Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Geita inaizidi Hadi Shy Sasa unashangaa nini?
Shida ya mkoa wa Shinyanga ni moja ,wilaya zilizoendelea vizuri ni mbili tu yaani Shinyanga Manispaa na Kahama Manispaa wilaya zilizobaki zipo nyuma sana

Uzuri wa Mkoa wa Geita una wilaya tano zimepiga hatua kimaendeleo ya watu na zina fursa nzuri kwa mtu anayetafuta maisha, ( mbogwe, bukombe, Geita DC, Chato na Geita MC). Kwenye haya maeneo kuna pesa

Mkoa wa Mwanza huwa naona unashikiliwa na wilaya tatu tu, Mwanza jiji, Ilemela na Sengerema ndio sehemu zenye fursa nyingi za kiuchumi, kwa wilaya kama Misungwi, ukerewe, Kwimba na magu huwa naona ni setbacks kwa mkoa wa Mwanza ndio zenye maskini wengi na fursa chache na huwa zinachangia sana negatively kwenye data za uchumi kwa mkoa wa Mwanza

Ukiniambia nichague mkoa wa kutaftia pesa kanda ya ziwa chaguo langu kwa sasa litakuwa Geita, Na Geita inapokea wahamiaji wengi sana wanaofata fursa za pesa na kama itabaki hivi mpaka census ijayo Mkoa wa Geita unaweza kuongoza kwa population kwa kanda ya ziwa
 
Sengerema Kuna nini huko Cha maana Bora hata Misungwi
 
KANDA YA NYASA WANAENDA KUNUFAUKA NA HEWA UKAA SASA NEEMA WAKULIMA WA MITI
Njombe Forest Platation
Wakulima wa miti mikoa ya nyanda za juu kusini wanataraji kunufaika na fursa mbalimbali za kilimo hicho zikiwemo fursa za uzalishaji miche na utunzaji misitu, hewa ya ukaa na uchakataji mazao ya misitu, kutoka shirika la forland ambalo limefika mkoani Njombe na kujitambulisha kuanza kutoa huduma kwa Muda wa miaka mitano ndani ya mikoa minne ya Njombe Iringa Ruvuma na lindi.

Mratibu wa kitaifa wa mradi huo wa Forland Emma Nzunda ameeleza kuwa licha ya mikoa inayolemgwa kuwa na wakulima wengi wanaojihusisha na kilimo cha miti mradi huo utawasaidia kulima kwa tija na kupata faida zaidi ikiwa ni pamoja na kuendeleza mikakati ya utunzaji wa mazingira huku mratibu wa mradi huo katika kongani ya Njombe BW mahendeka jeremaya akisema kuwa mradi huo pia utatekelezwa kwa ushirikiano na serikali kupitia halmashauri.

Serikali mkoani Njombe kupitia mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka na katibu tawala Judica Omary wameagiza mradi huo ambao uko chini ya wizara ya mali asaili na utalii kwa ushirikiano wa ubalozi wa nchini Finland kuleta tija kwa wakulima kwa kuzalisha ajira na kukuza kipato cha wakulima.

Baadhi ya washiriki katika kikao cha kutambulisha mradi huo ambao ni maafisa misitu kutoka mikoa yote nufaika wamekua na maoni tofauti ikiwemo Kutaka usimamizi wa sheria za kudhibit moto kuendelea kutumika.

Mkoa wa Njombe ni miongoni mwa mikoa inayolima miti kwa kiasi kukubwa hapa nchini lakini changamoto inayotajwa ni wakulima kuvuna miti ikiwa bado haijakomaa ambapo mradi huo unatarajiwa kuwa sehemu kutataua changamoto hiyo kwa kutoa elimu na kuongeza mbinu nyingine za kipato nje ya uvunaji miti

View: https://www.instagram.com/reel/DL5cAW7NQY1/?igsh=YmJ5YzcwcHlvZzVl
 
SONGEA ITAKUWA BARABARA FUPI KWENDA NCHINI AFRIKA YA KUSINI
Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile amesema kitendo kilichofanywa na serikali kutoa bilioni 110.7 kuanza kujenga barabara ya lami nzito kuanzia Likuyufusi hadi Mkenda Mpakani na Msumbiji kutafungua fursa nyingi kiuchumi katika wilaya ya Songea kwa sababu itakuwa ndiyo barabara fupi zaidi kwenda nchini Afrika ya kusini.
Ndile amesema hayo katika hafla ya utambulisho wa mradi huo katika awamu ya kwanza ya utekelezaji kwa ujenzi wa barabara ya lami kilometa 60 Kati ya kilometa 124.
 
Uwekezaji hospital ya kibingwa makambako unaendelea👇👇👇
IMG_20250711_164320~2.jpg
 
Uwekezaji hospital ya kibingwa makambako unaendelea👇👇👇View attachment 3403815
Wawekee picha za Mijengo mikubwa kama Kibidamo,BS na lile gorofa kubwa pale unapoingia stendi.

Makambako saizi imeendelea naona Hadi shopping malls na maduka ya gorofa maeneo ya sheli ya Puma energy Mbeya road na Iringa road ziko 2 Moja jirani ya makaburi na nyingine nyuma kidogo ya Mizani.
 
SONGEA ITAKUWA BARABARA FUPI KWENDA NCHINI AFRIKA YA KUSINI
Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile amesema kitendo kilichofanywa na serikali kutoa bilioni 110.7 kuanza kujenga barabara ya lami nzito kuanzia Likuyufusi hadi Mkenda Mpakani na Msumbiji kutafungua fursa nyingi kiuchumi katika wilaya ya Songea kwa sababu itakuwa ndiyo barabara fupi zaidi kwenda nchini Afrika ya kusini.
Ndile amesema hayo katika hafla ya utambulisho wa mradi huo katika awamu ya kwanza ya utekelezaji kwa ujenzi wa barabara ya lami kilometa 60 Kati ya kilometa 124.
Na ile ya Mikumi-Ifakara-Malinyi-Songea ikifunguka Mji utakimbia kasi zaidi
 
Sengerema kwa maendeleo ya watu iko vizuri ndio maana mpaka sasa ina halmashauri mbili, Misungwi huijui vizuri
Sengerema gani unayoisemea? Yaani Wilaya Ina watu zaidi ya Laki 6 lakini Mapato haifiki hata Bilioni 3? Hayo ndio Maendeleo? 😂😂😂

Misungwi ipi sijui wakati nimeishi pale miaka 2 na Kila mwaka naenda? Misungwi imeungana na Mwanza ,harafu hata Daraja la Kigongo-Busisi linaunganisha Misungwi na Sengerema bushi.

Usagara Iko misungwi pia.Kwa taarifa yakonimefika Hadi kakola Kupitia Ile Barabara ya Mwanangwa-Misasi Hadi Kahama.
 
😂😂😂😂 Kumbe umepita barabarani, ukitoa tarafa ya usagara ambayo soon inaweza hamishiwa mwanza jiji Misungwi inabaki na nini 😂 😂?

Sengerema ulifika hadi Buchosa? Wilaya ya Misungwi na wilaya ya Sengerema nazijua kama kijanja changu zote nimetembelea hadi vijini ndani ndani huko 😂 wewe si ulipita barabarani 🤔
Misungwi nimefika kuanzia Sumve huko, fela, mwagala buhingo, misasi , mwawile mpaka ilijamate hadi walipotelea maji ya ziwa Victoria kwenda Dodoma
Sengerema nayo nimefika kuanzia Ngoma huko,sogoso, Nyehunge, Nyakarilo mpaka butalanda nazijua vizuri

Rank ya maendeleo kwa wilaya za Mwanza, Misungwi lazima itakuwa kwenye top three ya least developed districts ambazo ni Ukerewe, kwimba na Misungwi na Magu hizi ziko kundi moja.
Ukiacha Ilemela na Nyamagana Sengerema inafata kwa Maendeleo na uchangiaji wa pato la mkoa
 
Kumbe unafahamu kwamba huo Mkoa wenu maendeleo yapo hapo mjini tuu Wilaya zingine zote ni hovyo kabisa 😆😆

Sifa hizo za hovyo ziko Mwanza,Dodoma,Arusha na Tanga.

Hakuna upuuzi kama huo Mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini ndio maana tunaongoza kwenye per Capita income maana Kila Wilaya Ina maendeleo tofauti na huko kwenu kulikojaa vijumba vya tembe.

Mwisho Usagara haihamishwi ndio inategemewa kimapato na Misungwi na pale Hungumalwa
 
Back
Top Bottom