Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Pembeni angalau kutu zimepungua
Shida ni huu👇uharo kwenye CBD😁😁🤣🤣
Uhalo gan tulisha kwambia CBD SAIZ ZINASHUKA GOROFA NA KUWA NA NYUMBA ZENYE KUTU KATIKATI YA MJI NI KAWAIDA KWA MIJI MINGI KWAni mji ndo ulianzia hapo kinacho angaliwa mji una mpangilio sio kujenga holela mji ukakosa miundombinu MUHIMU mji ukiwa planned kubadili majengo sio shida ndo maana kwa Sasa makambako CBD wanavunja na kushasha vitu vikiwa kwenye ramani ile ile ilaasa ni mwendo huu👇👇
IMG_20250812_175934~2.jpg
IMG_20250814_130436~2.jpg
IMG_20250811_081700~3.jpg
 
Uhalo gan tulisha kwambia CBD SAIZ ZINASHUKA GOROFA NA KUWA NA NYUMBA ZENYE KUTU KATIKATI YA MJI NI KAWAIDA KWA MIJI MINGI KWAni mji ndo ulianzia hapo kinacho angaliwa mji una mpangilio sio kujenga holela mji ukakosa miundombinu MUHIMU mji ukiwa planned kubadili majengo sio shida ndo maana kwa Sasa makambako CBD wanavunja na kushasha vitu vikiwa kwenye ramani ile ile ilaasa ni mwendo huu👇👇View attachment 3447686View attachment 3447685View attachment 3447687
Acha kutapatapa na gulio lako hilo 😂😂
Video uliyopost inaonyesha uharo tupu mandhari ya mji ni chafu tu CBD imejaa kutu halafu unaanza kuokoteza kajengo kamoja 🤣😂😂😂
Nikiweka picha za CBD ya Katoro hakuna uchafu wa kutu na mandhari ni yakuvutia kama 👇👇 hapo 😘
Screenshot_20250811-164153.jpg

Miji yenu ni uchafu yaani ni vijiji vilivyokuwa kwa Kasi zamani na ujenzi wa nyumba za kizamani ambazo karibu 85% pale CBD ni vyema zibomolewe otherwise Makambako CBD itaendelea kuwa na mwonekano wa uharo milele 🙏
 
Acha kutapatapa na gulio lako hilo 😂😂
Video uliyopost inaonyesha uharo tupu mandhari ya mji ni chafu tu CBD imejaa kutu halafu unaanza kuokoteza kajengo kamoja 🤣😂😂😂
Nikiweka picha za CBD ya Katoro hakuna uchafu wa kutu na mandhari ni yakuvutia kama 👇👇 hapo 😘View attachment 3448296

View: https://www.instagram.com/p/DNnCzPJNbjZ/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Acha kutapatapa na gulio lako hilo 😂😂
Video uliyopost inaonyesha uharo tupu mandhari ya mji ni chafu tu CBD imejaa kutu halafu unaanza kuokoteza kajengo kamoja 🤣😂😂😂
Nikiweka picha za CBD ya Katoro hakuna uchafu wa kutu na mandhari ni yakuvutia kama 👇👇 hapo 😘View attachment 3448296
Miji yenu ni uchafu yaani ni vijiji vilivyokuwa kwa Kasi zamani na ujenzi wa nyumba za kizamani ambazo karibu 85% pale CBD ni vyema zibomolewe otherwise Makambako CBD itaendelea kuwa na mwonekano wa uharo milele 🙏
Hichi NI Kijiji milele hakuna mpangilio wowote Kama ndo CBD tafuta vijiji vyenzake ndo ushindanishe mzee unatuchosha akili
 
Acha kutapatapa na gulio lako hilo 😂😂
Video uliyopost inaonyesha uharo tupu mandhari ya mji ni chafu tu CBD imejaa kutu halafu unaanza kuokoteza kajengo kamoja 🤣😂😂😂
Nikiweka picha za CBD ya Katoro hakuna uchafu wa kutu na mandhari ni yakuvutia kama 👇👇 hapo 😘View attachment 3448296
Miji yenu ni uchafu yaani ni vijiji vilivyokuwa kwa Kasi zamani na ujenzi wa nyumba za kizamani ambazo karibu 85% pale CBD ni vyema zibomolewe otherwise Makambako CBD itaendelea kuwa na mwonekano wa uharo milele 🙏
Kaaa kwa kutilia vitu vinanyanyuka CBD
FB_IMG_17559229939726239~2.jpg
 
Back
Top Bottom