Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Guests za nini humu?
Guests za nini humu?
Siyo bure una matatizo wewe. Yaani hicho kijiji chenu cha Makambako utafananisha na mji niliozaliwa mimi wa Mtwara? We acha kabisaAmbae hujui Tanzania n ww unashinda shamban
Hizi takataka ni nini?Makambako tcView attachment 1700081
Unafikiri korosho kuna mtu anashinda shambani kama wewe kijijini kwenu unavyolima mahindi, mikorosho ni miti tu kama mwembe, kilimo chake ni cha ku relax, tunalima kisasa kabisa. Wakati wa msimu wageni kutoka msumbiji huajiriwa kusaidia palizi na upuziliaji wa dawa za wadudu na za kuzuia fungus za ukungu, ni kama ulaya, mashine unakuta mdau kaivaa huku anapuliza, tembea ndugu ujionee, usijifungie kwenye hicho kimji ukafikiri umemaliza, Tanzania ni kubwa, na wewe unavyoona na kufikiri umeendelea, utakuja kugundua kumbe uko nyuma, wako wenzako wengi tu wamekupitilia mbali.Ambae hujui Tanzania n ww unashinda shamban
Wanaisimika wapi hii?SAUT Kahama campus... Huenda ndio ikawa ya pili kwa ukubwa kanda hii.
MwimeWanaisimika wapi hii?
Hahaa ndo umeamua ujitambulishe bdo hata huko tuna sambaza bidhaa zinazotoka viwanda vya makambako na matajiri wa makambako wanabranch za maduka yao hko shida Ni hela za msimu relax endelea kupata huduma Kama unga umeisha tuta kuletea na malori ya dangoteHizi takataka ni nini?
Mapovu mengi ya Nini mti wenye matunda lazima upigwe mawe mtaendelea kusubir sana tulio zunguka tunakwambia miji ya biashara Ni kahama tuduma na makambako ingawa wenzetu kahama tayari wameonyesha njia wapo kwenye hadhi ya manispaa hongera zao miji mingine hela Zina msimuUnafikiri korosho kuna mtu anashinda shambani kama wewe kijijini kwenu unavyolima mahindi, mikorosho ni miti tu kama mwembe, kilimo chake ni cha ku relax, tunalima kisasa kabisa. Wakati wa msimu wageni kutoka msumbiji huajiriwa kusaidia palizi na upuziliaji wa dawa za wadudu na za kuzuia fungus za ukungu, ni kama ulaya, mashine unakuta mdau kaivaa huku anapuliza, tembea ndugu ujionee, usijifungie kwenye hicho kimji ukafikiri umemaliza, Tanzania ni kubwa, na wewe unavyoona na kufikiri umeendelea, utakuja kugundua kumbe uko nyuma, wako wenzako wengi tu wamekupitilia mbali.
Kimji chnyewe kimejaa ulozi mtupu kwenye biashara, hovyo kabisa. Zipo case nyingi za aibu za misukule hadi kinyaa, hovyo kabisa.
Hko tulisha wasahau maana toka gesi imeenda dar hela za msimu ndo zpo korosho Hadi korosho Sasa utafungua duka la Nini na mkuu wa mkoa amewambia muachane na makuti ezeken bati bwana najua njaa zinawasumbua saiz SI msimu wa korosho kampuni zifuatazo zitawaletea unga hko G2L, mzalendo,makambako super sembe ,akiaki sembe,super tonono , mangi,nk pia endelea kupata huduma kwenye branchi ya maduka ya matajir wa makambakoSiyo bure una matatizo wewe. Yaani hicho kijiji chenu cha Makambako utafananisha na mji niliozaliwa mimi wa Mtwara? We acha kabisa
Tufanye kumpuuza mkuu ataacha,usimjibu wala kukoti post yakeSiyo bure una matatizo wewe. Yaani hicho kijiji chenu cha Makambako utafananisha na mji niliozaliwa mimi wa Mtwara? We acha kabisa
At least umeleta picha za maana,mshauri na mwenzio anaeleta picha za Vijijijini kwao humuView attachment 1700350
View attachment 1700351
Chuo Cha Afya kahama , daah nishawah miliki mtoto mzuri hapa
Kama ambavyo sisi tunawaletea Simba kutoka Mtwara, ni jambo jema.Hahaa ndo umeamua ujitambulishe bdo hata huko tuna sambaza bidhaa zinazotoka viwanda vya makambako na matajiri wa makambako wanabranch za maduka yao hko shida Ni hela za msimu relax endelea kupata huduma Kama unga umeisha tuta kuletea na malori ya dangote
Aisee, Makambako kuna hela gani wewe jamaa, nadhan utakua mshamba wewe, hiyo mitumba ndiyo hela?Mapovu mengi ya Nini mti wenye matunda lazima upigwe mawe mtaendelea kusubir sana tulio zunguka tunakwambia miji ya biashara Ni kahama tuduma na makambako ingawa wenzetu kahama tayari wameonyesha njia wapo kwenye hadhi ya manispaa hongera zao miji mingine hela Zina msimu
Na Matokeo haya Wanakahama tumeyakubali. Na tunaheshimu busara za Said S Yandemshindi hajapatikana tu jamani mpaka leo. Naomba nitumie nafsi hii adimu kuitangaza manispaa ya Kahama kuwa mshindi rasmi katika mashindano haya njombe mji nafasi ya tatu huku ya pili iwe makambako.case closed
Makambako tumeyakubali piamshindi hajapatikana tu jamani mpaka leo. Naomba nitumie nafsi hii adimu kuitangaza manispaa ya Kahama kuwa mshindi rasmi katika mashindano haya njombe mji nafasi ya tatu huku ya pili iwe makambako.case closed
mshindi hajapatikana tu jamani mpaka leo. Naomba nitumie nafsi hii adimu kuitangaza manispaa ya Kahama kuwa mshindi rasmi katika mashindano haya njombe mji nafasi ya tatu huku ya pili iwe makambako.case closed