Wanging'ombeSource of data please! Screen shot weka hapa
191,506 Population [2022] – Census
3,437 km² Area
55.72/km² Population Density [2022]
1.7% Annual Population Change [2012 → 2022
Wanging'ombeSource of data please! Screen shot weka hapa
Kwamba Njombe inaizidi hadi Dar?Njombe Town
182,127 Population [2022] – Census
3,536 km² Area
51.51/km² Population Density [2022]
Kaa kwa kutulia njombe dc hii hapa 👇👇👇Kwamba Njombe inaizidi hadi Dar?
Data zinaonyesha Njombe mji ni 3. 536km²
View attachment 3384845
Acha kudanganya kama wakenya
Ndo maana tunakwambia unavotaka kujifunza kitu NI vizur muda mwingine kutembelea unaweza dhani eneo lako limetanuka sana kumbe bado ndo maana tulikwambia makambako to njombe km 60 full makaz umetenganisha msitu wa tanwat tu na unapita halmashauri zote nne na bado unakuja makambako ilembula na makambako igwachanya ndo eneo kwa mkoa wa njombe lenye wakaz wengi na makaz yameungana WILAYA zilizo mbali NI makete na ludewa tuKwamba Njombe inaizidi hadi Dar?
Data zinaonyesha Njombe mji ni 3. 536km²
View attachment 3384845
Acha kudanganya kama wakenya
Uko nje ya Mada, weka ukubwa wa eneo ambalo limeunganishwa ukiwa unatoka Njombe to makambako lakini lipo ndani ya halmashauri ya Wanging'ombe ,Wanging'ombe
191,506 Population [2022] – Census
3,437 km² Area
55.72/km² Population Density [2022]
1.7% Annual Population Change [2012 → 2022
Kuna mtu ameomba data za vijiji hapaKaa kwa kutulia njombe dc hii hapa 👇👇👇
Njombe Rural
109,311 Population [2022] – Census
3,454 km² Area
31.65/km² Population Density [2022]
2.5% Annual Population Change [2012 →
Ukitoka njombe to makambako NI km 60 na unapita kwenye halmashauri zote nne na ulitaka ukubwa wa eneo tumesha kuonyesha wa kila halmashauri in short hiz halmashauri makaz yameungana kumbuka kabla mkoa wa njombe kutangazwa ilikuwa WILAYA moja ilitwa njombe wakiwa hawajatengana na iringaU
Uko nje ya Mada, weka ukubwa wa eneo ambalo limeunganishwa ukiwa unatoka Njombe to makambako lakini lipo ndani ya halmashauri ya Wanging'ombe ,
Hayo maeneo ya njiani chukua km² zilizomjengwa maana ni makazi yaliyofuata barabara upana haizidi hata mita 200 ,in short ukitafuta square kilometer haziwezi kuvuka 30km² average, tunatarajia eneo kuwa litapatikana Njombe mjini na Makambako mjiniUkitoka njombe to makambako NI km 60 na unapita kwenye halmashauri zote nne na ulitaka ukubwa wa eneo tumesha kuonyesha wa kila halmashauri in short hiz halmashauri makaz yameungana kumbuka kabla mkoa wa njombe kutangazwa ilikuwa WILAYA moja ilitwa njombe wakiwa hawajatengana na iringaView attachment 3384880
Tumesha kwambia hili eneo halijajengwa kwa linear Kama unavofikilia wewe ndo maana tumekupa na Raman we Cha kufanya jumlisha makazi ya halmashauri zote nne ndo utapata pichaHayo maeneo ya njiani chukua km² zilizomjengwa maana ni makazi yaliyofuata barabara upana haizidi hata mita 200 ,in short ukitafuta square kilometer haziwezi kuvuka 30km² average, tunatarajia eneo kuwa litapatikana Njombe mjini na Makambako mjini
Hesabu unafeli wapi sijui
Wewe unajielewa kweli!🤔Tumesha kwambia hili eneo halijajengwa kwa linear Kama unavofikilia wewe ndo maana tumekupa na Raman we Cha kufanya jumlisha makazi ya halmashauri zote nne ndo utapata picha
Safisha macho kwanza 💥 👇 Kahama hizi ni picha Current kabisaTumesha kwambia hili eneo halijajengwa kwa linear Kama unavofikilia wewe ndo maana tumekupa na Raman we Cha kufanya jumlisha makazi ya halmashauri zote nne ndo utapata pichaView attachment 3384891View attachment 3384892
Hizo picha zilisha wekwa miaka mingi na wakalala mbele wenzio baada ya kuishiwa project naona na we unaturudisha huko angalia uzi ulianza liniSafisha macho kwanza 💥 👇 Kahama hizi ni picha Current kabisa
View attachment 3384932View attachment 3384933View attachment 3384934View attachment 3384944View attachment 3384944View attachment 3384945View attachment 3384948View attachment 3384956
Walilala mbele wao sio mimi, hapa wewe ndio Italia mbeleHi
Hizo picha zilisha wekwa miaka mingi na wakalala mbele wenzio baada ya kuishiwa project naona na we unaturudisha huko angalia uzi ulianza lini
Yan we jamaa Yan hapo ndo unaona umeweza hesabu kumbuka hicho kipande Cha picha NI kaeneo ka Kijiji Cha ilunda kilichopo kata ya mtwango na hili eneo Lina kata 58 na Kuna barabara nyingi za KUTOKA sehemu moja kwenda nyingine ko uwe unaelewa ndo maana tulikwambia hili eneo NI flat land kilicho tenganisha NI msitu wa tanwat tu na njombe tc ila ukiwa makambako imeungana na njombe dc na wangingombe dc na Kuna barabara za kutosha zinazo link hii ya njombe makambako tulikupa mfano tu saiz Kuna lami ya mtwango itulahumba , igwachanya Hadi ilembula inaunganisha na Mbeya road afu bado Kuna mtwango kichiwa , igongolo , mahongole Hadi nyigo inaunganisha na iringa road hii imesha ombewa lami ,bado ya nyigo ,saja,uhenga ,Hadi ilembula inaunga na Mbeya road hizi zote zipo kwenye hatua ya kuwekewa lami na hii ni ring road ilisha planiwa toka miaka ya nyuma iri gari za mizigo zipite huko Kuna ramadhani njombe tc ,igwachanya Hadi iyai hii nayo lami inaendelea kumbuka mara ya Kwanza tulikuonyesha mfano wa barabara moja tu ndo maana tukakupa na historia kua ilikuwa WILAYA moja ndo maana makaz yamekutana na njia za KUTOKA eneo moja kwenda jingine NI nyingi NI chaguo lako tuWewe unajielewa kweli!🤔
Mfano picha hii uliyopost 👇 upana wa haya makazi ni mita ngapi?
View attachment 3384893
Assume pako hivi kutoka Njombe hadi Makambako, sasa tafuta square kilometer, urefu ni 60km kama ulivyosema, upana ni tuweke 500m (0.5km) yaani mita 250 kulia na 250 kushoto
Total area= urefu ×upana
= 60km×0.5km
= 30km²
Baada ya hapo jumlisha eneo la mji wa Makambako na eneo la mji wa Njombe
Wenye akili za kuelewa watakuwa wamenipata
Tupo toka ,2019Walilala mbele wao sio mimi, hapa wewe ndio Italia mbele
Mbona unatapatapa sana na maelezo yako yasiyo eleweka 🤔😂!Yan we jamaa Yan hapo ndo unaona umeweza hesabu kumbuka hicho kipande Cha picha NI kaeneo ka Kijiji Cha ilunda kilichopo kata ya mtwango na hili eneo Lina kata 58 na Kuna barabara nyingi za KUTOKA sehemu moja kwenda nyingine ko uwe unaelewa ndo maana tulikwambia hili eneo NI flat land kilicho tenganisha NI msitu wa tanwat tu na njombe tc ila ukiwa makambako imeungana na njombe dc na wangingombe dc na Kuna barabara za kutosha zinazo link hii ya njombe makambako tulikupa mfano tu saiz Kuna lami ya mtwango itulahumba , igwachanya Hadi ilembula inaunganisha na Mbeya road afu bado Kuna mtwango kichiwa , igongolo , mahongole Hadi nyigo inaunganisha na iringa road hii imesha ombewa lami ,bado ya nyigo ,saja,uhenga ,Hadi ilembula inaunga na Mbeya road hizi zote zipo kwenye hatua ya kuwekewa lami na hii ni ring road ilisha planiwa toka miaka ya nyuma iri gari za mizigo zipite huko Kuna ramadhani njombe tc ,igwachanya Hadi iyai hii nayo lami inaendelea kumbuka mara ya Kwanza tulikuonyesha mfano wa barabara moja tu ndo maana tukakupa na historia kua ilikuwa WILAYA moja ndo maana makaz yamekutana na njia za KUTOKA eneo moja kwenda jingine NI nyingi NI chaguo lako tu View attachment 3385221View attachment 3385222View attachment 3385223
Shida huna evidence zimazoeleweka, huku evidence nyingi za kitaifa zinaonyesha Kahama iko mbele sana huku Njombe mji haionekaniTupo toka ,2019