Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • FB_IMG_16130324622235599.jpg
    FB_IMG_16130324622235599.jpg
    8.3 KB · Views: 6
  • FB_IMG_16130312599422177.jpg
    FB_IMG_16130312599422177.jpg
    16 KB · Views: 17
Yan vi

Haya makambako hyo hizo Ni hospital ambazo moja ipo umbali wa km 15 toka mjin na nyingine km 20 na kote kumekucha
sasa hiki ndio nini umepost hapa,toa uchafu hapa mkuu tunataka picha za aerial au ghorofa sio magodown ya kutunzia mitumba

Harafu ukinionyesha barabara ya Lupembe-Mkambako kwenye ramani hii hapa chini nafunga acc jf
 
Attachments

Yan vi

Haya makambako hyo hizo Ni hospital ambazo moja ipo umbali wa km 15 toka mjin na nyingine km 20 na kote kumekucha
 
Attachments

  • FB_IMG_16130323965924744.jpg
    FB_IMG_16130323965924744.jpg
    10.4 KB · Views: 7
  • tmp-cam-6611546106928764119.jpg
    tmp-cam-6611546106928764119.jpg
    11.2 KB · Views: 7
sasa hiki ndio nini umepost hapa,toa uchafu hapa mkuu tunataka picha za aerial au ghorofa sio magodown ya kutunzia mitumba
We ndo mshamba kwel maendeleo sio gorofa gorofa inamaanisha mnauhaba wa ardhi au Kuna milima imezidi
 
Mdatchu ,Unachafua uzi kwa vipicha vya vijumba vya corrugated iron sheet,kama huna picha za maana bora uache,tukisema tuweke vipocha vya hivyo seva za jf zitashindwa ku respond na maana ya uzi itakuwa hakuna.

Afu unaweza fungua uzi wa Makambavo vs Njombe hapa unanichafulia uzi wangu wa Kahama vs Njombe ,la sivyo post ghorofa tuu humu
 
We ndo mshamba kwel maendeleo sio gorofa gorofa inamaanisha mnauhaba wa ardhi au Kuna milima imezidi
Sawa wewe mjanja wa maendeleo ila Mji bila ghorofa ni kijiji kwa hiyo kama hakuna ghorofa ya ku post kaa kimya,by the way Makambako ni kijiji tuu hakuna chochoe hapo zaidi ya vibanda vya mitumba
 
View attachment 1699847

mzee wa makambako nilipe picha kama hii kwa makambako.In short Njombe is well organised na advanced kuliko kahama.Tofauti itakua kwenye uwingi wa watu kwa kua hakuna kata,tarafa,wilaya na mkoa unao kariwa na wasukuma ukawa na watu wachache.Kama wilaya moja ya sengerema ina watu zaidi ya milioni moja japo 70% ya wilaya yote ni rural area sioni sababu kwa nini kahama iwe na watu wachache wakati ni generation moja na sengerema
Nyumba za mtoni ruhuji hahaha
 
Yan vi

Haya makambako hyo hizo Ni hospital ambazo moja ipo umbali wa km 15 toka mjin na nyingine km 20 na kote kumekucha
Nilisema sitachangia uzi, lakini hizi picha huu ni utani. Vitu kama hivi ni very minor, vijijini huko vimetapakaa kila mahali, au mdau hujatembea Tanzania? Picha gani unatuwekea hizi kujaza kwenye page za JF unnecessarily?
 
Attachments

  • IMG_20210211_181348.jpg
    IMG_20210211_181348.jpg
    155.4 KB · Views: 8
  • IMG_20210211_181333.jpg
    IMG_20210211_181333.jpg
    149.9 KB · Views: 8
  • IMG_20210211_181228.jpg
    IMG_20210211_181228.jpg
    92.4 KB · Views: 6
  • IMG_20210211_180317.jpg
    IMG_20210211_180317.jpg
    145.8 KB · Views: 8
  • IMG_20210211_175332.jpg
    IMG_20210211_175332.jpg
    152.8 KB · Views: 8
  • IMG_20210211_180130.jpg
    IMG_20210211_180130.jpg
    184.8 KB · Views: 12
  • IMG_20210211_180317.jpg
    IMG_20210211_180317.jpg
    145.8 KB · Views: 8
  • IMG_20210211_180435.jpg
    IMG_20210211_180435.jpg
    131 KB · Views: 9
  • FB_IMG_16130490971180618.jpg
    FB_IMG_16130490971180618.jpg
    21.8 KB · Views: 8
  • FB_IMG_16130491367018157.jpg
    FB_IMG_16130491367018157.jpg
    9.4 KB · Views: 11
Nilisema sitachangia uzi, lakini hizi picha huu ni utani. Vitu kama hivi ni very minor, vijijini huko vimetapakaa kila mahali, au mdau hujatembea Tanzania? Picha gani unatuwekea hizi kujaza kwenye page za JF unnecessarily?
bora na wewe umeliona hilo maana nimesema Hadi nimechoka,jamaa anachafua uzi kwa vitu vya kipuuzi.

Ikumbukwe Kahama walianza ku post guests house tukawachana live
 
Nilisema sitachangia uzi, lakini hizi picha huu ni utani. Vitu kama hivi ni very minor, vijijini huko vimetapakaa kila mahali, au mdau hujatembea Tanzania? Picha gani unatuwekea hizi kujaza kwenye page za JF unnecessarily?
Ambae hujui Tanzania n ww unashinda shamban
 
Attachments

  • FB_IMG_16130642896182282.jpg
    FB_IMG_16130642896182282.jpg
    17.7 KB · Views: 8
  • FB_IMG_16130644184991573.jpg
    FB_IMG_16130644184991573.jpg
    18.4 KB · Views: 13
  • FB_IMG_16130645198874783.jpg
    FB_IMG_16130645198874783.jpg
    44.4 KB · Views: 10
  • FB_IMG_16130644576826027.jpg
    FB_IMG_16130644576826027.jpg
    24.8 KB · Views: 7
  • FB_IMG_16130645013162686.jpg
    FB_IMG_16130645013162686.jpg
    45.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom