Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Jamaa hajielewi huyo😂 analeta data za hovyo , hajui hata radius ya mji
Hajui ndoo maana humu ndan Kuna watu inatakiwa wapewe elimu Kwanza maana hata tunavosema halimashauri ya mji ,manispaa na jiji hawajui wanajua gorofa ndo sifa
 
Jamaa wamekalili ghorofa Lao moja , Lina picha za angle tofaut tofaut na filter tofaut tofaut ,.... Mpak nikawaambia jaman tunaangalia huduma au view tofaut ya jengo la ghorofa 😂
Hajui ndoo maana humu ndan Kuna watu inatakiwa wapewe elimu Kwanza maana hata tunavosema halimashauri ya mji ,manispaa na jiji hawajui wanajua gorofa ndo sifa
 
View attachment 1701207
Mkuu mbna umepost mandhari ya slums tupu hatujakataa au Kwa vile nyani haoni kundule hyo mandhari ya Kahama Safi Sana mkuu, we Baki na stendi yako ya vibasi viwili vitatu na coaster , wakat Kahama ndo wilaya pekee nje ya makao makuu ya mkoa yenye route za mabasi ya mikoani almost kila mkoa ,
Hata akili huna,slums ni makazi holela sasa kwa akili yako kuna makazi holela kwenye hiyo video?

Slums ziko huko kwenu mnakoishi bila mpangilio
 
Mtu analeta Prototype hizo ziko nyingi kila mji na iko miradi mingi ya hivyo haijatekelezwa kwa couple of years now.
Wapuuzi hao ,Hadi sasa wameshindwa ku justify Manispaa uchwara dhidi ya Nchi ya ahadi Njombe
 
Mbona unakuwa mkali.. kwa hiyo unataka kusema catchment ya jiji la mbeya ni kilomita 80!? Maana Hata Dar Haifiki hiyo!
Ko kutoka Inyala Hadi Airport Songwe ni km ngapi? ,Njombe imekutoa makamasi Mbeya hutoiweza size yake ni Mwanza
 
Ipo miji mingi miji ipi hyo? Jombe washajenga stend yao , Kahama inajengwa na eneo lishatengwa , Jiwe kasema ni manispaa now hatutegemei delay Kwa huo mradi, na eneo tayar lishatengwa cse Kahama recently haina stend kabisa , istoshe Kahama ina route nyingi za mabasi ya Mikoani kuliko jombe , ....

Mradi wa hospital unaendelea na picha za mchoro tumeweka na construction site jengo la OPD tumeweka ...
Ko kwa akili yako finyu ,mipango ni kujenga stand afu ndio mwisho wa maendeleo au
 
Mkuu tunaangalia view au tunaangalia huduma ? Mbna kama umeishiwa chief , kila mara mnapost picha Ile ile na mafilter kibao....kesho mtatuletea mmepiga aerial eneo lile lile

Angalia Kwanza huduma za kibenki mjini Kahama , na nakukumbusha Tu Kahama ndo mji wenye matawi mengi zaidi ya benki kuliko Njombe na Mafinga Combined together

View attachment 1701393
Porojo tupu. Kwani mji haungalii view nzuri? Mji kama kila mahali is not organised, hakuna hata sehemu ya mfano, huo unakua ni mji wa wachuuzi ama wa WANA APPOLO ambao huwa ni wengi,lakini wanaenda kutumia mjini, mfano (Mererani na Arusha)!
 
View attachment 1701381

Mji mwema Njombe.Wote wa kahama na mzee wa makambako mkiniletea the best view kuizidi hii nahitimisha kuchangia kwenye hii battle
Watoe wapi kwenye hivyo vijiji vya wachuuzi.

Yule wa Makambako nimekwambia barabara ya Ifakara ikitoboa tu Njombe kale kakijiji kao katapauka hatari maana wachuuzi wenzio watahamia Njombe

Kale kamji kao kanategemea zaidi wateja kutoka mlimba,Ifakara,na miji mingine ya Kilombero
 
Umeelewa nachokwambia ..au umeenda full kubishana mode.

Wewe umeleta Data ... Sijui utopolo gani uko km 40 kutoka mjini NJOMBE..

Ndio nakwambia kwa sense ya mji.. huwezi kwenda pemba mnazi ukasema uko mjini..

Kilometa 80 catchment ni Sehemu kubwa sana... Nje ya Dsm hakuna ..na hata DSM yenyewe hakuna.. kutoka Bunju mpaka kongowe haifiki km 80 fikiria tena. Na huo ni mwanzo wa jiji mpaka mwisho wa jiji.
Nakupa Challenge, kama upo DSM, washa gari Bunju(DSM/Bagamoyo Boarder) halafu pita njia yoyote ile uijuayo hadi Mvuti, uone kama hutapata 80+
 
Ujenge we structure ya ghorofa nne ili uifanyie nn..!? Kupiga picha!? NHC mtwara huko tena mjini kuliko NJOMBE wanafugia kuku majengo yao.. poor planning
Njombe kuna watu wenye pesa sio sawa na hivyo vijiji vyenu ,,itajengwa kama zilivyojengwa zingine na zinatumika.

Hesabu hizo ghorofa hapo ukikuta kuku hapo? Ni tag
Hillside-View.jpg
02%20(1).JPG
 
Jamaa wamekalili ghorofa Lao moja , Lina picha za angle tofaut tofaut na filter tofaut tofaut ,.... Mpak nikawaambia jaman tunaangalia huduma au view tofaut ya jengo la ghorofa
Usiwe kiazi hesabu hapo chini idadi ya ghorofa afu uje kunionyesha za Kahama

Hizi ni baadhi tu Kati ya nyingi zilizoko Njombe,pitia uzi utaona
thumb_339_1130x480_0_0_auto.jpg
02%20(1).JPG
2134919_dosmeza-hotel-21515-20df15689f8d8095149d344eb9cce02e999942ad_1.jpg
03.JPG
2133522_2018-07-03.jpg
2377469_DSCF4425.jpg
2377195_EBcpp_dWkAAA22W.jpg
06.JPG
maxresdefault-2.jpg
maxresdefault-1.jpg
Njombe-sec.jpg
fm-hotel-2.jpg
Hillside-View.jpg
information_items_1618931.jpg
 
🤪🤪🤪🤪 Picha namba mbili na namba tano ni Ile ile , picha namba kumi ni mchoro 🤪, picha namba sita inachekesha Sana hvyo vijumba japo kuna kigorofa , alaf picha ni zile zile tangu mwanzo wa thread
 
Ko kutoka Inyala Hadi Airport Songwe ni km ngapi? ,Njombe imekutoa makamasi Mbeya hutoiweza size yake ni Mwanza
Jiji linaanzia mlimanyoka dampo Hadi iyunga jiran na daraja la tren mbalizi inyara Ni mbeya vijijini na kutoka uyole Hadi darajani Ni km 24
Watoe wapi kwenye hivyo vijiji vya wachuuzi.

Yule wa Makambako nimekwambia barabara ya Ifakara ikitoboa tu Njombe kale kakijiji kao katapauka hatari maana wachuuzi wenzio watahamia Njombe

Kale kamji kao kanategemea zaidi wateja kutoka mlimba,Ifakara,na miji mingine ya Kilombero

Watoe wapi kwenye hivyo vijiji vya wachuuzi.

Yule wa Makambako nimekwambia barabara ya Ifakara ikitoboa tu Njombe kale kakijiji kao katapauka hatari maana wachuuzi wenzio watahamia Njombe

Kale kamji kao kanategemea zaidi wateja kutoka mlimba,Ifakara,na miji mingine ya Kilombero
Kwa taarifa yako makambako haitegemei hko hapa Ni Ni centre baba watu wanaotoka sehemu mbalimbali sio hko mashambani
FB_IMG_16131890165464440.jpg
 
Back
Top Bottom