Hatuna muda was kupost nyumba za kuishi hapa tunaleta project za maana sio mapaa tumesha kwambia now CBD NI MWENDO WA KUNYANYUA GOROFA HATUNA MUDA WA KUPIGA MAPAA YA NYUMBA kazi zinaongeaKuna nini cha maana hapo makambako zaidi ya vijumba vyenye kutu na vigorofa vitano ambavyo ni kawaida kwa maeneo mengi mpaka Kasulu huko😂😂
Au kuwa na round about ndio maendeleo?
Ebu weka hizo nyumba mnazoishi tufurahi kidogo 😄😄