Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kuna nini cha maana huko zaidi ya umaskini wa kutopea?
In case ulikua hujui.


Hii ndo bandari ya bukoba maarufu Kama custom . Bandari ya pili kwa ukubww baada ya mwanza.

Watu zaidi ya 1000 huondoka na kuingia bukoba kwa meli kutoka mwanza

Na Sasa meli mpya ipo inajengwa mv mwanza yenye kubeba watu 1200
Screenshot%20(20210220-191703).jpg
Screenshot%20(20210220-191713).jpg
Screenshot%20(20210216-145812).jpg
meli.PNG
jknhji.jpg
bk%20port.PNG
bk%20port2.PNG
 
Makete huwezi linganisha na ufukara wa huko kwenu pimbi wewe,Takwimu gani uliwahi sikia zinasema Makete ni maskini?

Hujui kwamba Wilaya ya Mbinga pamoja na Nyasa ni Kati ya Wilaya zenye maendeleo nchi hii? Unadhani ni Misungwi kule?

Makambako ni Mji mkubwa tena wenye viwanda na biashara sio sawa na Vijiji vyenu hivyo vya Karagwe sijui Katoro na upuuzi mwingine kama huo.

Maskini wa kanda ya ziwa ndio wanasababisha hii nchi inaonekana LDC kwa coz zaidi ya kuzaana hovyo hakuna kingine cha maana mnafanya nyie
Hayo maendeleo ya kusini yako wap mbona yako mdomoni mwako na ukweli unaujua kuwa Kuna umaskini umetamalaki huko..

Hiv huko kusini sijui nyanda Kuna viwanja vya mpira kweli


Hebu tazama kaitaba stadium bukoba moja ya viwanja vitano pekee nchini vyenye nyasi bandia.
Haya ndo maendeleo Sasa.


Sidhani Kama utarudia kulinganisha bukoba na huo upumbavu wa kusini
images%20(7).jpg
images%20(8).jpg
images%20(9).jpg
images%20(10).jpg
kaitaba.PNG
 
Kusini sio saizi yenu,Hospital ya Mji wa Tunduma.onyesha hata moja inayopatikana kijiji cha Sengerema au Tarime

View attachment 1879630

View attachment 1879632

View attachment 1879633
Kwanza pakame aisee



Halafu mnategemea serikali iwajengee hospital halafu mnasema mmeendelea!!

Bukoba Kama wilaya Ina hospital zifuatazo

1.Bukoba Regional hospital ( government)
2.Bukoba munispality hospital ( nshambya)
3.Ndolage bukoba hospital
4.Cosad hospital
5.Rwamishenye hospital
6. Ibwera hospital
7.bukoba district hospital ( bujunangoma)


Chini ni nshambya hospital na cosad bukoba hospital
images%20(11).jpg
images%20(12).jpg
 
Kijana naona umeanza kupost matunda. Baada ya maendeleo yenu.



Mimi natumia mkoa mmoja tu wa Kanda ya ziwa naam kagera Tena wilaya tatu za wahaya kuichapa kusini yote.


Tunaongelea maendeleo ya watu sio makusanyo yanayojenga dar




Kijana look at this cathedral .Inafanya bukoba ionekane kama Paris ya East Africa. Yes bukoba ni Paris ya East Africa indeed.

Sio Eiffel tower ni bukoba main cathedral

Hebu leta kanisa lolote huko kusini nzima lenye kufikia hata robo ya hili
Screenshot%20(20210216-180637).jpg
nbvdh.jpg
old%20bk.PNG
klm.jpg
ll%3B'.PNG
vcfg.PNG
f2717-bukobawadaublog.jpg
2620657_Allsocial-1605763701701.jpg
cathedral.PNG
 
Nyanda za juu kusini ni Moto mwingine hata huduma za kiafya elimu nk waulize zaidi ya chuo kikuu Cha saut Kuna chuo gan kikubwa Kanda ya ziwa
Kijana mnajivunia majengo ya chuo?.kanda ya ziwa tunajivunia wasomi

kwa mkoa wa kagera mtu mmoja katika ya watu sita Ana degree mzee. Na Wala kagera hakuna chuo kikuu hata kimoja Cha umma kuna matawi tu.


Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21.

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bagonza
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
47: Professor Mutabingwa Theonest Kahangwa ,
48: Professor Kamazima M M Lwiza
49: Professor Joseph Buchweishaija
50: Professor Emanuel Babyegeya
51: Professor L.K Rutasiitara
52: Professor Richard W Rwechungura
53: Professor Egydius R Rwenyagila
54: Professor Benezet Mtayoba SUA
55: Professor B. A Rwezaura UDSM
56: Professor R.C Ishengoma
57: Professor Tibandebage
58: Professor W . Rugakingira
59: Professor Buberwa
60: Professor C. S Binamungu Mzumbe
61: Professional prof Bonaventure Rutinwa
62: Professor Alex M Mtalemwa Harvad University
63: Professor Deogratius Rutatora SUA
64.Prof Mutahaba
Orodha ni ndefu sana



Nyie bakini na majengo yenu
JamiiForums-1211541980.jpg
 
Miji ya nyanda za juu kusini kila mji una fursa yake haitegemei mji mmoja Kama Kanda ya ziwa muda mwingi mnaangalia miradi ya mwanza tu
 
Kijana naona umeanza kupost matunda. Baada ya maendeleo yenu.



Mimi natumia mkoa mmoja tu wa Kanda ya ziwa naam kagera Tena wilaya tatu za wahaya kuichapa kusini yote.


Tunaongelea maendeleo ya watu sio makusanyo yanayojenga dar




Kijana look at this cathedral .Inafanya bukoba ionekane kama Paris ya East Africa. Yes bukoba ni Paris ya East Africa indeed.

Sio Eiffel tower ni bukoba main cathedral

Hebu leta kanisa lolote huko kusini nzima lenye kufikia hata robo ya hiliView attachment 1879857View attachment 1879859View attachment 1879860View attachment 1879861View attachment 1879862View attachment 1879863View attachment 1879864View attachment 1879865View attachment 1879866
Mzee umestaajabu? Mambo mazuri kutoka Njombe ukadhani kwa madiba? 😆😆

Sumbawanga mitaani 👇👇

IMG_20210804_171725_794.jpg


IMG_20210804_182438_782.jpg


IMG_20210804_182623_299.jpg


IMG_20210804_182904_003.jpg


IMG_20210804_183042_917.jpg


IMG_20210804_183615_360.jpg


IMG_20210804_183759_945.jpg


IMG_20210804_184332_258.jpg


IMG_20210804_184403_880.jpg


IMG_20210804_184535_748.jpg


IMG_20210804_185108_012.jpg


IMG_20210804_185117_495.jpg
 
FB_IMG_16280931032022308.jpg
FB_IMG_16280931746558275.jpg
FB_IMG_16280931294628213.jpg

Moja ya rasilimali zinazo waingizia kipato kikubwa nyanda za juu kusini na hii ni mashamba ya miti na kiwanda Cha mgororo mufindi
 
Wakati nyie mnajivunia hospital moja wilaya ya muleba mkoani kagera Ina hospital tano kubwa.
1.Rubya hospital
2.kagondo hospital
3.Ndolage hospital
4.Kaigara hospital
5.Izimbya hospita
Na kila hospital Ina chuo Cha uuguzi.

Wilaya ya misenyi Ina hospital tano.
1.Mugana hospital
2.Kajunguti hospital
3.Kagera sugar hospital
4. Bunazi hospital
5 Mutukula hospital


Hii ni Rubya hospital 90 km from bukoba
images%20(5).jpg
images%20(4).jpg
images%20(6).jpg
 
Ukiongelea chai ,kahawa , miti uvuvi, madini vyote hivyo vinafanyika nyanda za juu kusini hicho ni kiwanda Cha chai kikubwa kinapatikana mkoa wa njombeView attachment 1879791
Kahawa asilimia 75 yote nchini inalimwa katika mkoa wa kagera pekee yake Wala haina mpinzani.

Ndo maana viwanda vikubwa vya kahawa vipo kagera .


Lakini chai na miti hulimwa Sana kagera ndo maana Kuna kiwanda Cha yetu chai



Chini ni viwanda vikubwa vya kahawa nchini (Tanica na amimza) na mashamba ya chai pamoja na kiwanda Cha chai Yetu chai vyote vipo bukoba
images%20(23).jpg
images%20(28).jpg
images%20(29).jpg
images%20(27).jpg
images%20(26).jpg
images%20(25).jpg
 
Moja ya viwanda vya madawa vilivyopo mji wa makambako nyanda za juu kusini vinategemea kuhudumia Tanzania na nchi za SADC ndo ujue wapi hospitali zitakuwa na huduma nzuri
FB_IMG_16280938223898600.jpg
FB_IMG_16280929134985088.jpg
 
Naona umekosa cha kupost Sasa, hutu tunyumba nato twa kulingishia watu mtandaoni?! Tujumba kama hutu huku kanda ya ziwa tunapatika kayanga huko wilayani karagwe
 
Nadhani huku ndo wakatoliki husema na mavumbini utarudi. Kijana mbona Kuna mavumbi Sana hivyo
Nishakwambia nitajie mtaa wowote wa bukoba ambao hauna lami.


Screenshot%20(20210216-183114).jpg
Screenshot%20(20210216-175708).jpg
lk.jpg
kjuyu.jpg
Instagram(10).jpg
cathe.PNG
jhfd.jpg
fre.PNG
Captu%3Dre.PNG
 
Back
Top Bottom