mimi nitafurahia hiyo Mall kwa kua iko Njombe na sina wivu kama wako ha ha haSasa na ww hii inatofauti gani na kibadamo hotel na subir amalizie na mall pale stend utaelewa
mimi nitafurahia hiyo Mall kwa kua iko Njombe na sina wivu kama wako ha ha haSasa na ww hii inatofauti gani na kibadamo hotel na subir amalizie na mall pale stend utaelewa
usichokijua ni kwamba mtu anachuma makambako anajenga na kuwekeza Njombe mjini.Njombe mjini kwa sasa hotel na biashara zinalipa,population inaongezeka kwa kasi zaidi,Kilimo cha parachichi na Vanila kinawaleta wageni wengi kila siku hivyo mzunguko wa fedha unakua mkubwa,Waafanyabiashara wengi wanaotoka mkoa wa Njombe sasa wameanza kuwekeza Njombe Mjini.
ujenzi wa nyumba za chini hata vijijijini zipo,mji unajaengwa na majengo nyumba za makazi kwa mkoa wa Njombe bado haujaanza kulipa sana.Njombe in modern structure nyingi kuliko makambako hiyo ndio tofauti.Njombe inabebwa zaidi kwa kuwa inahost viongozi wa kikanda,kitaifa na kimataifa.Barozi yeyote anayeenda Njombe hawezi kulala Makambako atalala Njombe.Niamabie watu wa nje gani weneye taasisi au project wanao kaa makambako.Hivyo Njombe mjini inanufaika kwa kua administrative,commercial and social town wakati Makambako ni commericial na residential tu.Na ishu nyingine usiyoijua watu wanajenga sana makambako kutokana na ongezeko la fursa ya viwanda vikubwa vya watu binafsi na serikali ndo maana saiz maboss kila Kona zinajengwa appartment za kutosha na hii population itakwenda mara mbili yake njombe iliizidi makambako shule za English medium ndani ya miaka miwili makambako wamepindua meza zimejengwa. Shule za kutosha na hadi saiz kuna mdau wa kampuni ya be forward anapiga gorofa kwaajili ya international school
Ndoo maana me nimewai kukwambia ni kweli njombe gorofa mliizidi makambako ila kwa Sasa watu wameamua kufikia mwezi wa kumi na mbili utapata majibu ya structure ya mji wa makambako ilivyo na kuhusu kulala wagen hii inategemea Kama kaja kiziara mkoa wa njombe ata lala njombe kwa sababu ofisi ndiko ziliko ila utambue tazam road inayopitisha watu wa nchi mbalimbali ipo makambako na mbasi ya taqwa sometime yana lala makambako bdo treni makambako lazima wagen wawe wengiujenzi wa nyumba za chini hata vijijijini zipo,mji unajaengwa na majengo nyumba za makazi kwa mkoa wa Njombe bado haujaanza kulipa sana.Njombe in modern structure nyingi kuliko makambako hiyo ndio tofauti.Njombe inabebwa zaidi kwa kuwa inahost viongozi wa kikanda,kitaifa na kimataifa.Barozi yeyote anayeenda Njombe hawezi kulala Makambako atalala Njombe.Niamabie watu wa nje gani weneye taasisi au project wanao kaa makambako.Hivyo Njombe mjini inanufaika kwa kua administrative,commercial and social town wakati Makambako ni commericial na residential tu.
Anyway yote kwa yote tuombe project kubwa ziendelee kuja kwa faida ya Mkoa wa Njombe ila Mji wa Njombe kwa sasa uko juu ya makambako.Angalau sasa naona kuna residential houses nzuri zinaanza kuonekana,kuonesha watu wa makambako hawawazi tu Magari bali wameona thamani ya ardhi piaukisema watu wa nje hata njombe haina most ni wenyeji tena afadhali na makambako kuna project za ujenzi za wageni mfano mo ana maduka na godawn watu kutoka Kenya wanakiwanda cha parachichi kuna wahindi wanagodawn za mbolea ,kuna kibo seed ,export trading,nk bdo upande wa shell wagen ni wengi na shule
Me naona haya mambo ya mji gani upo juu agost mwakani kwenye sensa ya watu na makazi majibu yatapatikana mji upi umejengeka kuliko mwingine na population report ya mkoa itaongea na ungekuwa na kitabu cha uwekezaji cha mkoa ungepata picha vizuri kwanini tuna sema makambako makazi ni mengi kuliko njombe mule kuna mambo mengi yameelezewaAnyway yote kwa yote tuombe project kubwa ziendelee kuja kwa faida ya Mkoa wa Njombe ila Mji wa Njombe kwa sasa uko juu ya makambako.Angalau sasa naona kuna residential houses nzuri zinaanza kuonekana,kuonesha watu wa makambako hawawazi tu Magari bali wameona thamani ya ardhi pia
brother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....Me naona haya mambo ya mji gani upo juu agost mwakani kwenye sensa ya watu na makazi majibu yatapatikana mji upi umejengeka kuliko mwingine na population report ya mkoa itaongea na ungekuwa na kitabu cha uwekezaji cha mkoa ungepata picha vizuri kwanini tuna sema makambako makazi ni mengi kuliko njombe mule kuna mambo mengi yameelezewa
Watakwambia wanasubiri sensa mwakaniView attachment 1796985
Njombe town hiyo haya linganisha na Makambako.




Watakwambia Njombe imechukua vijiji sijui hadi km 60brother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....




Imagine project ya Ruhudji Hydropower itakapoanza utamu utakuajeAnyway yote kwa yote tuombe project kubwa ziendelee kuja kwa faida ya Mkoa wa Njombe ila Mji wa Njombe kwa sasa uko juu ya makambako.Angalau sasa naona kuna residential houses nzuri zinaanza kuonekana,kuonesha watu wa makambako hawawazi tu Magari bali wameona thamani ya ardhi pia
Sawa nyie mnajenga viwanda na sisi huku tumejikita kwenye service industry kama vyuo,mashule,hoteli kali kubwa nk nkukisema watu wa nje hata njombe haina most ni wenyeji tena afadhali na makambako kuna project za ujenzi za wageni mfano mo ana maduka na godawn watu kutoka Kenya wanakiwanda cha parachichi kuna wahindi wanagodawn za mbolea ,kuna kibo seed ,export trading,nk bdo upande wa shell wagen ni wengi na shule kumbuka hata viwanda vingi ni project za wageni nayo itachochea kuingia kwa wagen wengi tofauti na njombe inayotegemea ziara ya kiongoz

Weka picha acha porojo na urojo,,mwezi wa 12 ndio umefanya nini sasa.Ndoo maana me nimewai kukwambia ni kweli njombe gorofa mliizidi makambako ila kwa Sasa watu wameamua kufikia mwezi wa kumi na mbili utapata majibu ya structure ya mji wa makambako ilivyo na kuhusu kulala wagen hii inategemea Kama kaja kiziara mkoa wa njombe ata lala njombe kwa sababu ofisi ndiko ziliko ila utambue tazam road inayopitisha watu wa nchi mbalimbali ipo makambako na mbasi ya taqwa sometime yana lala makambako bdo treni makambako lazima wagen wawe wengi
Mandhari tuu inaibeba Njombe,huko Makambako wanalala wanaoshuka na treni za Tazara kutoka Mlimba , Ifakara na Vijiji vingine vya aina hiyo ndio maana Makambako imejaa gesti bubu uchwara hakuna Hotel kama Njombeujenzi wa nyumba za chini hata vijijijini zipo,mji unajaengwa na majengo nyumba za makazi kwa mkoa wa Njombe bado haujaanza kulipa sana.Njombe in modern structure nyingi kuliko makambako hiyo ndio tofauti.Njombe inabebwa zaidi kwa kuwa inahost viongozi wa kikanda,kitaifa na kimataifa.Barozi yeyote anayeenda Njombe hawezi kulala Makambako atalala Njombe.Niamabie watu wa nje gani weneye taasisi au project wanao kaa makambako.Hivyo Njombe mjini inanufaika kwa kua administrative,commercial and social town wakati Makambako ni commericial na residential tu.
Sasa mkuu unateseka na nini maana sikuelewi,hiyo round about kuwa relocated wewe unaumia na nini sasaHaya mambo ya vitongoji vijiji vikubwa mara cjui nini ukweli utabaki pale pale kutangulia sio kufika ile njombe toka 2007 ipate kuwa mji kamili leo hii miji iloyoanza 2012 imesha ipita tuliwambia jiografia ya mji nayo inasaidia sio milimatu kila Kona ona Sasa mmeiga kuweka round about ruhuji imeshindikana hadi mmepeleka ramadhani na safarii hii makambako lazima iwaonyeshe Sasa project ya garden katikat ya mji imeiva lazima watu wafurah na mji wao
Kasi ya ujenzi ni pesa na kila sehemu kuna kasi,kijiji cha Makambako ni kama kinabalehe sasa huwezi linganisha na matured town kama Njombe mkuu.Yan jiografia ya makambako na kasi ya ushindani ya ujenzi makambako kwa Sasa na wapongeza wafanyabiashara walio amua kuhamisha watu barabarani hususa ni songea road na kuanza kuwekeza shell na gorofa za biashara hakika hili Jambo linawatesa watu wa njombe wanavopita na kuona madhari inabadilika kila siku na bado mtaendelea kushuhudia sana maana hata ukipanda gari saiz imekuwa story hyo kila unapoanza centre ya mji wa mk kiukweli makambako wanacheza vizuri na jiografia ya mji suala la mapato ni muda tu yatabadili zaida maana uwekezaji ni mkubwa mno pia naona na mipango miji wameamua kudrafti mtaa wa mfano mkoa wa njombe ambao upo makambako kwa kuweka barabara zake lami kitu ambacho njombe hakipo walizoea kuona lami maeneo ya biashara tu pia wame design garden katikati ya mji kitu ambacho njombe hakipo muda unaongea tutashuhudia vingi kelele zita kata
Hiyo soon itafika lini maana the gap keeps on getting wider kama hiviHpo ni ushamba wa viongoz wako wanataka kuforce mambo yasiyo wezekana jiografia inabana baba wakazane kuelimisha watu waendelee kupanda parachichi maana soon njombe dc inawapiga chini wawekezaji wakubwa wamekimbilia lupembe na kuna kiwanda kikubwa kinajengwa hko shughuli zote zitaishia hko kazi iendelee


Hizo kelele zita kata tuKasi ya ujenzi ni pesa na kila sehemu kuna kasi,kijiji cha Makambako ni kama kinabalehe sasa huwezi linganisha na matured town kama Njombe mkuu.
Kazaneni labda mtaweza japo kuifikia Tunduma ila Njombe bado saaaana
brother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....