Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Uwe una elewe tumekwambia hizo fremu kwa makambako ni sawa na project ya mtu binafsi haya nyingine hiyo View attachment 3341315
Majengo ni yale yale 😂😂😂, yakiisha sijui utapost nini?
Makambako haina soko
Katoro ina soko
Ni kichaa pekee ndio anaweza kusema makambako ni mji wa maana,
Kama hujaleta soko kuu la makambako hapa kuanzia leo jua makambako si chochote mbele ya Katoro, yaani haitoboi 🔨🔨 💥💥👇
images (15).jpeg
 
Hahaha mzee wa mapaa project zipo nyingi tu tumekupa ka mfano ndo uelewe kuwa njombe watu Wana pesa

Tumekwambia huwezi linganishaga junction ya VIWANDA na biashara na ka Kijiji kenu

u
Unanilazimisha 🤔😂😂😂😂😄😂😂😂
 
Majengo ni yale yale 😂😂😂, yakiisha sijui utapost nini?
Makambako haina soko
Katoro ina soko
Ni kichaa pekee ndio anaweza kusema makambako ni mji wa maana,
Kama hujaleta soko kuu la makambako hapa kuanzia leo jua makambako si chochote mbele ya Katoro, yaani haitoboi 🔨🔨 💥💥👇
View attachment 3341343
Hatuna muda wa kushindana na Kijiji kwa taarifa yako makambako NI mji wa VIWANDA na biashara hapa hatuongelei soko Kuna masoko zaidi ya matano makubwa zaidi ya hako kajengo ndo maana tulisha kuona huna kitu ni wa kupuuzwa tu maana Hadi saiz mamlaka za serikali huzijui
 
Leta soko kwanza haya kila sehemu yapo
View attachment 3341352
Yan wewe NI mshamba tu Kama wengine hivi Hadi mji ukaitwe wa biashara unadhani unakosaje soko Yani ukubwa wa hako ka centre ka katoro kwa makambako ndo centre ya soko moja tu na Kuna zaidi ya masoko makubwa matano na la mwisho la kimataifa la mazao limezinduliwa mwaka huu ukubwa wake nalo NI sawa na centre ya katoro hiyo
 
Hatuna muda wa kushindana na Kijiji kwa taarifa yako makambako NI mji wa VIWANDA na biashara hapa hatuongelei soko Kuna masoko zaidi ya matano makubwa zaidi ya hako kajengo ndo maana tulisha kuona huna kitu ni wa kupuuzwa tu maana Hadi saiz mamlaka za serikali huzijui
Hakuna lolote 😂😂😂, kama masoko yapo si uyaweke hapa tuone, Makambako ni kijiji kilichochangamka tu,,
Maneno ya kwenye kanga peleka huko
 
Yan wewe NI mshamba tu Kama wengine hivi Hadi mji ukaitwe wa biashara unadhani unakosaje soko Yani ukubwa wa hako ka centre ka katoro kwa makambako ndo centre ya soko moja tu na Kuna zaidi ya masoko makubwa matano na la mwisho la kimataifa la mazao limezinduliwa mwaka huu ukubwa wake nalo NI sawa na centre ya katoro hiyo
Weka soko kuu hapa 👇👇, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, 😂😂😂
Weka soko hapa kama hakuna kaa kimya

View attachment 3341583
Yan huto tu fremu tunakuweua Kama kichaa hata ilembula Kuna fremu Kama hizo mzee
 
Na hapa NI centre ya soko kuu iliyo gawanywa mitaa kutokana bidhaa unazo uza Kuna mitaa ya nguo za duka ,,spea za magar ,madawa ya kilimo ,hardware ,Mali mbichi , samaki ,butcher vitambaa ,vinywaji nk tunavo sema makambako NI mji wa VIWANDA na biashara tunamaanisha
FB_IMG_17435670663772532.jpg
 
Weka soko kuu hapa 👇👇, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, 😂😂😂
Weka soko hapa kama hakuna kaa kimya
View attachment 3341583
Yani hata geita yako kwa makambako inakalishwa kwa ukubwa sio kutuletea Kijiji chako Cha katoro kilicho jaa njia za ngombe
IMG-20250415-WA0056~2.jpg
IMG-20250416-WA0010~2.jpg

View: https://www.facebook.com/100064044039613/posts/pfbid0GJMPT5Jvoe2diGmFAjBWEtycsTt9FfuumAUjAycBZZbMSWDHKYWJyB8geKyn3LrWl/?app=fbl
 
Weka soko kuu hapa 👇👇, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, 😂😂😂
Weka soko hapa kama hakuna kaa kimya
View attachment 3341583
Fremu hizo linganishana na za ilembula sio unaona fremu nyingi unajua NI soko kwa makambako hivyo vitu NI kawaida sana hata hapa ilembula zipo
FB_IMG_17440173287267181.jpg
 
Weka soko kuu hapa 👇👇, ushamba wako ndio unaokufanya uone makambako ni mji wa maana,, mji gani hauna soko la kueleweka, nilisha waambi Makambako si chochote mbele ya Katoro ni kijiji tu kilichopitwa na wakati, 😂😂😂
Weka soko hapa kama hakuna kaa kimya
View attachment 3341583
Achana na Kijiji Cha katoro tuletee mijengo Kama hii GEITA
View: https://www.facebook.com/100064044039613/posts/pfbid0XUNHXQbySrK4VFvZ5wkL6HuiLnBvB6LpYsdt9ECrUgPqVtpmFL6sctki1np6VAQSl/?app=fbl
 
Weka soko kuu hapa kwanza 😂😂😂 kama hakuna soko makambako ni kijiji
Toka Jana nilishakuona fyuz imelegea we mji unaitwa wa biashara na VIWANDA unakosaje masoko huku hawaongelei soko moja mzee uwe unaelewa katembelee kariakoo ujifunze tunavo kwambia soko linakuwa na mitaa ya bidhaa tofauti tofauti ndicho kilichopo makambako uwe unaelewa hapo bado masoko mengine ya mtaani
 
Back
Top Bottom