Utakua unaota wewe, nani kakuambia Dar haifiki hiyo?
Kutoka Bunju mpakani hadi Mjini ni kilometa 40, na Mjini hadi Chanika Kilometa 30, na Chanika Mvuti Kilometa 8 ukienda Chamazi tayari ni kilometa 20, hizo tayari unapata karibu 80.
Pia ferry hadi Kimbiji ni kilometa 35, Ferry Kibaha mpakani kilometa 35, hizo tayari ni 70+km. Ferry Kongowe ni kilometa 36 hizo tayari ni 71+km.
Hapo sijagusa Mbondole, Dar es Salaam Zoo, Minaki mpakani na Kisarawe, Tundwi Songani, Pemba mnazi(hii ni kilometa 65 kutoka ferry, ingawa hii iko mashambani kwa muktadha wa mji kama DSM ulivyo)
Kwa hiyo, siyo kweli kua Mbeya itafanana na DSM