Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hao wapiga Domo wa Makambako wanashindwa kuleta picha badala yake wanasimulia hadithi za Juma na Uledi kujifariji
Haya wazee wa promo za hko mashamban na kumbuka miji mingingine haihitaji picha kwa sababu wageni wengi wanauona huo mji Sasa kule mashamban njombe nan anawaona isitoshe wagen wengi wanajua makao makuu ya mkoa ni makambako jinsi kulivochanganya
 
Shambani ndio habari ya Mjini,hatupigi domo ila unapewa facts na real issues.

Jana nimeona kwenye TV watu wametoka Tanga kuja Njombe kujifunza ufugaji bora wa ng'ombe wa maziwa na nyama.

Nimeona pia kwenye bajeti ya Wizara ya Ardhi Njombe TC imetenga Eneo kubwa.sana la viwanda zaidi ya hekta za eneo 48,000..Najaribu kufuatilia hili Eneo liko sehemu gani specifically.Wanasema watajengo agro processing za kuzidi hapo .

Mkuu kubali tuu hicho kijiji chenu cha Makambako bado Sana ,hameni kuchuuza mitumba na kujenga magodown kwanza ndio mje kushindana na kaka mkubwa.

Kahama imehama ngazi licha ya kuwa bado ni utopolo town kwa Njombe so habari zake zimepungua.

Siku tukipanda hadhi nafufua uchokonozi kwa Kahama maana huko usukumani zaidi ya kurundikana mjini hakuna quality yoyote ya Mji imeongezeka.
 
Na watatenga sana mwezi ujao viwanda vitatu vya madawa vinazinduliwa idofi makambako kwa mjibu wa mkuu wa mkoa baada kutembelea eneo la project kupata maelekezo na kuridhika na kaz inayofnyika ya viwanda vyote vitatu cha gloves ,dawa za maji ,na vidonge
 
Tunduma hakuna hata kiwanda kimoja lakini hicho kijiji chenu hakisogezi pua kwa lolote.

Njombe hakuna hayo maviwanda lakini kuna mahoteli ya kutosha ambayo hicho kijiji chenu hakina.

Nyie hangaikeni kuwafikia wachuuzi wenzenu Tunduma kwanza ndio mje kutunisha misuri kwa Njombe na Mafinga..miji ya wastaarabu
 
Yan tulikwambia kula mtori nyama ipo chini miji ya kibiashara haishindani na ya mashamban hata siku moja unavo waza ww ni tofauti na plan za serikali mzee wenzio wamejipanga kwenda kimataifa zaidi ndoo maana umeona wanajenga viwanda vikubwa hivyo na advantage ya jiografia na miundombinu mwezi wa nane jiandae kunywa dawa kutoka makambako town mzee
 
Mwekezaji anaangalia centre yenye watu na soko hawezi kutupa hela nyingi mashambani hko aache kuwekeza makambako ambako miundombinu yote ipo yan kwa mkoa wa njombe ulivyo wilaya nyingi zitakuwa zinazalisha raw material viwanda ni makambako fatilia hata umeme project zote mpya za mkoa wa njombe zitaleta umeme makambako kwanini mwekezaji asiwekeze makambako kwenye eneo rafiki na la kibiashara
 
Makambako shindaneni na wachuuzi wenzenu Tunduma,Njombe sio size yenu ndio maana mnashindwa kuweka picha mnajifariji kwenye porojo na hadithi za kufikirika.
 
Mwekezaji anaangalia centre yenye watu na soko hawezi kutupa hela nyingi mashambani hko aache kuwekeza makambako ambako miundombinu yote ipo yan kwa mkoa wa njombe ulivyo wilaya nyingi zitakuwa zinazalisha raw material viwanda ni makambako fatilia hata umeme project zote mpya za mkoa wa njombe zitaleta umeme makambako kwanini mwekezaji asiwekeze makambako kwenye eneo rafiki na la kibiashara
Rungwe kuna kiwanda cha kusindika parachichi,kuna centre au population huko?

Hicho kijiji kimepitiwa na barabara kuu miaka nenda Rudi lakini kinachechemea,Njombe ndio kwanza barabara zinafunguliwa kwenda Morogoro, Ruvuma via Rudewa,Mbeya via Makete Isyonje hizo zote zina converge Njombe Mjini .

Kama saizi tunakimbizana na Manispaa by the time zikikamilika hatutakamatika.Nyie komaeni na Magodown tuu huko,kama viwanda tuu ni dili basi Shinyanga ina viwanda vingi kuliko hata Kahama.

Kama viwanda ni big deal ,Tanga ina viwanda vingi kuliko Mwanza.kama viwanda vina tija kihivyo basi Kijiji cha Makambako kingeshaipita hata Tunduma ambako hakuna hata kiwanda kimoja.

Usikomae Sana na viwanda havina tija Sana kama kilimo,madini na biashara hasa service industry
 
Rungwe kuna kiwanda cha kusindika parachichi,kuna centre au population huk
Hicho kijiji kimepitiwa na barabara kuu miaka nenda Rudi lakini kinachechemea,Njombe ndio kwanza barabara zinafunguliwa kwenda Morogoro, Ruvuma via Rudewa,Mbeya via Makete Isyonje hizo zote zina converge Njombe Mjini .

Kama saizi tunakimbizana na Manispaa by the time zikikamilika hatutakamatika.Nyie komaeni na Magodown tuu huko,kama viwanda tuu ni dili basi Shinyanga ina viwanda vingi kuliko hata Kahama.

Kama viwanda ni big deal ,Tanga ina viwanda vingi kuliko Mwanza.kama viwanda vina tija kihivyo basi Kijiji cha Makambako kingeshaipita hata Tunduma ambako hakuna hata kiwanda kimoja.

Usikomae Sana na viwanda havina tija Sana kama kilimo,madini na biashara hasa service industry
Viwanda ni vizuri ila ni vile vinavyofungamanishwa na shughuli za kiuchumi za wananchi wanakizunguka ndio hua na matokeo.Kwa Njombe viwanda sio issue mpya,Tea processing Industry viko vingi sana,Mfano kibena tea factory,Lupembe viko viwili,Luponde tea factory,Njoo hapo Tanwat -The Tanganyika Watle Company limited ndani yake Kuna Watle processing Industry na Timber processing industry,Bado viwanda vya maji Kama Chemi Chemi drinking water,kitulo drinking water,Kipengele drinking water etc,Bado Njombe milk factory unako pata Italian yougurt-Nazareth.So viwanda sio big deal issue mnyororo wake wa thamani.
 
Acha kupotosha watu we ndo maana tulikwambia unasifia vitu hata site zenyewe hujawai zipitia zaidi ya kutalii tu barabaran nakupa mfano mufindi ni wilaya yenye viwanda vingi mno vya mbao na chai ndo maana mapato yapo juu nyingine ni njombe dc mwaka juzi imekaribisha mwekezaji wa kiwanda cha nguzo pale mtwango baada ya kiwanda hicho akakili kuwa mapato yamebadili na kweli walikuwa wanachechemea ss makambako imekuja kivingine tofauti ulivokuwa unawaza wewe wa mashamban hapa wanajenga viwanda vya kibiashara zaidi kilingana na eneo husi ka 😚😂😂😂😂 acha porojo ww
 
Viwanda ni vizuri ila ni vile vinavyofungamanishwa na shughuli za kiuchumi za wananchi wanakizunguka ndio hua na matokeo.Kwa Njombe viwanda sio issue mpya,Tea processing Industry viko vingi sana,Mfano kibena tea factory,Lupembe viko viwili,Luponde tea factory,Njoo hapo Tanwat -The Tanganyika Watle Company limited ndani yake Kuna Watle processing Industry na Timber processing industry,Bado viwanda vya maji Kama Chemi Chemi drinking water,kitulo drinking water,Kipengele drinking water etc,Bado Njombe milk factory unako pata Italian yougurt-Nazareth.So viwanda sio big deal issue mnyororo wake wa thamani.
Acha kuchanganya mafail mzee taja vilivyopo njombe tc acha kututajia vya lupembe na wangingombe na unavozalisha hizo parachichi na vanilla si lazima ziende kiwandan acheni mawazo mgando viwanda vinafaida yake kubwa mno fatilia hata majiji mengi tuliyonayo yamekuwa kwa kusi kulingana na huduma za viwanda zimechochea ko makambako mtapigwa gap hadi basi nyie tutakuja kuchukua raw material tu hko kazi zote ni makambako tc
 
umeeleza vizuri,lakini yale maviwanda anayozungumzia jamaa wa kijiji cha Makambako hapo kama madawa na Magodown yakina Mo ni vitu naonaga havina faida ya moja kwa moja kwa watu kulinganisha na viwanda vya kuongeza thamani ya Mazao ya wananchi.

Mutu ya Njombe kazeni zaidi mjenge viwanda vya ku process parachichi, vanilla,matunda na Mazao ya miti kama Mafinga italeta tija zaidi .

Kwa Njombe viwanda sio msamiati mpya kama ilivyo kwenye hicho kijiji cha Makambako jirani hapo ambacho ndio kwanza kinabalehe afu kinaleta kiburi .

Makambako fikeni kwanza level ya Tunduma,Runzewe,Katoro,Chalinze and such shanty townships ndio Mje kukohoa mbele ya kaka yenu Njombe TC
 
Hahaha Yan jamaa anaona vile vihoteli vinne ndo maendeleo njombe acha kujidanganya unaweza ukawa na hotel zikaishia kulala panya miji ya kibiashara inaangalia faida sio hasara na kumbuka huo mji wa njombe upo mafichoni mno pia jiografia yake ya milima nayo ni kero maana kuna mitaa hata ukinunua gari halikusaidii unashia kupakishell makambako ndo kioo cha mkoa was njombe lazima uwekezaji uwe mkubwa
 
Acha kuchanganya mafail mzee taja vilivyopo njombe tc acha kututajia vya lupembe na wangingombe na unavozalisha hizo parachichi na vanilla si lazima ziende kiwandan acheni mawazo mgando viwanda vinafaida yake kubwa mno fatilia hata majiji mengi tuliyonayo yamekuwa kwa kusi kulingana na huduma za viwanda zimechochea ko makambako mtapigwa gap hadi basi nyie tutakuja kuchukua raw material tu hko kazi zote ni makambako tc
Jiji la mbeya ni moja ya Miji inakua kwa kasi bila kuwepo extractive, processing na manufacturing industry kubwa badala yake inategemea zaidi businesses,value chain ya kilimo na service industry kama vyuo vikuu.

By the way taja kiwanda hata kimoja kinachochukua raw materials kutoka Njombe kuja kuwa processed hapo village town ya Makambako au ndo unategemea wimbo wa tuta..tuta..
 
Hahaha Yan jamaa anaona vile vihoteli vinne ndo maendeleo njombe acha kujidanganya unaweza ukawa na hotel zikaishia kulala panya miji ya kibiashara inaangalia faida sio hasara na kumbuka huo mji wa njombe upo mafichoni mno pia jiografia yake ya milima nayo ni kero maana kuna mitaa hata ukinunua gari halikusaidii unashia kupakishell makambako ndo kioo cha mkoa was njombe lazima uwekezaji uwe mkubwa
Weka hotel hata kimoja kutoka hapo kijijini kwenu yenye hadhi, maana unaongea Sana empty words bila kuweka picha.
 
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
umeeleza vizuri,lakini yale maviwanda anayozungumzia jamaa wa kijiji cha Makambako hapo kama madawa na Magodown yakina Mo ni vitu naonaga havina faida ya moja kwa moja kwa watu kulinganisha na viwanda vya kuongeza thamani ya Mazao ya wananchi.

Mutu ya Njombe kazeni zaidi mjenge viwanda vya ku process parachichi, vanilla,matunda na Mazao ya miti kama Mafinga italeta tija zaidi .

Kwa Njombe viwanda sio msamiati mpya kama ilivyo kwenye hicho kijiji cha Makambako jirani hapo ambacho ndio kwanza kinabalehe afu kinaleta kiburi
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
.

Makambako fikeni kwanza level ya Tunduma,Runzewe,Katoro,Chalinze and such shanty townships ndio Mje kukohoa mbele ya kaka yenu Njombe TC
Hata miaka miwili haipiti
Jiji la mbeya ni moja ya Miji inakua kwa kasi bila kuwepo extractive, processing na manufacturing industry kubwa badala yake inategemea zaidi businesses,value chain ya kilimo na service industry kama vyuo vikuu
Hahaha kwa nyanda za juu kusini Kama huelewi viwanda vingi vya bidhaa tofauti vipo mbeya
 
Hahaha kwa nyanda za juu kusini Kama huelewi viwanda vingi vya bidhaa tofauti vipo mbe
Weka kihotel hata kimoja kutoka hapo kijijini kwenu chenye hadhi, maana unaongea Sana empty words bila kuweka picha.
Picha za hotel tulisha kuwekea muda mrefu kwenyee huu uzi yani nyinyi lazima makambako iwaonyeshee Moto saiz watu wanapigwa fidia eneo la majengo kwaajili ya kiwanda cha mbolea
 
Na kitu kingine usicho jua Yan njombe wamekazaniwa kuwa walime raw material viwanda ni makambako na ndicho kilichopo mufindi dc na mafinga tc
 
Na habar za parachichi na vanilla wawekezaji wakubwa wanawekeza lupembe njombe dc ndo kwenye mashamba makubwa sio unasifia tu hata project zinazo endelea maeneo husika hata huelewi mfano makambako vimefunguliwa viwanda vya bati ,nondo, wire, misumari .raw material ni ludewa wanapeleka makambako pale ndo hub ya uchumi
 
Back
Top Bottom