi nchi hii huwezi linganisha na huto tutakataka.

Size ya Kagera ni Rukwa.Mbeya imeizidi Mwanza kwa vyuo vikuu ndio ulinganishe na huto tuvijiji ?
kaka linganisha hizi wilaya
Wanging'ombe(Igwachanya) vs Kyelwa(Kaisho)
Muleba vs Makambako
Njombe vs Bukoba
Kudewa vs Biharamulo
Makete vs Ng'ara
Lwamishenyi vs Njombe vijiji
hapo utangundua kwamba kimapato njombe ni Best kuliko Kagera
 
Hiyo ni lami au kokoto za kupunguza vumbi?

Kijiji kizima cha Bukoba na Lake zone yote ukipata dual carriage kama hii hapa Sumbawanga nitag

View attachment 1879951

View attachment 1879952

View attachment 1879953

View attachment 1879954
Ndo maana nasema we ni mshamba.

Dual carriage ya Nini Kama barabara zilizopo zinajitosheleza na hazina foleni.
Mnaweza kuwa hamna dual carriage lakin mna barabara za mitaa za kutosha Kama ilivyo bukoba. Bukoba Ina barabara zaidi ya Sana zinazotoka na kuingia bukoba.
 
Kuna njia kuu mbili za umeme kwenda kanda ya ziwa kama unavyoziona, hiyo ya kulia ni ya zamani na hiyo ya kushoto ndo iliongezwa. Kusini imesahaulika mnoView attachment 1879987
Sisi tuna umeme miaka mingi Sana,Kule Makete ulikoenda kupata huduma tumekuwa na umeme wa mzungu toka small HPE ya Negro.Kwa Njombe tumekuwa na umeme wa Tanwart toka enzi za Mjerumani.

Sumbawanga/Rukwa na Tunduma tunatumia umeme wa Zesco uhuru.

Njia mpya zinajengwa sasa ni kuunganisha grid ya Taifa na Kenya na Zambia tofauti na kwenye vijiji vyenu ndio mnapata umeme zama hizi.

Toka humo kwenye makazi ya vyura utembee Kusini.
 
kaka linganisha hizi wilaya
Wanging'ombe(Igwachanya) vs Kyelwa(Kaisho)
Muleba vs Makambako
Njombe vs Bukoba
Kudewa vs Biharamulo
Makete vs Ng'ara
Lwamishenyi vs Njombe vijiji
hapo utangundua kwamba kimapato njombe ni Best kuliko Kagera
Unamuonea huyo jamaa,unalinganisha Wilaya zinazoongoza kwa umaskini na zenye neema?
 
Ndo maana nasema we ni mshamba.

Dual carriage ya Nini Kama barabara zilizopo zinajitosheleza na hazina foleni.
Mnaweza kuwa hamna dual carriage lakin mna barabara za mitaa za kutosha Kama ilivyo bukoba. Bukoba Ina barabara zaidi ya Sana zinazotoka na kuingia bukoba.
☝️☝️😆😆😆😂😂😭😭 Nimecheka kwa sauti..Uko sahihi huwezi Jenga dual carriage kwenye vijiji kama Bukoba nk
 
Sisi tuna umeme miaka mingi Sana,Kule Makete ulikoenda kupata huduma tumekuwa na umeme wa mzungu toka small HPE ya Negro.Kwa Njombe tumekuwa na umeme wa Tanwart toka enzi za Mjerumani.

Sumbawanga/Rukwa na Tunduma tunatumia umeme wa Zesco uhuru.

Njia mpya zinajengwa sasa ni kuunganisha grid ya Taifa na Kenya na Zambia tofauti na kwenye vijiji vyenu ndio mnapata umeme zama hizi.

Toka humo kwenye makazi ya vyura utembee Kusini.
Wapi hakuna umeme toka zamani! Umeme kwenda kusini ni njia moja tena ile ndogo ya kizamani, wakati umeme kwenda kanda ya ziwa ni njia mbili tena hii ya pili ni kubwa zaidi na ya kisasa Kama ulivyoona kwenye picha. Ukiendelea kukaa huko kijijini mavumbini funza watakumaliza, njoo mjini.
 
Wala sijasema ukubwa wa miji hata kidogo.

Bukoba ni kamanispaa kadogo ilo nakubaliana na wew sema kanajitosheleza .

Kana airport, barabara za lami,bandari,starehe,masoko,maji,umeme na Hadi viwanja vya mpira. Ambazo miji ya kusinni huwezi kukuta mji una Mambo yote hayo katika sehemu Kama ilivyo bukoba.

Lakin ukitembelea vijjiji vya kagera ndo utaona faida ya elimu aisee. Huko Kuna majengo na majengo na majumba.

Shida ya mikoa mingi bongo unakuta miji imeendelea Sana na mikubwa ( Kama ilivyo kusini) lakin haijitoshelezi na ukienda vijijini Sasa ndo majanga matupu.
Lakin hii ni tofauti kwa mkoa wa kagera . Wilaya ya muleba kwa mfano haina mji wowote ule zaidi ya Vicenter vidogo lakin vijijini huko Kuna majumba,maji ,umeme barabara,chakula ndo maana Ina population density ya juu.

Mkuu nikuulze swali. Hiv ni Lazima ukiwa na pesa uwekeze mjini?

Binafsi naona wahaya wako sahihi kuwekeza vijijini kwao ndo maana na serikali inawafata kwa kuwajengea barabara,umeme,maji nk.

Wilaya ya muleba ni barabara mbili tu ambazo hazina lami na hakuna Kijiji kisichokuwa na umeme
mbunda kuna Lami mkuu
lubya kuna lami mkuu
Nshamba nakoje??
 
Hutaiweza hata Iringa tu ndugu yangu.
Wabongo wengi wanadhani kuendelea kwa mji ni majengo marefu yaliyojirundika sehemu moja Kama iringa

Hiv iringa ukitoa ile barabara moja,vyuo vile na tule tumagorofa tuliojikusanya sehemu moja Kuna Nini Cha zaidi ya slums kila mahali . Bado huko vijijini Sasa ni pabovu ni pabovu kweli kweli.

Tukiengalia maendeleo kwa upana wake tukianzia life style bukoba inaichapa mbali Sana iringa. Maam tukiongelea maisha ya mtu mmoja mmoja.

Juzi tu ATCL imesitisha safari zake za iringa no wateja.
Vyuo vikifunngwa mji unadorora Kama Nini.

Labda bukoba ilikosa stendi ya maana tu lakin Mambo mengine iko mbele sana
 
Bukoba haiwez igusa iringa hata robo
 
kaka mie naishi mwanza lkn usinifanye nicheke kiukweli Iringa ni Hatare kwa mapato Fikria mfindi ni wilaya ya 2 kwa mapato Ukiacha ilala inafata mfindi halafu wew unasema nini Mkuu fikria Mbao zinaingiza pato gani kwa taifa harafu fikria na hizo ndzi za Bukoba wew huoni ni Mbingu na Aridhi kulinganisha pato la Iringa na Bukoba??
 
Ikumbukwe kuwa Njombe ilikua sehemu ya Iringa hadi 2012 wakati bukoba ni makao makuu ya mkoa kwa zaidi ya miaka 30 hivyo Njombe iko juu
Iko juu kwa maneno .Tuonyeshe kuwa iko juu .vinginevyo ni story Kama story nyingine

Labda kwa makusanyo .

Tukija kwenye elimu,Afya,maji, miundombinu nk hebu Tuonyeshe mahali njombe ilipo juu

Kama bukoba Kama wilaya ina hospital 7
Mkoa wa kagera una shule za secondary zaidi za 200 na wasomi kibao.
Mkoa wa kagera vijijini Kuna umeme asilimia 97.
wilaya zote zimeunganishwa kwa lami.
Kuna airport ya kisasa
Kuna bandari nzr na za kisasa

Hebu Tuonyeshe jinsi njombe ilivyo juu
 
Kuna basi ngap Zina toka dar kwenda bukoba ndo ulinganishe na iringa ambako Kuna mabasi ya saa 12j jioni kwenda dar
Wabongo wengi wanadhani kuendelea kwa mji ni majengo marefu yaliyojirundika sehemu moja Kama iringa
emoji28.png
emoji28.png

Hiv iringa ukitoa ile barabara moja,vyuo vile na tule tumagorofa tuliojikusanya sehemu moja Kuna Nini Cha zaidi ya slums kila mahali . Bado huko vijijini Sasa ni pabovu ni pabovu kweli kweli.

Tukiengalia maendeleo kwa upana wake tukianzia life style bukoba inaichapa mbali Sana iringa. Maam tukiongelea maisha ya mtu mmoja mmoja.

Juzi tu ATCL imesitisha safari zake za iringa no wateja.
Vyuo vikifunngwa mji unadorora Kama Nini.

Labda bukoba ilikosa stendi ya maana tu lakin Mambo mengine iko mbele sana
Le
Iko juu kwa maneno .Tuonyeshe kuwa iko juu .vinginevyo ni story Kama story nyingine

Labda kwa makusanyo .

Tukija kwenye elimu,Afya,maji, miundombinu nk hebu Tuonyeshe mahali njombe ilipo juu

Kama bukoba Kama wilaya ina hospital 7
Mkoa wa kagera una shule za secondary zaidi za 200 na wasomi kibao.
Mkoa wa kagera vijijini Kuna umeme asilimia 97.
wilaya zote zimeunganishwa kwa lami.
Kuna airport ya kisasa
Kuna bandari nzr na za kisasa

Hebu Tuonyeshe jinsi njombe ilivyo juu
Kagera haiwezi kuigusa mkoa njombe hata kila wilaya ya mkoa wa njombe Ina fursa na itaongoza sana mapato na bado migodi haijaaanza shule zpo za kutosha
 
shida pato la kagera ni la msimu lkn Iringa/Njombe hakuna msimu mmoja
fkiria Mbao huwa hazina msimu
lkn kahawa zina msimu na mgomba
Iringa viazi,Kitunguu,nyanya,parachichi nk hivi huwa wanalisha eneo kubwa sana Kwa Tz mfano Nyanya ya Njombe soko lake kuu ni Morogoro-Dar
Kiazi&Kitunguu ni Dar-Mwanza
Bado hapo hujagusa mkaa 60%mkaa wa Dar hutok mikoa hii
 
Nimetembelea Tz 75% kiukwel kwa miji ya nyanda juu kusini huwez linganisha na Kagera hata ¼ kwan nyanda za juu miji yake imechangamka sana huwez linganisha wilaya za Kagera na Wilaya za Iringa maybe za njombe coz Njombe mjini na makambak ndiko paliko pambazuka lkn sio Ludewa;Wanging'ombe na Njombe vijijni kimkoa Njombe iko vzr lkn kiwilaya Kagera iko vizuri zaidi kama Muleba na Karagwe bila kusahau Misenyi lkn kule nshamba bado san kama kama ilivyo Igwachanya (Wanging'ombe )
Tatizo lile lile la wabongo wanaangalia ukubwa wa miji sio ubora wa mji.Halafu nshamba sio wilaya ni kijicentre tu huko muleba vijijini

Wala sijasema ukubwa wa miji hata kidogo.

Bukoba ni kamanispaa kadogo ilo nakubaliana na wew sema kanajitosheleza .

Kana airport, barabara za lami,bandari,starehe,masoko,maji,umeme na Hadi viwanja vya mpira. Ambazo miji ya kusinni huwezi kukuta mji una Mambo yote hayo katika sehemu Kama ilivyo bukoba.

Lakin ukitembelea vijjiji vya kagera ndo utaona faida ya elimu aisee. Huko Kuna majengo na majengo na majumba.

Shida ya mikoa mingi bongo unakuta miji imeendelea Sana na mikubwa ( Kama ilivyo kusini) lakin haijitoshelezi na ukienda vijijini Sasa ndo majanga matupu.
Lakin hii ni tofauti kwa mkoa wa kagera . Wilaya ya muleba kwa mfano haina mji wowote ule zaidi ya Vicenter vidogo lakin vijijini huko Kuna majumba,maji ,umeme barabara,chakula ndo maana Ina population density ya juu.

Mkuu nikuulze swali. Hiv ni Lazima ukiwa na pesa uwekeze mjini?

Binafsi naona wahaya wako sahihi kuwekeza vijijini kwao ndo maana na serikali inawafata kwa kuwajengea barabara,umeme,maji nk.

Wilaya ya muleba ni barabara mbili tu ambazo hazina lami na hakuna Kijiji kisichokuwa na umeme
 
kaka linganisha hizi wilaya
Wanging'ombe(Igwachanya) vs Kyelwa(Kaisho)
Muleba vs Makambako
Njombe vs Bukoba
Kudewa vs Biharamulo
Makete vs Ng'ara
Lwamishenyi vs Njombe vijiji
hapo utangundua kwamba kimapato njombe ni Best kuliko Kagera
Kumbe kimapato!!! Yaan makusanyo hapo sawa.
Endeleeni kukusanya mapato mjenge nchi.

Sisi tunaongelea maendeleo ya watu.na mtu mmoja mmoja

Just imagine hiv wangingombe Kuna lami huko kweli? Vip makete imeunganishwa na lami kweli?

Barabara za lami huko vijijini muleba

Screenshot%20(20210725-205032).jpg
Screenshot%20(20210725-204927).jpg
images%20(33).jpg
 
Back
Top Bottom