Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Haya na kwenye thread hii Ni battle kati ya KAHAMA vs _____?Soma hapo juu mbona inajieleza kuwa Kanda za uwekezaji
Haya na kwenye thread hii Ni battle kati ya KAHAMA vs _____?Soma hapo juu mbona inajieleza kuwa Kanda za uwekezaji
#TAKWIMU: Kwa mujibu wa Takwimu za Sensa ya Watu na Makazi 2022 mkoa wa Njombe na Kilimanjaro inaongoza kwa kuwa na Makazi bora nchini kutokana na kuwa na idadi kubwa ya nyumba zilizo ezekwa kwa Bati.Haya na kwenye thread hii Ni battle kati ya KAHAMA vs _____?
Afuadhali Kilimanjaro ina majengo laki 6, sasa Njombe yenye majengo laki 2 si bora ukae kimya tu, 😂 😂 😂 😂 😂#TAKWIMU: Kwa mujibu wa Takwimu za Sensa ya Watu na Makazi 2022 mkoa wa Njombe na Kilimanjaro inaongoza kwa kuwa na Makazi bora nchini kutokana na kuwa na idadi kubwa ya nyumba zilizo ezekwa kwa Bati.
Katika Takwimu hizo Asilimia 91.2 (%) ya nyumba zimeezekwa kwa Bati sawa na mkoa wa Kilimanjaro ikifuatiwa na Mkoa wa Dar Es Salaam 89.3%, Kagera 89.3%, na Iringa 84.3%.
Mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi ndogo ya nyumba zilizoezekwa kwa Bati nchini ni Tabora 55.6%, Lindi 60.2, Mtwara 66.8, Rukwa 68.9% na Katavi 72.0%.
Unadhani nini kinachangia Njombe kufanya vizuri kati ubora wa Makazi?
#jisikiemfalme #njombe #kingsfmradio #2025imenogailembaya #tanzaniaView attachment 3392963
Halafu kwenye hoja yako usiseme kuwa Njombe na Kilimanjaro zinaongoza kwa kuwa na IDADI KUBWA ya nyumba bora,#TAKWIMU: Kwa mujibu wa Takwimu za Sensa ya Watu na Makazi 2022 mkoa wa Njombe na Kilimanjaro inaongoza kwa kuwa na Makazi bora nchini kutokana na kuwa na idadi kubwa ya nyumba zilizo ezekwa kwa Bati.
Katika Takwimu hizo Asilimia 91.2 (%) ya nyumba zimeezekwa kwa Bati sawa na mkoa wa Kilimanjaro ikifuatiwa na Mkoa wa Dar Es Salaam 89.3%, Kagera 89.3%, na Iringa 84.3%.
Mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi ndogo ya nyumba zilizoezekwa kwa Bati nchini ni Tabora 55.6%, Lindi 60.2, Mtwara 66.8, Rukwa 68.9% na Katavi 72.0%.
Unadhani nini kinachangia Njombe kufanya vizuri kati ubora wa Makazi?
#jisikiemfalme #njombe #kingsfmradio #2025imenogailembaya #tanzaniaView attachment 3392963
Halafu kwenye hoja yako usiseme kuwa Njombe na Kilimanjaro zinaongoza kwa kuwa na IDADI KUBWA ya nyumba bora,
Sio idadi kubwa bali ni ASILIMIA KUBWA ya nyumba zimeezekwa kwa Bati
Njombe ina nyumba laki 2 tu na sabini, hakifikii hata nusu ya Geita
We jamaa njombe itakusumbua sana huku watu wanapesa mzee hawategemei kwenye migodi ya wazungu kichwa kimejieleza unaanza kuongea idadi ya makazi inahusiana niniHalafu kwenye hoja yako usiseme kuwa Njombe na Kilimanjaro zinaongoza kwa kuwa na IDADI KUBWA ya nyumba bora,
Sio idadi kubwa bali ni ASILIMIA KUBWA ya nyumba zimeezekwa kwa Bati
Njombe ina nyumba laki 2 tu na sabini, hakifikii hata nusu ya Geita
Wewe tatizo lako ni uelewa mdogo na uwezo wako wa kuchambua data pia ni mdogoWe jamaa njombe itakusumbua sana huku watu wanapesa mzee hawategemei kwenye migodi ya wazungu kichwa kimejieleza unaanza kuongea idadi ya makazi inahusiana nini
Mkoa wa Geita unauzidi mkoa wa Njombe kwa kila kituWe jamaa njombe itakusumbua sana huku watu wanapesa mzee hawategemei kwenye migodi ya wazungu kichwa kimejieleza unaanza kuongea idadi ya makazi inahusiana nini
Mkoa wa Geita unauzidi mkoa wa Njombe kwa kila kitu
1. Wingi wa matajiri na
2. Wingi wa maskini
Kama ulishindwa kupata hata D mbili shuleni huwezi kuelewa
Acha kupotosha uma Nan hazijui hizo data Kama mkoa WAKO upo nyuma elimisheni hao wafugaji wajenge nyumba Bora maana naokuona unavohangaika kuwatetea unajiona ndo mchambuzi wa data jitahidi sensa nyingine NI 2032Wewe tatizo lako ni uelewa mdogo na uwezo wako wa kuchambua data pia ni mdogo
Takwimu ni za majengo, na Mkoa wa Njombe ni miongoni mwa mikoa yenye idadi ndogo zaidi ya majengo ikiwa na majengo laki 2 na elf70 . Makazi bora yanahesabika yale yaliyoezekwa kwa bati na kuta za block au choma,
Kwa namna yoyote ile Ukilinganisha mkoa wa Geita na Njombe iko 👇👇
1. Mkoa wa Geita unakuwa na idadi kubwa ya nyumba bora ikiwa 8% ya 620000=51000 ni nyumba za nyasi na nyumba Zaidi ya 560, 000 ambayo ni 82.9% zimeezekwa kwa Bati idadi ambayo ni zaidi ya mara mbili ya nyumba zote za mkoa wa Njombe
Kwa mkoa wa Njombe nyumba zilizoezekwa kwa bati idadi yake ukitoa nyumba za nyasi ambayo ni 3.4% ya 270000=9000, ko nyumba zilizoezekwa kwa bati tutabaki na idadi ya laki mbili na 60 idadi ambayo haifiki hata nusu ya idadi ya nyumba za mkoa Geita zilizoezekwa kwa bati
Lakini ukiangalia asilimia sasa ya majengo kwa kila mkoa Njombe inakuwa na asilimia kubwa ya nyumba bora ambayo ni 91.2% ya 270000+
Jifunze kudadafua data upanue uelewa wako au hesabu ilikupiga chenga 😂😂😂😂
Humu sio Facebook
Maskini tu huko moja ya indicator ya Maisha Bora NI makaziMkoa wa Geita unauzidi mkoa wa Njombe kwa kila kitu
1. Wingi wa matajiri na
2. Wingi wa maskini
Kama ulishindwa kupata hata D mbili shuleni huwezi kuelewa
Mji wa VIWANDA na biashara wanaendelea kutangaza fursa 👇👇👇Mkoa wa Geita unauzidi mkoa wa Njombe kwa kila kitu
1. Wingi wa matajiri na
2. Wingi wa maskini
Kama ulishindwa kupata hata D mbili shuleni huwezi kuelewa
Geita inaizidi Hadi Shy Sasa unashangaa nini?Mkoa wa Geita unauzidi mkoa wa Njombe kwa kila kitu
1. Wingi wa matajiri na
2. Wingi wa maskini
Kama ulishindwa kupata hata D mbili shuleni huwezi kuelewa