Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kasi ya ujenzi ni pesa na kila sehemu kuna kasi,kijiji cha Makambako ni kama kinabalehe sasa huwezi linganisha na matured town kama Njombe mkuu.

Kazaneni labda mtaweza japo kuifikia Tunduma ila Njombe bado saaaana
Mapovu mengi makambako lazima iwaonyeshe bomoen milima au mkamwombe Queen Elizabeth awaachie ile tambarale
 
Imagine project ya Ruhudji Hydropower itakapoanza utamu utakuaje
Fatilia vizuri umeme utaelekea wap Kama si makambako kwenye grid ya taifa mk ndo baba yenu station kuu ipo makambako hata project ya makaa ya mawe ludewa umeme utaletwa makambako huu mji lazima uwachanganye na bado subiri project ya depo za mafuta lazima muende kufata makambako
 
Kasi ya ujenzi ni pesa na kila sehemu kuna kasi,kijiji cha Makambako ni kama kinabalehe sasa huwezi linganisha na matured town kama Njombe mkuu.

Kazaneni labda mtaweza japo kuifikia Tunduma ila Njombe bado saaaana
Njombe ndo Ina kazi kuikuta makambako maana jiografia tu imewabana wenze flat kila Kona full kuwekeza hko tuendelee kulima tu hamna namna Yan kamji ukifika stend kuzunguka tu unaonana na maporomoko na misitu tu mji wenye vinyungu hadi cbd duu😃😃😃 Kama unabisha kabla hujafika nmb bank kushoto full vinyungu hadi njoss bado uje upande wa kulia stend ya zamani ukienda mitaa300 unakutana na vinyungu ndio mtuletee mada eti mtaizidi makambako kweli mnachekesha wenzenu msilo lijua upande wa Kushoto Kama unaenda songea mji umesambaa zaidi ya km 12 na bado kufuata barabara na upande wa kulia nako ni zaidi ya km 10 hapo nyumba. Zimeshona sio zile za hapa na pale kama njombe wanakojenga kwa kuvizia miliman tu
 
Sawa nyie mnajenga viwanda na sisi huku tumejikita kwenye service industry kama vyuo,mashule,hoteli kali kubwa nk nk

Mwisho wa siku figures zinaibeba Njombe kama inavyosomeka hapa downView attachment 1797263
Hahaha Shule gan kaka nazo saiz mnapigwa gap wenzenu zinajengwa had za international kitu ambacho kwa njombe hadi makanisa yawasaidie
 
brother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....
Hebu fatilia hata population density ya 2012 njombe ni 36km squre wakati makambako ni 106 km squre na growth rate hii inakupa picha kuwa sehemu kubwa ya njombe haina makazi ni mashamba na misitu tofauti na makambako mzee sehemu kubwa ni makazi lazima mpigwe gap mzee baba
 
Watakwambia Njombe imechukua vijiji sijui hadi km 60
Kwani uongo huenda ndo halmashaur ya mji ya kwanza Tanzania yenye vijiji vingi na hii yote ilitokana na kukosa vigezo na mapato wakachukuwa Jimbo la njombe kusini lote mtu yupo uliwa huko bdo ypo tc Zaid ya km 60😃😃😃😃 bush za kutosha kweli makambako inahitaji pongezi na ndo maana hata watumishi wanapenda kuhamia makambako tc na so njombe ma bush mengi mno yote hayo ni kuhangaika na mapato
 
brother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....
Yan😃😃😃😃 maana kibena ni mtaa wa kata ya ramadhani yan ni sawa na makambako ni taje majengo osterbay na kilimahewa wakati yote ni mitaa ya kata moja mara nundu ,hagafilo ,hiyo si mitaa ya kata ya mji mwema kweli panashida makambako imewatupa mbali Kama hivyo vimitaa mnaita sub town bas mk sub town zitakuwa Zaid ya 60 maana mitaa yake imechangamka kwelikweli tofaut na njombe iliyochangamka barabarani tu hususa songea road wakati makambako mitaa mingi imekucha kwel kutembelea miji mingine kujifunza kunahitajika sio kwa porojo hizi hadi itipula ni sub town
 
Yan shamban ni shambani tu kweli mtu mtaa unaita sub town plus vijiji ikiwekwa stend ya daladala sub town bas kwa Hilo ukitoka mafinga hadi igawa kuna sub town za kutosha na njombe wangejengewa laybay Kama za makambako kutoka mizani hadi geness ya zaman na kuanzia police hadi matanana guest wangesema njombe zimewekwa barabara mbili kuna shida 😃😃😃😃 sub town kaka ni miji midogo Kama ilembula, mtwango,nk na inavigezo vyake lazima ikidhi ndo iitwe sub town hiyo mingine ni mitaa na vijiji vya kata husika
 
Ni Bora makambako ndo tungekwambia inazungukwa na sub town za kutosha mfano ilembula ni km 30 mtwango km27 nyororo km 45 igwachanya km45 na hapo ni kwa barabara zote iringa road ,mbeya road, na songea road huo urefu ni kuanzia round about na kufikia 2025 sehemu kubwa ya hv vimiji vitaungana kima kazi na makambako mfano mtwango tayari bado kidogo ilembula hii ni faida ya jiografia nzuri na hivi vimiji vina huduma hadi za kibenk unatuletea utopolo wa vijiji hapa na mitaa
 
Hebu fatilia hata population density ya 2012 njombe ni 36km squre wakati makambako ni 106 km squre na growth rate hii inakupa picha kuwa sehemu kubwa ya njombe haina makazi ni mashamba na misitu tofauti na makambako mzee sehemu kubwa ni makazi lazima mpigwe gap mzee baba
kwani makambako mimi siifahamu?
 
Ni Bora makambako ndo tungekwambia inazungukwa na sub town za kutosha mfano ilembula ni km 30 mtwango km27 nyororo km 45 igwachanya km45 na hapo ni kwa barabara zote iringa road ,mbeya road, na songea road huo urefu ni kuanzia round about na kufikia 2025 sehemu kubwa ya hv vimiji vitaungana kima kazi na makambako mfano mtwango tayari bado kidogo ilembula hii ni faida ya jiografia nzuri na hivi vimiji vina huduma hadi za kibenk unatuletea utopolo wa vijiji hapa na mitaa
ilembula igwachanya ziko wilaya nyingine ya wanging'ombe na haziko karibu na makambako labda useme wanafuata mahitaji makambako.Mkuu nahisi hii mada kubwa kwako.
 
Wewe ndo bdo imekuzi had kibena una sema sub town kwel nundu ramadhani hebu jifunze hata miji mingine sub town ni zipi na katika sub town za ilembula, igwachanya ,nyororo ni kweli kiutawala ni wilaya nyingine tunacho ongelea ujiran hebu nenda hata mbeya city pale mbaliz ndo subtown ila ipo wilaya ya mbeya vijijini ss kuna utofati gani na makambako na ilembula acha kuchanganya mambo mzee
ilembula igwachanya ziko wilaya nyingine ya wanging'ombe na haziko karibu na makambako labda useme wanafuata mahitaji makambako.Mkuu nahisi hii mada kubwa kwako.
 
😃😃😃😃😃hivi ilembula na makambako kuna umbali gan kaka bado igwachanya kuna umbali gan hivi km 30 ni umbali maana makazi yameanzia ilembula yameunga halali unakuja maleale unakuja wangingombe, unakuja soliwaya unakuja ikingula unakuja mtewele majengo, mwembetogwa round about kipande ambacho bdo ni ukwavila Kama km 2hivi na sehemu nyingine iliyokuwa bado kwa Sasa kimejengwa kiwanda kati kati ya mtewele na ikingula
 
Makambako tc Huifahamu vizur we ni mpitaji wa barabaran tu kitu ambacho hufahamu njombe ukitoka kibena hadi nundu kwa kuangalia tu unapata general view ya mji mzima sehemu iliyo jificha kidogo ni nzengeledeti kidogo na igeleke ila hagafilo lunyanywi nazareti ,chaugingi ,sokoni, ramdhani ,itulike,mgodechi kwivaha ,kihesa,nk zinaonekana hata mgeni akitembelea siku moja njombe anaifahamu vizuri tu kutokana jiografia yake ya milima na mabonde hadi nyumba zilimoishia kitu ambacho kwa makambako ni ngumu ukitoka mbeya utaona kipande tu cha mji pia ukitoka iringa na songea hivohivo ili kuufahamu vizuri mji ingia mtaani ndo utaelewa kuwa makambako imesambaa jiografia ipo vizuri tofauti na njombe iliyofuata barabara na ndio maana bajaji njombe zinanyooka barabarani kuu tu maana watu wanna kaa kilomita chache sana na barabara kitu ambacho makambako ni tofauti mfano lyamkena tu ukitoka nyumba zile za barabarani nyumba zimesambaa hadi km kumi na kitu na kila upande .bado sehem zingine
 
Njombe the City-town in southern Highland

FB_IMG_1622230562698.jpg
 
Usiwe unalinganisha Manispaa ya Kahama na hicho kijiji sijui mnakiita Njombe.
Njombe ni nzuri kuliko kahama tofauti iko kwenye labda wingi wa watu maana kahama ni sukuma land na usukumani kuona kijiji kina watu 10000 kawaida,kaya moja unakuta ina watu 20 hivyo tu labda.Lakini in terms of miundo mbinu,modern structure, cleanliness ,na mipango miji kahama haiwezi ifikia Njombe.Zingatia kahama ilitangazwa kuwa Manispaa kwa kuwa mkurugenzi alimfurahisha Rais wa wakati huo.
 
Kama ni kama DAR/ Mwz / Arusha ni mchanganyiko wa makabila. Ni vile hujawahi fika tu.
 
Back
Top Bottom