Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Hoja na ushahidi viko hapa👇😁🤭Hoja ijibiwe kwa hoja Kama huna punguza maneno twendelee kukuonyesha kazi zinazoendelea mzee
Yaani Makambako yako hiyo ni kijiji tu kilichochangamka na fujo ya hela wala sio mji wa kutamba nao yaani huu uchafu 👇😂😁🤭🤭