Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

We jamaa bado mshamba Sana Tena Sana Yani mapaa yaliyojaa kila vijiji ndo ya kuumia leta project za maana huo ni Ushamba wako si ulizoea kuishi nyumba za tembe ko hivyo vitu kwako NI mashokolo mageni
Maneno ya mkosaji 😂😂
 
Maneno ya mkosaji 😂😂
Soma takwimu za sensa zitakusaidia mkoa was njombe NI wa ngapi katika nyumba Bora si wezi kubaki nabishana na mtu aliyetoka nyumba za tembe ndo anashaangaa kuwa Kuna mapaa ya bati
 
Soma takwimu za sensa zitakusaidia mkoa was njombe NI wa ngapi katika nyumba Bora si wezi kubaki nabishana na mtu aliyetoka nyumba za tembe ndo anashaangaa kuwa Kuna mapaa ya bati
Ebu weka tuzione hizo nyumba zenyewe sasa🤣🤣🤣🤣vijumba vimejaa mkoa mzima
 
Ebu weka tuzione hizo nyumba zenyewe sasa🤣🤣🤣🤣vijumba vimejaa mkoa mzima
Tumeweka mara ngapi saiz leta project mpya sio vipicha hivyohivyo vya nyumba za kijijini toka tumeanza kukufatilia project za maana hata tano hazifiki kwenye hicho Kijiji chako zaidizaidi NI Ushamba wa kupost mapaa
 
Ujenzi wa stend mbeya cc
FB_IMG_17547957724676321.jpg
 
Tumeweka mara ngapi saiz leta project mpya sio vipicha hivyohivyo vya nyumba za kijijini toka tumeanza kukufatilia project za maana hata tano hazifiki kwenye hicho Kijiji chako zaidizaidi NI Ushamba wa kupost mapaa
Endelelea kuumia hivyo hivyo na miji yako yenye kutu kila kona,👇👇umia tena
Screenshot_20250811-164153.jpg
 
Endelelea kuumia hivyo hivyo na miji yako yenye kutu kila kona,👇👇umia tena
View attachment 3438505
Mzee wa tembe endelea kuhangaika na mapaa si tunacheck project mpya CBD ZA MJI ZINA HITAJI NINI HUKO TULISHA HAMA KARNE ZIMEPITA TUKO HUKU SASA NI MWENDO WA KUVUNJA NYUMBA ZA MAPAA CBD NA KUPANDISHA GOROFA
IMG_20250811_081700~3.jpg
 
Endelelea kuumia hivyo hivyo na miji yako yenye kutu kila kona,👇👇umia tena
View attachment 3438505
Kwa ujenz huo hicho kitabaki kuwa Kijiji tu miaka yote hakuna barabara nyumba zipo holela some time muwe mnajifunza kwenye miji mikubwa ya jilan miji wanapangaje sio kila siku kutuletea mapaa et ndo mji
FB_IMG_17547881282253140.jpg
mfano hiyo NI arusha unaona Kuna mapaa yako hapo
 
Endelelea kuumia hivyo hivyo na miji yako yenye kutu kila kona,👇👇umia tena
View attachment 3438505
Mkoa wa njombe umeamua Makambako kuwa mji wa VIWANDA na bishara ko nao unajifunza kwenye majiji yaliyopo junction yanayo kua kwa mfumo wa viwanda na biashara na jiografia zinazo endana flat land ya kutosha na si vinginevyo ndo maana kwa Sasa Kuna mabadiliko yanaendelea Kama uwekaji wa Alama ya mji round about ,ujenz wa gorofa CBD , VIWANDA NK
hq720(2).jpg
lusaka zambia
sddefault.jpg
ndo maana mabadiliko yanaendelea CBD
IMG_20250811_081700~3.jpg
FB_IMG_17544617947047092.jpg
IMG_20250812_123910.jpg
 
Mkoa wa njombe umeamua Makambako kuwa mji wa VIWANDA na bishara ko nao unajifunza kwenye majiji yaliyopo junction yanayo kua kwa mfumo wa viwanda na biashara na jiografia zinazo endana flat land ya kutosha na si vinginevyo ndo maana kwa Sasa Kuna mabadiliko yanaendelea Kama uwekaji wa Alama ya mji round about ,ujenz wa gorofa CBD , VIWANDA NKView attachment 3438765lusaka zambiaView attachment 3438766ndo maana mabadiliko yanaendelea CBDView attachment 3438767View attachment 3438768View attachment 3439103
Kuna nini cha maana hapo makambako zaidi ya vijumba vyenye kutu na vigorofa vitano ambavyo ni kawaida kwa maeneo mengi mpaka Kasulu huko😂😂
Au kuwa na round about ndio maendeleo?

Ebu weka hizo nyumba mnazoishi tufurahi kidogo 😄😄
 
Back
Top Bottom