Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hahahahaha,kwamba kama hakuna nini? Mi nimeongea kiushabiki kwa nachokijua, wachambuzi wazuri wenye takwimu watasaidia hapa kueleza vigezo vya kuipaisha.
Mkoa wa kuigopa kwenye Uchumi huko Kanda ya Ziwa ni Geita ndio inakuja Kwa kasi na imeingia top 10 ya Mikoa yenye GDP kubwa,hakuna Cha Kahama na Shinyanga yake Wala nini.
 
Manispaa sababu ya Wingi wa watu kama kawaida ya wasukuma kuzaa kama simbilisi , nothing tangible.

Tuweke takwimu za magorofa hapa naona unataka kuanza kubisha 😂😂
Ni picha za zamani kidogo nazani miaka miwili nyuma au zaidi (<2023)
Kahama 👇
Screenshot_20250625-194116 (1).png
Screenshot_20250625-195233 (1).png
Screenshot_20250625-195418 (1).png
Screenshot_20250625-195951 (1).png
images (20).jpeg
images (21).jpeg
images (5).jpeg
images (7).jpeg
images (12).jpeg
 
Mji kujaa skwata za maskini sio ujanja Wala maendeleo ni ujinga na matokeo ya kuzaana hovyo..

Harafu Linier settlement patterns hiyo ni kawaida.

Njombe-Makambako ni 60km pande zote Zina makazi zinatenganishwa na msitu wa tanwat pekee.

Hata Mbeya ukianzia Igawilo Hadi Songwe Viwandani ni nyumba tupu ni stretch ya km takribani 55.

Ukija Songwe makazi yananzia Mizani Nkangamo Hadi Mpemba ni takribani km 40.

Songwe tena unaanzia Mlowo Hadi Old bwawa km 30 ni makazi tupu.

So hizo linier patterns settlement zisikuumize kichwa ziko nyingi sana hapa Tanzania.
Hawa jamaa hawatembei ndo shida mfano makambako to njombe km 60 road full makazi na umetenganisha msitu wa tanwat tu miji ina kutana pia Kuna makambako ilembula km 30 na makambako igwachanya km 45 via mtwango mfano hi ni road ya makambako to njombe full daladala 👇👇👇
FB_IMG_17508500590996898.jpg
FB_IMG_17434124378883905.jpg
hii NI makambako to ilembula full makazi na daladala za kutosha
FB_IMG_17495304875611832.jpg
 
Hawa jamaa hawatembei ndo shida mfano makambako to njombe km 60 road full makazi na umetenganisha msitu wa tanwat tu miji ina kutana pia Kuna makambako ilembula km 30 na makambako igwachanya km 45 via mtwango mfano hi ni road ya makambako to njombe full daladala 👇👇👇 View attachment 3383832View attachment 3383839hii NI makambako to ilembula full makazi na daladala za kutoshaView attachment 3383841

Wewe unaijua Kahama lakini 🤔?
Ukiwa unatoka mkoa wa Geita kwenda Kahama,ukivuka hifadhi ya Mkweni kuanzia wendele hadi Kahama ni makazi hadi kagongwa 41km hapo hiyo ni main road (East to West) hapo ni makazi tu
Kutoka Nyandekwa hadi Kahama mjini ni 14km , Kahama mjini hadi Igung'hwa ni 11km hiyo ni kusini hadi kaskazini mwa mji ( hapo ni 25km+)
Screenshot_20250626-062556.png

Kahama ime-extend pande zote kwa kilometers za kutosha
Unazani kuingia top ten ya Miji mikubwa Tanzania ni swala la kitoto?🖕
 
View attachment 3383906

Narudia Tena muwe mnatembea ndo utajua miji mingi inakua unakuja na vi km 14 sijui 41 wakati wenzenu tayar wana zaidi ya km 50 zinajengeka tu kahama ongea idadiya watu tutakuelewa ila si kwa ujenz
 
Sawa Kahama na Lake zone Kwa ujumla Kuna watu wengi lakini je Kuna maendeleo mengi?

Je Kuna ubora mzuri wa Maisha?

Jibu ni hapana.Mkoa unaokuja Kwa kasi ni Geita na natamani kujua ukiacha Dhahabu Kuna nini tena?

On top of that Kuna Tarime nasikia ina Hali nzuri ya hewa kama Mikoa yetu ya Highlands.

Kahama siwezi ishi huko ni gulioni ,kwanza imeshapungua umaarufu wake hakuna pesa sawa na Morogoro Mjini tuu.

Mwisho Nimekukataza kwamba achana na hoja ya Linier settlement pattern Haina maana Kwa sababu Kila sehemu Nchi hii kukopa hivyo.Mfano Kwa Arusha kutoka Usariver Hadi Kisongo,majani ya Chai au kule Kwa Geodovie NJ zaidi ya km 60 kote Kuna makazi je Arusha Ina watu wengi kuliko Dodoma City?
 
Aliyekudanganya kwamba saivi Kahama hakuna hela ni nani 🤔?
Kahama inalishwa na migodi ya dhahabu ya Mwime na Mwakitolyo, na kakola, kilimo cha mpunga, na ni mji wa kibiashara, pia kuna viwanda vingi sana ukiacha vinavyojishughulisha na dhahabu,
Mpaka sasa ukiacha Mwanza kwa lake zone hakuna mji wa kuishinda Kahama kwa upande wa pesa 😄🤗

Kwa upande wa Maghorofa sensa ya majengo 2022, Njombe ilikuwa inaizidi Kahama kwa idadi ya ghorofa 8 tu (Njombe 139, Kahama 131). Sasa unazani hii data ni valid mpaka sasa, kumbuka miaka ya 2022 kurudi nyuma ujenzi wa maghorofa Kahama haukua wa maana,
Hata huko nyanda za juu kusini data zinaonyesha Mbeya inaizidi Iringa mjini kwa idadi kubwa sana ya Maghorofa almost nusu nzima. Lakini sasa twende kwenye CBD Mbeya inakuwa kituko
 
Unalazimisha watu kutembea 🤔wewe umetembea?😂😂
Ungekuwa umetembea na hizi data ungezielewa haraka sana, Kahama ni Mji mkubwa mno
Screenshot_20250626-062556.png
 
Wewe unaijua Kahama lakini 🤔?
Ukiwa unatoka mkoa wa Geita kwenda Kahama,ukivuka hifadhi ya Mkweni kuanzia wendele hadi Kahama ni makazi hadi kagongwa 41km hapo hiyo ni main road (East to West) hapo ni makazi tu
Kutoka Nyandekwa hadi Kahama mjini ni 14km , Kahama mjini hadi Igung'hwa ni 11km hiyo ni kusini hadi kaskazini mwa mji ( hapo ni 25km+)
View attachment 3383906
Kahama ime-extend pande zote kwa kilometers za kutosha
Unazani kuingia top ten ya Miji mikubwa Tanzania ni swala la kitoto?🖕
Njombe inakuja kwa kasi hatari nilikuwepo kule 2015 nikicheki picha za sasa tofauti kubwa inaonekana haswaaa!
 
Sawa Kahama na Lake zone Kwa ujumla Kuna watu wengi lakini je Kuna maendeleo mengi?

Je Kuna ubora mzuri wa Maisha?

Jibu ni hapana.Mkoa unaokuja Kwa kasi ni Geita na natamani kujua ukiacha Dhahabu Kuna nini tena?

On top of that Kuna Tarime nasikia ina Hali nzuri ya hewa kama Mikoa yetu ya Highlands.

Kahama siwezi ishi huko ni gulioni ,kwanza imeshapungua umaarufu wake hakuna pesa sawa na Morogoro Mjini tuu.

Mwisho Nimekukataza kwamba achana na hoja ya Linier settlement pattern Haina maana Kwa sababu Kila sehemu Nchi hii kukopa hivyo.Mfano Kwa Arusha kutoka Usariver Hadi Kisongo,majani ya Chai au kule Kwa Geodovie NJ zaidi ya km 60 kote Kuna makazi je Arusha Ina watu wengi kuliko Dodoma City?
Ukiongelea mkoa kwa maendeleo mkoa wa Geita unauzidi mkoa wa shinyanga hilo halina ubishi, kwa sababu kwa upande wa Mkoa wa shinyanga sehemu zenye maendeleo ya maana ni wilaya tatu tu Shinyanga Mc, Kahama Mc at least Msalala DC nayo kwa sababu iko na migodi na ardhi nzuri ya kilimo,

tofauti na Geita ambayo kati ya wilaya zake 6 ni wilaya moja ndio iko nyuma kidogo ambayo ni wilaya ya Nyang'wale, hizi wilaya zingine ( mbogwe,bukombe,Chato, Geita DC na Geita Mc) zote zimepiga hatua nzuri kimaendeleo kutokana na uwepo wa migodi ya dhahabu na fursa zingine
 
Aliyekudanganya kwamba saivi Kahama hakuna hela ni nani 🤔?
Kahama inalishwa na migodi ya dhahabu ya Mwime na Mwakitolyo, na kakola, kilimo cha mpunga, na ni mji wa kibiashara, pia kuna viwanda vingi sana ukiacha vinavyojishughulisha na dhahabu,
Mpaka sasa ukiacha Mwanza kwa lake zone hakuna mji wa kuishinda Kahama kwa upande wa pesa 😄🤗

Kwa upande wa Maghorofa sensa ya majengo 2022, Njombe ilikuwa inaizidi Kahama kwa idadi ya ghorofa 8 tu (Njombe 139, Kahama 131). Sasa unazani hii data ni valid mpaka sasa, kumbuka miaka ya 2022 kurudi nyuma ujenzi wa maghorofa Kahama haukua wa maana,
Hata huko nyanda za juu kusini data zinaonyesha Mbeya inaizidi Iringa mjini kwa idadi kubwa sana ya Maghorofa almost nusu nzima. Lakini sasa twende kwenye CBD Mbeya inakuwa kituko
Sasa wewe nikiangalia Mapato ya ndani miaka na miak Kahama Huwa haivuki bln 13,Sasa Kuna hela gani hapo wakati Geita MC ni bln 19?
 
Shinyanga ina kaupendeleo tu kisa iko barabara kuu, ila kwa speed ya sasa ya Kahama inapitwa mengi.
.
Njombe haipafikii Kahama japo inawekewa kauzibe sana.
Njombe haipafikii Kahama Kwa lipi? Watu wengi au?

Njombe ni Makao Makuu ya Mkoa lazima iwe vizuri kuliko huko vichochoroni.
 
Kwani Kahama na Katolo ipi kubwa? Teh teh teh teh teh. Japo Njombe ina wanawake watam kinoma
 
Back
Top Bottom