Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mizigo ya kanda ya ziwa tu Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita pamoja na mizigo ya Rwanda na Uganda ni zaidi ya mizigo ya Burundi, Malawi Zambia na Congo kwa pamoja
Na kumbuka tunajenga sgr kwa ajili yetu sio kwa ajili ya majirani
Onyesha hiyo mizigo kwenye Takwimu hapo au iko mdomoni mwako? Meko alitutia hasara Sana yaani unaweza tamani mgawane fito sio sisi tunazalisha afu wapuuzi wanaenda kutumia kwao pumbavu sana
 
Kuna nini cha maana huko zaidi ya umaskini wa kutopea?
Makete huwezi linganisha na ufukara wa huko kwenu pimbi wewe,Takwimu gani uliwahi sikia zinasema Makete ni maskini?

Hujui kwamba Wilaya ya Mbinga pamoja na Nyasa ni Kati ya Wilaya zenye maendeleo nchi hii? Unadhani ni Misungwi kule?

Makambako ni Mji mkubwa tena wenye viwanda na biashara sio sawa na Vijiji vyenu hivyo vya Karagwe sijui Katoro na upuuzi mwingine kama huo.

Maskini wa kanda ya ziwa ndio wanasababisha hii nchi inaonekana LDC kwa coz zaidi ya kuzaana hovyo hakuna kingine cha maana mnafanya nyie
Maskani ya umaskini na Ukimwi ni makete na maeneo yote ya kusini aka matakoni mwa Tanzania, umesikia we fukara.
 
Safari hizo mie huwa nafanya sana, kwa kweli kusini bado sana, kwanza wakisikia umetoka kanda ya ziwa wanakushangaa wanaona unafaiiidi! Wanakuuliza habari za akina brother K waigizaji wa Futuhi, habari za watangazaji wa RFA, Star Tv na kiss FM kama nimewaacha wazima afu nikirudi nikawasalimie, Last time nilisafiri Makambako to Mwanza nilikuwa nimekaa na Mama mmoja wa Mbeya akawa anasema 'huku kwenu ni pazuri sana, tulikuwa tunapaona kwenye TV kwenye msiba wa Magufuli', nami nikamuambia sasa unajionea live enjoy yourself na kesho yake nikamtembeza maeneo ya Rocky City.
Stori yoyote unaweza Tunga,nasema hivi asiyekufahamu huko Kanda ya Ziwa akakutana na kenge kama wewe basi anaweza zani yuko Europe kumbe ni bush kunanuka umaskini hatari yaani ukianzia misungwi all the way to hungumalwa,Mallya,Ngudu,Salawe , Sengerema,Maswa nk yaani kumejaa umaskini wa hatari na kumepauaka sio poa.

Ukilima unashika roho mkononi Mazao yanaweza kukauka au kupona mvua hazitabiliki,vijiji vya huko huwezi linganisha na Vijiji vya kwetu Highlands. Binadamu timamu huwezi ishi Kanda ya Ziwa na ndio maana ukiulizwa washamba wa nchi ni wasukuma na jamii zoye za lake zone.
 
Maskani ya umaskini na Ukimwi ni makete na maeneo yote ya kusini aka matakoni mwa Tanzania, umesikia we fukara.
Ingekuwa hivyo ungekuta tunatokea kwenye list za umaskini, unfortunately huwezi tukuta utawakuta akina Sengerema,kama kuna Ukimwi mbona hatujaisha sasa.

Unasikia bwana mshamba naijua Kanda ya Ziwa kuliko wewe hapo na Tzn kwa ujumla ,huna unachoweza kuniambia labda uwadanganye washamba wenzio.
 
Stori yoyote unaweza Tunga,nasema hivi asiyekufahamu huko Kanda ya Ziwa akakutana na kenge kama wewe basi anaweza zani yuko Europe kumbe ni bush kunanuka umaskini hatari yaani ukianzia misungwi all the way to hungumalwa,Mallya,Ngudu,Salawe , Sengerema,Maswa nk yaani kumejaa umaskini wa hatari na kumepauaka sio poa.

Ukilima unashika roho mkononi Mazao yanaweza kukauka au kupona mvua hazitabiliki,vijiji vya huko huwezi linganisha na Vijiji vya kwetu Highlands. Binadamu timamu huwezi ishi Kanda ya Ziwa na ndio maana ukiulizwa washamba wa nchi ni wasukuma na jamii zoye za lake zone.
Kuhusu hali duni ya kusini mwa Tanzania ni suala linalotambulika nchi nzima, akija mgeni kutoka nje ya nchi akakusoma we mbwa unachoandika humu! Anaweza sema ni kweli, serikali ilishauliwa iwape posho watumishi wake wa kusini sababu ya mazingira duni na magumu ya kusini.
 
Linatambulika wapi,nikuwekee Ripoti zinazoonyesha mnavyoongoza kwa umaskini na kutia hasara nchi?

Hata ukicheki trend ya maendeleo kwa vigezo mbali mbali ,Kanda ya Ziwa ni ya mwisho..huko Kanda ya Ziwa huna cha kujidanganya nakufahamu hadi ndani ndani huko ukara kisiwani
 
Yan we ni mlopokaji huijui nyanda za juu kusin na asilimia kubwa ya mizigo inayo safirishwa inapita nyanda za juu kusina hata ukipita barabara ya TAZAM unajifunza kitu hata makazi yapo vizuri na mapori ni machache tofauti na kanda ya ziwa aloo nyumba zimechoka acha
Mizigo ya kanda ya ziwa tu Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita pamoja na mizigo ya Rwanda na Uganda ni zaidi ya mizigo ya Burundi, Malawi Zambia na Congo kwa pamoja
Na kumbuka tunajenga sgr kwa ajili yetu sio kwa ajili ya majirani
T
 
Linatambulika wapi,nikuwekee Ripoti zinazoonyesha mnavyoongoza kwa umaskini na kutia hasara nchi?

Hata ukicheki trend ya maendeleo kwa vigezo mbali mbali ,Kanda ya Ziwa ni ya mwisho..huko Kanda ya Ziwa huna cha kujidanganya nakufahamu hadi ndani ndani huko ukara kisiwani
Hata wewe unatambua, sema tu unajifyatua akili hapa, sijui ARVs zinakutia wenge
 
Hata Kanda za nchi yako huzi jui ngoja tukupe elimu mikoa ya kusini ni Lindi na mtwara mikoa ya nyanda za juu kusini ni iringa njombe ,mbeya ,ruvuma ,songwe na rukwa ko inatakiwa ujue Hilo sio unaongea tu
 
Sijasema kanda ya kusini, nimesema kusini, Kama unataka nitumie neno 'kanda' basi namaanisha kanda ya kusini na kanda ya nyanda za juu kusini.
 
Pesa ipo Nyanda za kusini kwa Sasa hivyo maendeleo yapo Nyanda za juu kusini kwa Sasa.Bukoba ilikua inategemea Sana kahawa ambayo soko linacheza cheza tofauti na Nyanda za juu kusini Kuna vitu vingi Sana vya kuongeza mzunguko.Madini,kilimo,usafirishaji asilimia 70 ya mizigo inayoenda nje hupita Nyanda za juu kusini.
Ungejua kahawa asilimia zaidi ya 70 inatoka kagera usingekoment kitu hapa. Na ni top ya mazao ya biashara hapa nchini.

Hiv unajua asilimia 65 ya ndizi zote nchini hutoka kagera?

Bukoba wanalima chai pia na Kuna mashamba ya miti pia

Vip kuhusu Ranchi kubwa nchi Kama kitengule.

Vip uvuvi wa majini huko ziwa Victoria,ikimba na ziwa burigi

Vip kilimo Cha miwa katika bonde la mti kagera na mto ngono na viwanda Kama kagera sugar

Vip kuhusu vanilla

Huku bukoba sijui Kuna Nini mpaka Kuna route Mara mbili kila siku za ndege!
FB_IMG_16280710091823634.jpg
Screenshot_20210101-163931.jpg
 
Ukitaka kujua tofauti ya Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa basi Anza Safari ya Dar-Njombe-Mbeya au Ruvuma na Anza Safari ya Dar-Dodoma-Shinyanga- Mwanza au to bukoba makazi ya Kanda ya Ziwa bado ni duni Sana japo wengine Wana ng'ombe nyingi lakini haziwasaidii.Kanda ya Ziwa hadi leo jamii nyingi haziwezi kuongea kiswahili inabidi uwe na mkalimani.
Hebu leta picha za vijijini huko njombe.

Huku ni vijijini huko bukoba
Screenshot_20201227-151318.jpg
Instagram(21).jpg
1980142_5.jpg
1980136_13201.jpg
0.PNG
 
Sijasema kanda ya kusini, nimesema kusini, Kama unataka nitumie neno 'kanda' basi namaanisha kanda ya kusini na kanda ya nyanda za juu kusini.
Kusini sio saizi yenu,Hospital ya Mji wa Tunduma.onyesha hata moja inayopatikana kijiji cha Sengerema au Tarime 👇👇

IMG_20210718_133042_674.jpg

IMG_20210718_133057_396.jpg

IMG_20210718_133338_254.jpg
 
Back
Top Bottom