Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Dunia mbili tofauti kabisa 😂😁😁😆😆
Peponi👇🤩🤩
View attachment 3439269View attachment 3439270View attachment 3439271
Jehanamu 🤣🤣👇
View attachment 3439272View attachment 3439273
Mnavohangaika na mapaa wenzenu wanashusha vitu mitaan
IMG_20250814_133426~2.jpg
IMG_20250814_133316~2.jpg
 
Mbeya cc kwa Sasa imejaa jiografia imewabana Kuna haja mashamba ya KILIMO uyole wahamishe vipimishwe viwe VIWANJA
FB_IMG_17553015542052484.jpg

1(1).jpg
aerial-view-sabana-park-costa-260nw-1080424970.jpg
beautiful-aerial-view-san-jose-260nw-1591505938.jpg
1(0).jpg
 
Hawa wababaishaji mbona fujian hexngwang wa maganga matitu kaenda haraka Sana na amelipa FIDIA mwenyewe hapo serikali inajichelewesha yenyewe
Amelipa fidia mwenyewe au ni Serikali imelipa?
 
MKUU WA MKOA WA NJOMBE AMEMPONGEZA MZEE MTEWELE KWA UWEKEZAJI WA HOSPITALI MPYA NJOMBE

NJOMBE MJINI – Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, ametembelea hospitali mpya ya Mtewele iliyopo katika eneo la Block X, Njombe Mjini, na kushuhudia uwekezaji mkubwa uliotekelezwa na Mzee Mtewele.

Katika mazungumzo na Mzee Mtewele, Mhe. Mtaka amempongeza kwa kuamua kuwekeza mradi mkubwa nyumbani Njombe, akibainisha kuwa kukamilika kwa hospitali hii kutawawezesha wananchi wa Mkoa wa Njombe na hata wale kutoka maeneo mengine kupata huduma bora za afya kwa urahisi. “Hii ni hatua muhimu inayoongeza upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi na inaonyesha jitihada za kweli za maendeleo,” alisema Mhe. Mtaka.

Kwa upande wake, Mzee Mtewele alimshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kutembelea mradi wa ujenzi wa hospitali na kuonyesha ushirikiano katika kuhakikisha jitihada za kuboresha sekta ya afya zinathaminiwa na serikali pamoja na wananchi.

Hospitali ya Mtewele ni mradi mkubwa wa kimfumo unaoashiria maendeleo katika sekta ya afya, huku ikitoa matumaini makubwa kwa wananchi wa Njombe kupata huduma za matibabu za kisasa na kwa gharama nafuu.
FB_IMG_17553479328995775.jpg
 
Utekelezaji wa wazo lamkoa wa njombe kuwa na mji wa VIWANDA na BIASHARA wadau wameunga Sana mkono uwekezaji unapamba moto sector mbalimbali
FB_IMG_17555723840232751.jpg
FB_IMG_17555725586272011.jpg
 
Back
Top Bottom