Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kasulu town western region 💥
1750059196840.jpg
1750058781395.jpg
1750057548694.jpg
1750057820017.jpg
1750058509834.jpg
1750064735742.jpg
1750064682113.jpg
1750064788500.jpg
 
Mbinga is the next level.Bilioni 12 Juu ya alama.

Yaani Nyanda za Juu Kuna pesa ni noma
Screenshot_20250622-131806.jpg
Screenshot_20250622-132330.jpg
 

Kwenye madini mfano dhahabu na almasi, wakazi wa eneo husika hunufaika zaidi pale migodi inapoendeshwa na wachimbaji wadogo wadogo (wazawa) kwa sababu
1. Ajira huwa ni nyingi zaidi (+biashara na fulsa zingine kwa watu maeneo husika)
2. Kipato kinachopatikana kinabaki ndani ya nchi na kinatumika kuwekeza kwa wazawa
3. Local government inanufaika zaidi kwa sababu ya kukusanya mapato kwa shughuli zinazoendelea katika maeneo yao
4. Serikali kuu huambulia kipato kidogo kutoka na kushindwa kudhibiti vitendo vya uchepushaji wa mapato

PANAPOKUWA NA MWEKEZAJI MGENI (Foreigner)
1. Ajira chache na fursa za biashara huwa ni chache kwa wakazi wa eneo husika (japo wanaoajiriwa hulipwa vizuri japo tena sio wazawa wa eneo husika, hapa taaluma inahusika)
2. Asilimia kubwa ya mapato haibaki nchini/ eneo husika na yanaenda kunufaisha nchi nyingine
3. Local governments hazinufaiki kwa sababu hazihusiki kukusanya mapato eneo la mwekezaji, badala yake hubaki kuomba msaada tu kutoka kwa mwekezaji (kulingana na mwongozo wa mkataba)
4. Serikali hunufaika zaidi (kama viongozi waliosaini mkataba hawakutanguliza matumbo yao)

MAMBO UNAYOPASWA UYAFAHAMU
1. Miji kama KAHAMA, GEITA, KATORO etc. inakuzwa na kunufaika zaidi kutokana na migodi inayoendeshwa na wachimbaji wadogo wadogo kwa kuwa mfumo huu huchochea zaidi biashara na fulsa zingine za kiuchumi kwenye maeneo haya.
2. Wawekezaji wakubwa kama GGM (Geita Gold Mine) ingekuwa inamilikiwa na wazawa Geita ingekuwa mbali kimaendeleo, Baric pale Kahama napo kungekuwa safi zaidi

Ndio maana Traore anawatimua hawa wawekezaji wa kigeni kwenye madini,ana akili timamu



NAKUSHANGAA UNAPOSHANGILIA KUSIKIA ENEO LA MADINI KAPEWA MWEKEZAJI MGENI 🤔🤔

Kwamba wananchi wamepokea kwa furaha huo uwekezaji wa mchina 🤔😂😂😂
Kama kweli wamepokea kwa furaha kuna mambo haya
1. Hakuna wachapakazi maeneo hayo, kama eneo lilikuwa na madini hayachibwi muda mrefu unazani tafsiri yake ni nini?
2. Kama kulikuwa na wachimbaji wadogo wadogo wapo kwenye majuto saivi 😢😢😢
 
Back
Top Bottom