Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Umehamia Makambako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Njombe vipi?

Tumalize mmoja mmoja kwanza, mnachanganya watu hawaelewi ni Kahama inashindana na Njombe au mkoa mzima wa Njombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—πŸ€—

Huoni mnaaibika kwanza yaani wilaya inashindana na Mkoa mzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu bado hamna cha kuishinda πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Tayar za kichwa umeshaanza kuhamisha magoli tulikuwa tuna kupa maana halisi ya VIWANDA vikubwa vilivyojengwa na vinavyo jengwa mji wa VIWANDA na biashara makambako
 
Umehamia Makambako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Njombe vipi?

Tumalize mmoja mmoja kwanza, mnachanganya watu hawaelewi ni Kahama inashindana na Njombe au mkoa mzima wa Njombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€—πŸ€—

Huoni mnaaibika kwanza yaani wilaya inashindana na Mkoa mzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu bado hamna cha kuishinda πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
WAWEKEZAJI KILA SIKU WANAINGIA ENEO HILIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
MWEKEZAJI NEIL GOODTILLERE WA BROWNS PLANTATION AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA NJOMBE

Njombe, Juni 24, 2025 β€” Mwekezaji kutoka kampuni ya Browns Plantation ya Mufindi, Bw. Neil Goodtillere, amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka, katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa lengo la kujadili fursa za uwekezaji katika mkoa wa njombe.

Katika mazungumzo yao, viongozi hao walijadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya kiuchumi kwa Mkoa wa Njombe, huku kipaumbele kikubwa kikiwa ni uwekezaji katika sekta ya kilimo, hasa kilimo cha chai ambacho ni moja ya mazao ya kimkakati yanayolimwa kwa wingi katika mkoni njombe.

Mhe. Mtaka alimkaribisha rasmi Bw. Goodtillere kuendelea kushirikiana na serikali ya mkoa katika kukuza uchumi wa wananchi kupitia miradi ya kilimo cha chai na kuongeza thamani ya mazao, huku akisisitiza mazingira mazuri ya uwekezaji yanayopatikana Njombe. we
 
List ya vitu vinavyotengezwa Kahama
1. Vipuli vya viwandani na migodini
2. Viti na meza za plastic
3. PVC
4. Mafuta ya kula (alzet na pamba)
5. Nyuzi za pamba
6. Steel (nondo)
7. Bati
8. Kusafisha dhahabu ( kiwanda kilishakamilika kitambo sana)
9. HDPE
10. Jelly can
etc
Sasa nyie kiwanda cha parachichi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ na kelele nyingi acheni ushamba, Miji yenu yenyewe ni vituko tu lakini mlivojaa sifa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unazani Kahama wawekezaji hawaingii πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„
 
Nikuulize swali kwanza ili nijue namna ya kukujibu maana nilishakuona ziko fyatu πŸ€”πŸ€—πŸ€—

HII NI BATTLE KATI YA KAHAMA MANISPAA NA MJI UPI? MAKAMBAKO AU NJOMBE, AU ZOTE MAKAMBAKO NA NJOMBE KWA PAMOJA NDIO ZINASHINDANISHWA NA KAHAMA?

JIBU KWANZA HAPO πŸ–•
 
Leta hapa tuwaone TIC SI WAJINGA KUANZISHA KANDA MPYA HII YA NYASA KWENYE UWEKEZAJI HILI ENEO LIPO MOTO NA KWA KANDA YA ZIWA MKOA UNAOKUJA MOTO NI GEITA MZEE
IMG-20250326-WA0028.jpg
 
Nikuulize swali kwanza ili nijue namna ya kukujibu maana nilishakuona ziko fyatu πŸ€”πŸ€—πŸ€—

HII NI BATTLE KATI YA KAHAMA MANISPAA NA MJI UPI? MAKAMBAKO AU NJOMBE, AU ZOTE MAKAMBAKO NA NJOMBE KWA PAMOJA NDIO ZINASHINDANISHWA NA KAHAMA?

JIBU KWANZA HAPO πŸ–•
Kahama huko kwa sasa ongeaga idadi ya watu ila mambo mengine tayar imeshapigwa
 
List ya vitu vinavyotengezwa Kahama
1. Vipuli vya viwandani na migodini
2. Viti na meza za plastic
3. PVC
4. Mafuta ya kula (alzet na pamba)
5. Nyuzi za pamba
6. Steel (nondo)
7. Bati
8. Kusafisha dhahabu ( kiwanda kilishakamilika kitambo sana)
9. HDPE
10. Jelly can
etc
Sasa nyie kiwanda cha parachichi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ na kelele nyingi acheni ushamba, Miji yenu yenyewe ni vituko tu lakini mlivojaa sifa πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha we jamaa kwa Sasa kahama viwanda bado labda wasubiri mradi wa buzwagi industrial Park ambapo kwa makambako NI industrial park ya kampuni moja tu Yan in short huwezi linganishaga na eneo la mji wa VIWANDA na biashara ambalo limetengwa na mkoa wa njombe
 
List ya vitu vinavyotengezwa Kahama
1. Vipuli vya viwandani na migodini
2. Viti na meza za plastic
3. PVC
4. Mafuta ya kula (alzet na pamba)
5. Nyuzi za pamba
6. Steel (nondo)
7. Bati
8. Kusafisha dhahabu ( kiwanda kilishakamilika kitambo sana)
9. HDPE
10. Jelly can
etc
Sasa nyie kiwanda cha parachichi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ na kelele nyingi acheni ushamba, Miji yenu yenyewe ni vituko tu lakini mlivojaa sifa πŸ˜‚πŸ˜‚
Yan kwa list yako hiyo ambavyo havipo makambako NI Cha pamba na kusafisha madini ila vingine vipo na zaidi Kama industrial Park moja Ina zaidi ya VIWANDA 50
 
Kahama huko kwa sasa ongeaga idadi ya watu ila mambo mengine tayar imeshapigwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ JIBU SWALI KWANZA NIMEKUULIZA KWA HERUFI KUBWA

JE, HAPA KAHAMA INASHINDANA NA NANI?
1. INASHINDANA NA NJOMBE MJI
2. NJOMBE MJI + MAKAMBAKO MJI
3. MKOA WA NJOMBE?
 
Hii ni mada ya Kanda ya Ziwa vs Nyanda za Juu Kusini,ndio maana Kuna habari za kina Katoro,Shy,Geita,Kahama,Mwanza,Mbeya,Bukoba , Sumbawanga,Tunduma etc.
 
Makambako STEEL INDUSTRIAL PARK tayar wanaenda kulipa FIDIA ya chuma maganga matitu kazi ya kuzalisha chuma inaanzaπŸ§ŸπŸ§ŸπŸ‘‡πŸ‘‡
FB_IMG_17514624950013476.jpg
 
Hii ni mada ya Kanda ya Ziwa vs Nyanda za Juu Kusini,ndio maana Kuna habari za kina Katoro,Shy,Geita,Kahama,Mwanza,Mbeya,Bukoba , Sumbawanga,Tunduma etc.
Kumbe sio tu Kahama vs Njombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana mnakuwa hamueleweki tinapokuwa tunalinganisha Kahama vs Njombe mnaleta Msaidizi makambako πŸ˜‚πŸ˜‚ mwishowe tusijue nani kazidiwa na Kahama au nani kamzidi KahamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Be specific sasa Kahama vs who?
Halafu Njombe sio nyanda za juu kusini ni kanda ya Nyasa
 
Makambako STEEL INDUSTRIAL PARK tayar wanaenda kulipa FIDIA ya chuma maganga matitu kazi ya kuzalisha chuma inaanzaπŸ§ŸπŸ§ŸπŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3391420
Unakimbia swali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au nikurahisishie
Kahama vs_______
Jaza hapo

Yaani hapa hujawahi toboa kwa sababu Njombe mji cannot stand alone and win a battle with Kahama, and Makambako bado ni kituko ina ghorofa zile tano kwisha
 
Acha kuweweseka gorofa makambako zipo za kutosha umesha banwa kila Kona naona unahamisha tu magoli tulikwambia kahama iongee kwenye idadi ya watu si vinginevyo
 
Kumbe sio tu Kahama vs Njombe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana mnakuwa hamueleweki tinapokuwa tunalinganisha Kahama vs Njombe mnaleta Msaidizi makambako πŸ˜‚πŸ˜‚ mwishowe tusijue nani kazidiwa na Kahama au nani kamzidi KahamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Be specific sasa Kahama vs who?
Halafu Njombe sio nyanda za juu kusini ni kanda ya Nyasa
Kanda ya nyasa kiuwekezaji mzee
FB_IMG_17435654583101710.jpg
 
Acha kuweweseka gorofa makambako zipo za kutosha umesha banwa kila Kona naona unahamisha tu magoli tulikwambia kahama iongee kwenye idadi ya watu si vinginevyo
Wewe ndo unaweweseka na kutoka kwenye reli. Ndio maana swali langu huwezi kulijibu umejaa mawenge tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

KAHAMA vs_____?
ukijibu hapo tunaendeleza battle
 
Back
Top Bottom