Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Mbona Njombe hujaiweka hapo ππ? Na KAHAMA manispaa uitoe haiko level ya vijiji vikubwa hivyoMiji ya hivi ndio Mimi napenda kuishi.Huko kwenye magulio kama Kahama,Tunduma,Makambako,Katoro nk hapana
Njombe sio gulio,ni Mji mtulivuMbona Njombe hujaiweka hapo ππ? Na KAHAMA manispaa uitoe haiko level ya vijiji vikubwa hivyo
Kuna chuma kingine kiko hapo kimetulia kama mambele tu π π unatuletea ghorofa zingine zenye mapembe hapa kama china hiyo ni failure kwenye ubunifu ππHapa ndio umeandika pumba gani?
Njombe haijaizidi Shinyanga ila sio gulio la Kahama ππππView attachment 3385814View attachment 3385815View attachment 3385816View attachment 3385817View attachment 3385818View attachment 3385819View attachment 3385820View attachment 3385821View attachment 3385822View attachment 3385823
Kahama ishaanza kutoka kwenye fujo kitambo tu kuna adabu saivi ππNjombe sio gulio,ni Mji mtulivu
Na kuna dude lingine lenye miwani hapoHamna kitu upuuzi tuu.
Hapa kanaingia mara ngapi kwenye hili Jumba hapa π π View attachment 3385830View attachment 3385831
Ushamba utawatoka tu ningali nipo, kuna siku mmepiga kelele humu mji wa viwanda π€ππ yaani kelele kibao bila kujua huo ni ushamba ulikuwa unawasumbua π’Ko ndo utambue NI maeneo muhimu USHAMBA unao wewe ulianza kutuletea km zilizo jengeka kahama ndo maana tukaamua tukutoe USHAMBA kuwa Hilo Jambo saiz NI la kawada miji mingi Ina hayo mambao
Hahahahahahahaa acha basi. Usije sema nimetomba moto1. Kuanzia ukubwa wa mji. Kahama ina majengo 87 920, Njombe ina majengo 51 555, sensa 2022
Kwa kifupi ili upate ukubwa wa mji wa Kahama inabidi uchukue Njombe+Makambako= 51 555+ 37 865=89 420
2. Kahama ni Manispaa wakati Njombe bado ni Mji. Hii pekee inatosha kukujuza ni nani mkubwa hapo
Na vingine vingi tu isipokuwa UKIMWI maana hapo automatically Njombe inaongoza π€πππ
Yaani Njombe pekee haiwezi pambana na Kahama mpaka usaidizi wa Makambako πππ nimeipenda hiyo
Hapo kwenye Kasi ya ukuaji wa mji umefeli,ππππNmefika Kahama na Njombe , Kahama pana mzunguko mzuri wa pesa huenda sw na Njombe ila Njombe ni mji unaokua kwa kasi sn hasa kwa kutegemea vyanzo vichache sana vya pesa ila Kahama wana kila kitu ila bado hawafikii kasi ya ukuaji wa Njombe
Ukitaka kula bata nenda Kahama ila ukitaka pesa inategemeana unafanya nin
Mji wa VIWANDA NJOMBE una zaidi ya zone tano za VIWANDA vya bidhaa mbalimbali ko hilo swala kaa kimya njombe rasilimali NI nyingi mno VIWANDA vitazidi kufurikaUshamba utawatoka tu ningali nipo, kuna siku mmepiga kelele humu mji wa viwanda π€ππ yaani kelele kibao bila kujua huo ni ushamba ulikuwa unawasumbua π’
Mimi najua kila halmashauri ina hizo plan za viwanda, Kahama tangu 2017 walishaanza kitambo tu na hakuna kelele kwa sababu viwanda sio kitu kigeni vilikuwepo Shinyanga kitambo sana
Sasa Kahama pia walitenga eneo kubwa tu, in short hamna kitu chochote cha kutambia mbele ya Kahama View attachment 3386070
Kahama ina viwanda vinavyo milikiwa na KOM COMPANIES vya kuzalisha bidhaa za plastic, chuma,mabati na mabomba ya maji
Kuna kiwanda cha vipuli pia, viwanda vya pamba, plant za dhahabu etc
View attachment 3386077
Raw material ndio zina support uwingi wa VIWANDA mkoa wa njombe wameteua zone ya makambako ambayo imezungukwa na WILAYA zenye uzalishaji mkubwa wa raw material Kama mbarali dc,mlimba na kilombero ,mufindi , nk pia WILAYA za njombe zenyewe Kama ludewa na makete zina madini ya chuma ,shaba ,dhahabu , makaa ya mawe nk ya kutosha ndo maana hii zone wawekezaji wanazidi kujaa
Msikilize waziri wa VIWANDA anaongelea Nini kuhusiana na mji wa VIWANDA na biashara makambakohttps://www.instagram.com/reel/DGSuKaCNIOE/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==Ushamba utawatoka tu ningali nipo, kuna siku mmepiga kelele humu mji wa viwanda π€ππ yaani kelele kibao bila kujua huo ni ushamba ulikuwa unawasumbua π’
Mimi najua kila halmashauri ina hizo plan za viwanda, Kahama tangu 2017 walishaanza kitambo tu na hakuna kelele kwa sababu viwanda sio kitu kigeni vilikuwepo Shinyanga kitambo sana
Sasa Kahama pia walitenga eneo kubwa tu, in short hamna kitu chochote cha kutambia mbele ya Kahama View attachment 3386070
Kahama ina viwanda vinavyo milikiwa na KOM COMPANIES vya kuzalisha bidhaa za plastic, chuma,mabati na mabomba ya maji
Kuna kiwanda cha vipuli pia, viwanda vya pamba, plant za dhahabu etc
View attachment 3386077
Ushamba utawatoka tu ningali nipo, kuna siku mmepiga kelele humu mji wa viwanda π€ππ yaani kelele kibao bila kujua huo ni ushamba ulikuwa unawasumbua π’
Mimi najua kila halmashauri ina hizo plan za viwanda, Kahama tangu 2017 walishaanza kitambo tu na hakuna kelele kwa sababu viwanda sio kitu kigeni vilikuwepo Shinyanga kitambo sana
Sasa Kahama pia walitenga eneo kubwa tu, in short hamna kitu chochote cha kutambia mbele ya Kahama View attachment 3386070
Kahama ina viwanda vinavyo milikiwa na KOM COMPANIES vya kuzalisha bidhaa za plastic, chuma,mabati na mabomba ya maji
Kuna kiwanda cha vipuli pia, viwanda vya pamba, plant za dhahabu etc
View attachment 3386077
Vipo kwenye process tu ya kujengwa but makelele mengi ππ wenzenu Kahama tayari wanavyovingi tu na vinafanya kazi na hatusikii kelele ππRaw material ndio zina support uwingi wa VIWANDA mkoa wa njombe wameteua zone ya makambako ambayo imezungukwa na WILAYA zenye uzalishaji mkubwa wa raw material Kama mbarali dc,mlimba na kilombero ,mufindi , nk pia WILAYA za njombe zenyewe Kama ludewa na makete zina madini ya chuma ,shaba ,dhahabu , makaa ya mawe nk ya kutosha ndo maana hii zone wawekezaji wanazidi kujaa
Kuna viwanda vingapi vinafanya kazi hapo Njombe mji kwa sasa?π€ππMji wa VIWANDA NJOMBE una zaidi ya zone tano za VIWANDA vya bidhaa mbalimbali ko hilo swala kaa kimya njombe rasilimali NI nyingi mno VIWANDA vitazidi kufurika
Zone ya makambako zinajengwa kongani za VIWANDA soon tunakulete VIWANDA vya karatasi hii NI MSD industrial Park idofiUshamba utawatoka tu ningali nipo, kuna siku mmepiga kelele humu mji wa viwanda π€ππ yaani kelele kibao bila kujua huo ni ushamba ulikuwa unawasumbua π’
Mimi najua kila halmashauri ina hizo plan za viwanda, Kahama tangu 2017 walishaanza kitambo tu na hakuna kelele kwa sababu viwanda sio kitu kigeni vilikuwepo Shinyanga kitambo sana
Sasa Kahama pia walitenga eneo kubwa tu, in short hamna kitu chochote cha kutambia mbele ya Kahama View attachment 3386070
Kahama ina viwanda vinavyo milikiwa na KOM COMPANIES vya kuzalisha bidhaa za plastic, chuma,mabati na mabomba ya maji
Kuna kiwanda cha vipuli pia, viwanda vya pamba, plant za dhahabu etc
View attachment 3386077
Njombe Inazidiwa na Katoro kwa kipi?Mi nahisi Njombe inazidiwa na Katoro. Tehe teh teh teh teh teh
Hahahahahahahaa acha basi. Usije sema nimetomba moto
Njombe nako Kuna VIWANDA usijue kutenga mji wa VIWANDA makambako ndo njombe hakuna VIWANDA vipo Tena vikubwa tuKuna viwanda vingapi vinafanya kazi hapo Njombe mji kwa sasa?π€ππ
Ndio maana mwanzo nilikuambia Njombe mji alone haiwezi kushindana na Kahama hadi ushirikishe na Msaidizi makambako π π π πZone ya makambako zinajengwa kongani za VIWANDA soon tunakulete VIWANDA vya karatasi hii NI MSD industrial Park idofiView attachment 3386328