Kahama VS Njombe/Mafinga

Yaani nje ya hako ka round about ni utopolo tupu,afu usilinganishe Mji wa zamani na Kijiji cha juzi juzi
 
Mji wowote bila mandhari mazuri ni utopolo,Tzn hii ukisema wapi kuna Hali ya hewa nzuri utaambiwa Njombe,Mbeya,Lushoto na Arusha hili hata wewe unalijua
 
KAHAMA tayari wana 30+km (36kama sikosei) kwenye TACTIC .. kuanzia mwaka kesho kutwa inakuja bajeti ya Kuboresha Manispaa nayo ina KM zake za kutosha ...
Hizo km hazipo hata kwenye majiji wewe umezitoa wapi mkuu
 
Usilo lijua nisawa na usiku wa giza watu wapo makambako wanna ekari za miti za kutosha na parachichi za kuzidi we kaa ujue et parachichi Ni za watu wa njombe
Wana ekari za parachichi wapi? Jibu ni Njombe ,,mtu yeyote anachangamkia fursa
 
Wana ekari za parachichi wapi? Jibu ni Njombe ,,mtu yeyote anachangamkia fursa
Afu unaju ww umekalili makambako watu wengi wa maekari ya parachichi nenda mlowa mahongole kitandililo na utengule ndo utaamini nacho kiongea
 
Hizo km hazipo hata kwenye majiji wewe umezitoa wapi mkuu
Sasa mimi nawezaje kubishana na waziri.. kiongozi. Hayo ni maneno ya Jaffo. Hahaha

Lakini majiji yapi unayatolea mfano.. DSM kwa sasa walikuwa na miradi Yao DMDP kilomita 400. Acha hizo 36

Arusha zile ring road ni zaidi ya kilomita 50
Bado za mjini.

Dodoma ring road ni kilomita 105. Hahaha

Sema hatakahama ni potential area.. hizo 36 zinaweza hata zisiende mbali.. maana naona barabara mbili tuzikijengwa haipungui km 30 ndani ya mji. Mitaa bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…