Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyie watu ni wakuhurumiwa sanaπŸ€”πŸ€”πŸ€” yaani VUMBI+KUTU ni jadi yenu yaani nyinyi kuwa na Miji inayovutia msahau mtaendelea kuskia kanda zingine
Both Governments have now approved the framework of the TAZARA concession agreement, paving the way for the signing in due course, President Hakainde Hichilema of Zambia has said. Watch the video clip below.
#TAZARAReborn #RegionalRail #ZambiaTanzaniaPartnership #Hichilema #SamiaSuluhu #AfricaOnTheMove

Serikali zote mbili sasa zimeidhinisha mfumo wa mkataba wa uendeshaji wa TAZARA, hatua inayofungua njia ya kusainiwa kwake hivi karibuni, amesema Rais Hakainde Hichilema wa Zambia. Tazama video hapo chini.
#TAZARAKurudi #ReliYaMaendeleo #UshirikianoWaKikanda #Hichilema #SamiaSuluhu #AfrikaInasongaMbele
 
FB_IMG_17531201726547071~2.jpg
 
Ona hili gulio lilivyo la hovyo Hadi aibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/2aLc1uDuYp0?feature=shared

Sasa hapo aibu ni ya nani zaidi ya serikaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani wanajali kukusanya tu mapato swala la kurekebisha miundombinu kwa wakati huo muda hawana,

Na video hii inaonyesha mradi wa TACTIC unaendelea barabara zinarekebishwa ko kaa kwa kutulia
 
Sasa hapo aibu ni ya nani zaidi ya serikaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani wanajali kukusanya tu mapato swala la kurekebisha miundombinu kwa wakati huo muda hawana,

Na video hii inaonyesha mradi wa TACTIC unaendelea barabara zinarekebishwa ko kaa kwa kutulia
Ya kwenu nyie ,mabumbi na mashimo Kila sehemu 😁😁
 
Haiwezi kufika hata robo ya vumbi la Njombe na Makambako, yaani huko mmekubuhu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—πŸ€—
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe.Juma Sweda ,Julai 24,2025 amempokea rasmi mkandarasi kampuni ya China National Aero Technology International Engineering Corporation,atakatekeleza ujenzi wa barabara za lami chini ya Mradi wa TACTICS awamu ya pili katika Halmashauri ya Mji Njombe.

Serikali kupitia mradi wa TACTICS awamu ya pili itatumia Shilingi Bilioni 20.7 kujenga barabara za lami zenye urefu wa KM 8.4 katika Halmashauri ya Mji Njombe. Mkandarasi amekabidhiwa rasmi maeneo ya ujenzi Julai 23, 2025 kuanza kazi, ikiwemo ujenzi wa ofisi ya mradi, madaraja na taa za barabarani.

Barabara zitakazojengwa ni barabara ya :

β€’ NBC-Kibena (KM 2.84)
β€’ Chaugingi–Nzengerendete (KM 1.57)
β€’ Nzengerendete–Masaki (KM 1.43)
β€’ Magereza–Matalawe (KM 1.12)
β€’ Mpechi–Melinze (KM 1.3)

Mhe.Sweda ametoa wito kwa mkandarasi huyo kuzingatia ubora, muda na thamani ya fedha, huku akisisitiza ushirikiano kati ya mkandarasi, wataalam wa TARURA na Halmashauri na wananchi.

Muda wa utekelezaji wa mradi huo ni wa miezi 15 hivyo utakamilika Oktoba 2026 na unatarajiwa kutoa ajira na kuinua uchumi wa wakazi wa Njombe.

#Kaziiendelee
#kazinaututunasongambele
#maendeleokwawote

@ortamisemi
@mohamed_mchengerwa
@anthony_mtaka
@samia_suluhu_hassan
@njombe_rs
@gersonmsigwa
@maelezonews
@ikulu_mawasiliano
@hope_sadick
@sirmedda
@ms_mhaiki
 
Sasa hapo aibu ni ya nani zaidi ya serikaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani wanajali kukusanya tu mapato swala la kurekebisha miundombinu kwa wakati huo muda hawana,

Na video hii inaonyesha mradi wa TACTIC unaendelea barabara zinarekebishwa ko kaa kwa kutulia
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, amefanya ziara ya kikazi tarehe 23 Julai 2025 kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Tanzania - Zambia (TAZA) katika Mkoa wa Iringa na Njombe maneo ya ujenzi wa njia ya umeme na vituo vya kupoza umeme vya Tagamenda na Kisada.

Katika ziara hiyo, Bw. Twange alitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi kuhakikisha ujenzi wa njia za kusafirisha umeme pamoja na vituo vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme unakamilika kwa wakati kama ilivyoainishwa kwenye mikataba, huku akisisitiza kuwa usimamizi thabiti ni muhimu ili kuleta tija na kuhakikisha wananchi wananufaika kwa wakati.

β€œSimamieni wakandarasi vizuri katika kutekeleza ujenzi wa miradi hii. Msisimamie kwa mazoea, bali kwa weledi na kasi ili tija ya miradi hii ionekane na wananchi wapate huduma kwa wakati,” alisisitiza Bw. Twange.

Aidha, alitumia fursa hiyo kuwapongeza wasimamizi kwa juhudi zinazofanyika hadi sasa licha ya changamoto zinazojitokeza katika usimamizi wa miradi mikubwa, aliwataka kuendelea kutumia kipindi hiki kisicho na mvua kufanya kazi kwa kasi ili mradi ukamilike kwa ufanisi kama ilivyopangwa na Serikali.

Katika ziara hiyo, Bw. Twange pia alitembelea miradi ya upanuzi wa vituo vya kupokea na kusambaza umeme katika Kituo cha Cotex (Iringa) na Kituo cha Makambako (Njombe), ambavyo tayari vimekamilika kwa kiasi kikubwa na kuanza kutoa huduma kwa wateja.

Alieleza kuwa hali ya umeme katika mikoa hiyo sasa imeboreshwa kwa kiwango kikubwa, huku miundombinu ikiwa na uwezo mkubwa wa kuhudumia mahitaji ya sasa na ya baadaye.

β€œNimefurahishwa na utekelezaji wa miradi hii ya vituo vya kupoza umeme katika mikoa ya Iringa na Njombe. Kwa sasa tuna uwezo mkubwa wa kuhudumia wateja wengi zaidi kuliko hapo awali,” alieleza Bw. Twange.

Akihitimisha ziara hiyo ya siku mbili, Bw. Twange alionesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa Mradi wa TAZA, ambapo hadi sasa ujenzi wa njia za kusafirisha umeme umefikia zaidi ya asilimia 60, na ujenzi wa vituo vya kupoza umeme upo kwenye asilimia 31. Alisisitiza dhamira ya TANESCO kuendelea kusimamia miradi kwa ufanisi ili kutimiza malengo ya kitaifa ya upatikanaji wa umeme wa uhakika.
 
Back
Top Bottom