Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe iko poo poa sana

FB_IMG_1621764935931.jpg
 
Agost mwakan tutapata majibu nani ni Nan maneno mengi mno kama ni ujenzi gorofa kwote wanajenga ndipo tutajua wap ni kijiji
 
Agost mwakan tutapata majibu nani ni Nan maneno mengi mno kama ni ujenzi gorofa kwote wanajenga ndipo tutajua wap ni kijiji
Nipo Mlimba hapa, nimeambiwa kuna treni ya Kipisi mpaka Makambako. Siku moja nitafika nile bata hapo mjini Mkuu
 
Sasa idadi ya bajaj 2000 ni sifa?
Mji hauna town trip za daladala za hapo utajivunia kuwa ni mji mkubwa au ni kitongoji kilichochangamka?
Haya mambo ya vitongoji vijiji vikubwa mara cjui nini ukweli utabaki pale pale kutangulia sio kufika ile njombe toka 2007 ipate kuwa mji kamili leo hii miji iloyoanza 2012 imesha ipita tuliwambia jiografia ya mji nayo inasaidia sio milimatu kila Kona ona Sasa mmeiga kuweka round about ruhuji imeshindikana hadi mmepeleka ramadhani na safarii hii makambako lazima iwaonyeshe Sasa project ya garden katikat ya mji imeiva lazima watu wafurah na mji wao
 
Kila siku nawaambia Makambako ni kijiji cha wachuuzi tuu hamna kitu hapo.Mabajaji yanavyoleta uchafu na usumbufu mjini ndio mtu eti anajisifia.

Makambako fikeni level ya Tunduma kwanza ndio uje kushindana na Njombe TC
Yan jiografia ya makambako na kasi ya ushindani ya ujenzi makambako kwa Sasa na wapongeza wafanyabiashara walio amua kuhamisha watu barabarani hususa ni songea road na kuanza kuwekeza shell na gorofa za biashara hakika hili Jambo linawatesa watu wa njombe wanavopita na kuona madhari inabadilika kila siku na bado mtaendelea kushuhudia sana maana hata ukipanda gari saiz imekuwa story hyo kila unapoanza centre ya mji wa mk kiukweli makambako wanacheza vizuri na jiografia ya mji suala la mapato ni muda tu yatabadili zaida maana uwekezaji ni mkubwa mno pia naona na mipango miji wameamua kudrafti mtaa wa mfano mkoa wa njombe ambao upo makambako kwa kuweka barabara zake lami kitu ambacho njombe hakipo walizoea kuona lami maeneo ya biashara tu pia wame design garden katikati ya mji kitu ambacho njombe hakipo muda unaongea tutashuhudia vingi kelele zita kata
 
Haya mambo ya vitongoji vijiji vikubwa mara cjui nini ukweli utabaki pale pale kutangulia sio kufika ile njombe toka 2007 ipate kuwa mji kamili leo hii miji iloyoanza 2012 imesha ipita tuliwambia jiografia ya mji nayo inasaidia sio milimatu kila Kona ona Sasa mmeiga kuweka round about ruhuji imeshindikana hadi mmepeleka ramadhani na safarii hii makambako lazima iwaonyeshe Sasa project ya garden katikat ya mji imeiva lazima watu wafurah na mji.
mji gani umeipita njombe? habari ya kuweka roundabout Ruhuji ni mambo mkanadarasi
 
Mkandarasi si ndo alitoa ushauri kuwa hapo jiografia ni mbovu ila viongozi wenu wali plan hicho kitu lengo kwa sababu makambako ipo pale junction wasi zingatie jiografia ya mji husika na eneo
 
Mkandarasi si ndo alitoa ushauri kuwa hapo jiografia ni mbovu ila viongozi wenu wali plan hicho kitu lengo kwa sababu makambako ipo pale junction wasi zingatie jiografia ya mji husika na eneo
we nawe mshamba kabisa,Lengo ilikua ni kuona kama kun uwezekano lakini uwepo wa mto imekua.
 
Hpo ni ushamba wa viongoz wako wanataka kuforce mambo yasiyo wezekana jiografia inabana baba wakazane kuelimisha watu waendelee kupanda parachichi maana soon njombe dc inawapiga chini wawekezaji wakubwa wamekimbilia lupembe na kuna kiwanda kikubwa kinajengwa hko shughuli zote zitaishia hko kazi iendelee
 
Hpo ni ushamba wa viongoz wako wanataka kuforce mambo yasiyo wezekana jiografia inabana baba
japo wewe nakushangaa sana maendeleo ya Njombe yanakufaidisha bado hutaki Njombe mjini iendelee wakati kule ndio kuna abundant weather for human life,Mji ambao kwa nature yake hauhifadhi uchafu ndio maana is clean all the time.We kubali tu kua kuna wakati fulani hususani miaka ya 2006 kurudi nyuma kweli makambako ilichangamka kuliko Njombe lakini kwa sasa hapana aisee.
 
Kwa baridi la kupaua njombe ndo useme weather ipo good iringa wasemaje ss bora hata makambako wameboresha miundo mbinu saiz kupo good no vumbi upepo umepungu kutokana namajengo kuongezeka furu raha na wagen wengi saiz hawakutaki njombe baridi ni kali mno na ule udongo mwekundu ukichafuka ndo balaa Makambako haijawiai kupoa na haitakuja itokee kwa centre ilipo njombe mnajifariji na chinga walio chafua barabarani makambako wenzenu chinga wapo mitaani na kwenye masoko
 
unaishi Mkoa wa Mkoa wa Njombe?Hali ya hewa nzuri haina uhusiano wa joto kali au baridi bali ni utulivu wa anga,hewa safi,usafi wa mji,na jiografia,Makambako haina utulivu kwa kua ilijengwa kwenye kipito cha upepo mkali japo sio kwamba hapafai kuishi hapa lakini ukilinganisha na Njombe Njombe ni zaidi ndio maana kuna vutia hata kua na hoteli za kitalii kuliko makambako.Makambako panafaa kwa kilimo cha mahindi kwa kuwa na tambalale nzuri hata ukiingiza Trekta linalima sehemu kubwa.
 
Hayo n maneno tu kuna utulivu gan njombe na barid ilivo kali kipindi cha mvua napo ni shida tupu hoteli za kitalii zinajengwa popote mzee na makambako Ina mazinira mazuri ya kujenga hoteli za kitalii zenye viwanja hadi vya michezo subiri waamshe soko la kimataifa utaiona hiyo project endelea kujifariji na vihotel vidogovidogo hivyo
 
usichokijua ni kwamba mtu anachuma makambako anajenga na kuwekeza Njombe mjini.Njombe mjini kwa sasa hotel na biashara zinalipa,population inaongezeka kwa kasi zaidi,Kilimo cha parachichi na Vanila kinawaleta wageni wengi kila siku hivyo mzunguko wa fedha unakua mkubwa,Waafanyabiashara wengi wanaotoka mkoa wa Njombe sasa wameanza kuwekeza Njombe Mjini.
 
Back
Top Bottom