Kahama VS Njombe/Mafinga

Hiyo Iringa ilikuwa inafaidika na bidhaa za Njombe,hayo hayo mangapi yamepiga Kahama plus Makambako.

Hiyo Iringa yako nayo imesongamana kama vifaranga na dry Sana huo mji
 
Weka hiyo figure ya rice,kitu cha universal automatically kila sehemu kipo hakiwezi kufetch high price hiyo ni sawa na mahindi tuu

Afu uwe unafikiria basi kwamba zao la biashara nitofauti na zao la chakula ,,kilo ya avocado ni sh.7,000 wakati ya mchele ni less than 2,000 sijui unaongea nini hapa
 
Hiyo Iringa ilikuwa inafaidika na bidhaa za Njombe,hayo hayo mangapi yamepiga Kahama plus Makambako.

Hiyo Iringa yako nayo imesongamana kama vifaranga na dry Sana huo mji
Yan we jamaaa vigorofa sita ndo ulinganishe na iringa unaota ww
 
Miaka ya nyuma ipi wewe Mr blaa blaa,hakuna kitu nyie wachuuzi mnaweza izidi Njombe labda mitumba tuu
 
Huna hio jeuri huku tayari tuko organised kwenye vikundi afu saizi tunaanza ku export wenyewe
Hamna ujanja mbele ya wafanyabiashara juzi tu kiwanda Cha makambako kimewaletea trei za kukusanyia parachichi waje wachukue
 
mpuuzi huyo hajiulizi kwamba bln 4 plus za Njombe vs bln 2 za Makambako zinatoka wapi,huwezi linganisha viduka vya mitumba na ekari 1 tu ya parachichi
 
Kilo ya ovacado Ni 1500
 
mpuuzi huyo hajiulizi kwamba bln 4 plus za Njombe vs bln 2 za Makambako zinatoka wapi,huwezi linganisha viduka vya mitumba na ekari 1 tu ya parachichi
Usilo lijua nisawa na usiku wa giza watu wapo makambako wanna ekari za miti za kutosha na parachichi za kuzidi we kaa ujue et parachichi Ni za watu wa njombe
 
Ili kutokua na biasness, weka mitaa ya Makambako(isiwe TANZAM HIGHWAY, ambayo imejengwa na Benki ya dunia na imeenda hadi IGAWA na huko kote inavutia)! Weka mitaa ya Makambako siyo barabaraba pia ya kwenda Songea/ Njombe
Hata akiweka hiyo hakuna kitu pale ni Mji wa maghala ya mitumba na vyuma chakavu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…