Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

1613031317998.png

njombe
 
Njombe kule kumejaa vumbi tu na nyumba za vibati vya rangi nyekundu sababu ya vumbi , na pia no pisi kali kule, kuna mwanangu anaitwa Salehe Yani kumuona hata mchana mpak acheke.....
Huwez kuona matasha makubwa yanaenda jombe hakuna pesa kule , kahama ndo wilaya pekee nje ya makao makuu ya mkoa inayokula hzo shavu ..... Wanangu wa kahama twende together
IMG_0238.JPG

P1620628.JPG

slide10.jpg

14.jpg
kahama.JPG
 
Njombe kule kumejaa vumbi tu na nyumba za vibati vya rangi nyekundu sababu ya vumbi , na pia no pisi kali kule, kuna mwanangu anaitwa Salehe Yani kumuona hata mchana mpak acheke.....
Huwez kuona matasha makubwa yanaenda jombe hakuna pesa kule , kahama ndo wilaya pekee nje ya makao makuu ya mkoa inayokula hzo shavu ..... Wanangu wa kahama twende together
View attachment 1699762

View attachment 1699763

View attachment 1699764
View attachment 1699765View attachment 1699766
Toka huu uzi umeanza,hii ndio picha pekee ambayo washindia michembe huwa wana post,check vitu vipya hapo chini kw Munjombe.

Kahama ni kijiji kikubwa ila Njombe ni Mji wenye hadhi ,haikuwa makao makuu ya moa kwa bahati mbaya kama ilivyo kahama manispaa uchwara ya kisiasa
 
1613043100068.png

mzee wa makambako nilipe picha kama hii kwa makambako.In short Njombe is well organised na advanced kuliko kahama.Tofauti itakua kwenye uwingi wa watu kwa kua hakuna kata,tarafa,wilaya na mkoa unao kariwa na wasukuma ukawa na watu wachache.Kama wilaya moja ya sengerema ina watu zaidi ya milioni moja japo 70% ya wilaya yote ni rural area sioni sababu kwa nini kahama iwe na watu wachache wakati ni generation moja na sengerema
 
View attachment 1699847

You have made my day,view kali tena imeonyesha nyumba za ghorofa nyingine tofauti na tulizo post awali.Kwa picha kama hizi huwezi kuwaona wachuuzi wa mitumba kutoka Kahama na Makambako,wanapita kama hawaoni vile.

Huko kahama watu wamerundikana kama piglets wanavyorundikana kutafuta joto ila majority wako hoi economically
 
View attachment 1699847

mzee wa makambako nilipe picha kama hii kwa makambako.In short Njombe is well organised na advanced kuliko kahama.Tofauti itakua kwenye uwingi wa watu kwa kua hakuna kata,tarafa,wilaya na mkoa unao kariwa na wasukuma ukawa na watu wachache.Kama wilaya moja ya sengerema ina watu zaidi ya milioni moja japo 70% ya wilaya yote ni rural area sioni sababu kwa nini kahama iwe na watu wachache wakati ni generation moja na sengerema
Yaku edit Yan we ndo hujielewi
Safi sana mkuu tuletee vitu vipya kama hivi,vitu kama hivi Kahama na mtoto wetu mtukutu aliyeasi Makambako wataishia kuviona kwenye tv au labda waje Njombe
Na unakuja tu makambako kuleta viazi huna ujanja ww
 
View attachment 1699847

mzee wa makambako nilipe picha kama hii kwa makambako.In short Njombe is well organised na advanced kuliko kahama.Tofauti itakua kwenye uwingi wa watu kwa kua hakuna kata,tarafa,wilaya na mkoa unao kariwa na wasukuma ukawa na watu wachache.Kama wilaya moja ya sengerema ina watu zaidi ya milioni moja japo 70% ya wilaya yote ni rural area sioni sababu kwa nini kahama iwe na watu wachache wakati ni generation moja na sengerema
Leta za mitaan sio za kusimama ramadhan Ina piga sehemu moja
 
Safi sana kwa kuendelea kuwaaibisha hao wachuuzi,lazima wawe na adabu kwa Njombe kwamba sio size yao
Yan hapa utakuja tu ndo mji wa biashara ko heshima itawale pia hata michezo Ni makambako
tmp-cam-7037936865746677807.jpg
FB_IMG_16130321134173039.jpg
FB_IMG_16130321134173039.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16130320174829900.jpg
    FB_IMG_16130320174829900.jpg
    17.5 KB · Views: 6
Back
Top Bottom