Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Tukikuambia ulete data za kueleweka unaanza kudanganya au wewe mkenya π€ππTupo toka ,2019
Kwa Tanzania hakuna Mji wowote unaoizidi ukubwa Dar es salaam, si Mwanza, Arusha wala Dodoma sasa mtu analeta Data Za Njombe mji ni kubwa kuzidi hadi Dar es salaam πππππ
Halafu eti ulikuwepo kwenye uzi tangu 2019 , mmedanganya sana watu humu naona katika propaganda zenu za kutaka kukweza hiyo miji yenu midogomidogo, hapa kwangu hamtoboi